Sunday 23 June 2013

[wanabidii] Nimepokea meseji kwenye simu yangu kutoka GD2013 mimi siilewi

Wakuu nimepokea meseji kwenye simu yangu inasema tumuunge mkono Rais wetu kwenye mkutano wa Globaldialogue lakini haonyeshi namba. Hivyo sijajua alietuma meseji hii ni nani. Kuna mtu mwingine amepata meseji kama hii? na inatoka kwa nani? Na kwa nini afiche namba? Kama kuna mtu anaejua chochote anisaidie kunielewesha
Suleiman Swalehe

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment