Saturday 22 June 2013

[wanabidii] Tumetoka Mbali; Morocco Butchery Kinondoni Biafra, 1987!

Picha hii http://www.mjengwablog.com/habari-za-kijamii/item/3437-tumetoka-mbali-morocco-butchery-kinondoni-biafra-1987.html#.UcaRLZyNCAg niliipiga mwaka 1987. Nyumba yetu ni ya tatu kwenda kulia yenye michongoma.

Picha hii nayo ni kumbukumbu nzuri ya tulikotoka. Nakumbuka enzi hizo tulihesabu bucha za nyama. Na siku za Sikukuu tulipanga foleni ya nyama!

Kinondoni mwaka 1978 kulikuwa na bucha kama tatu hivi, ukiacha Morocco Butchery, kulikuwa na ile ya Mtaa Ufipa na ile iliyokuwa chini ya Farmers Bar, Kinondoni 'A'. Haya basi, mliokulia Kinondoni Biafra mna kumbukumbu zaidi za wakati huo?

Naam, tumetoka mbali.
Maggid,
Iringa.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment