Wednesday 19 June 2013

[wanabidii] NIMELAZIMIKA KUIRUDIA HII BAADA YA TUKIO LA KUTISHA LA ARUSHA!

Kuna msemo maarufu kutoka kwa wahenga wetu na nanukuu,  "The only thing necessary for the triumph of evil is for good men to do nothing."
 
Kipindi hiki kuna kikundi cha watu wachache waliojipa utukufu wa duniani ambao kazi yao kubwa ni kuwakandamiza, kuwanyanyasa, kuwaonea, kuwabeza Watanzania ili wajione raia daraja la nne katika nchi yao. Bahati mbaya vyombo vyetu vya dola ambavyo tulitegemea vitawalinda Raia wa nchi hii vimegeuka GESTAPO weusi.
 
Kwa sisi tulio wengi ambao ni akina "mke wangu na watoto nitamwachia nani", mchango wetu uwe ni kwenye sala na maombi ili Mwenyezi Mungu atuondolee ukandamizaji huu!

0 comments:

Post a Comment