Saturday 22 June 2013

Re:[wanabidii] MABULA SEBULA ADAKWA NA UNGA NCHINI ITALIA

Duh.......

On 22 Jun 2013 17:40, "mulungi Mutabiilwa" <mulungim@yahoo.com> wrote:
Habari zetu wana bidii,
 
Samahani nimepokea email hii nimeshtuka sana nimekuwa nawasiliana na mabula kwa zaidi ya miaka 3,na hasa suala la kumsaidia mtoto  Suleiman  ila tukapotezana ghafla kuanzia january 2013, well nasikitika sana kati yetu hakuna mwenye uhakika wa hili lililotokea ila tumwombee na kumtakia heri na tusianze kumlaumu, issue hizi pia huwa kuna kubambikizwa au hata kama ni kweli si wakati wa kutoa shutuma zake, kuna mema mengi sana aliyofanya na kuna ambao labda hizo deal kafanya nao na wamefanikiwa mbona hamsemi
 
Matatizo ni popote, imagine akitoka akasoma hizo emails hata ungekuwa wewe ingekuwaje, kwa walio na uwezo wa kujua nini kinaendelea huko naomba atujulishe
 
Nawatakia weeek end njema
 
Julieth Mulungi Mutabiilwa P. O. BOX 13755 TEL 255 22 754 279974 MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL Office: 255 22 2151599 Fax: 255 22 2150534 DAR ES SALAAAM TANZANIA EAST AFRICA

--- On Sat, 6/22/13, Jane Mwakalukwa <mwakalukwa@gmail.com> wrote:

From: Jane Mwakalukwa <mwakalukwa@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] MWANABIDII MABULA SEBULA ADAKWA NA UNGA NCHINI ITALIA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, June 22, 2013, 6:28 AM

At the police station Piazza Garibaldi Arenaccia arrested for possession for the purpose of trafficking of narcotic Maseni Mabula Sabula, 62, a native of Tanzania, the 14 year old daughter, both Canadian citizens and ndibaza Funeka ntombokulidwa cinderella, 32, a South African citizen. The three were seen walking in the streets adjacent to Piazza Garibaldi, in an attitude of suspicion, by soldiers of them have stopped for checks and subjected to search, in the two trolley in their possession, were found 12.3 kg of heroin pressed into slabs and wearing the woman € 33,000 in cash, deemed proceeds of unlawful activity. Those arrested have been conducted in the prisons of Poggioreale and Pozzuoli, while the 14 year old was accompanied in the reception center for minors of Nisida.

Source 

On Saturday, June 22, 2013 1:11:49 PM UTC+3, Abner Okello wrote:
Aisee huyu mtu ni wa madili ambayo siyaamini kabisa, kuna kipindi nilipost kuhusu properties hapa akanitafuta kwenye mail yango personal. Nashawishika kukubali kwamba ndo kazi zake. Kwa ufupi, jamaa aliniambia kwamba anahitaji kupanga nyumba maeneo ya Mikocheni au masaki na kwamba kwa wakati ule watoto wake walikuwepo hapa bongo hivyoningeweza kuwasiliana nao ili niwaonyeshe nyumba. 

Pili akaniomba nimtafutie jengo la kununua kama lile jengo lililopo mbele ya serena hotel eti anunue akanielekeza kwa mshkaji aliyemtambulisha kama mndau wake kwenye biashara hapa bongo, nilipokutana na mshakaji hapa DSM, ofisi haikunipa picha ya mwekezaji wa namna hiyo hivyo niliwapotezea japo hawakuchoka kunitafuta kwenye simu na ile ishu ya nyumba ya kupanga iliyeyuka.

Together with the fact that alikuwa nafanya kwa manufaa ya jamii, tukiri kwamba hatumfaha,u kihivyo inamaana kuna uwezekano wa yeye kuwa implicated katika mazingira hayo na sijui ila inawezekana akawa responsible.

Njia ya muovu fupi mno. 

Sent from my iPad

On 21 Jun 2013, at 16:06, Yona F Maro <oldm...@gmail.com> wrote:

Nyumbani Tanzania huyu jamaa alikuwa anataka kuleta wawekezaji feki kuwekeza katika shirika la ndege Tanzania na ishu nyingine ya pasi za kusafiria - Haya naweka pending kwa sasa .
 
On Friday, June 21, 2013 5:46:45 AM UTC-7, Mabwawa wrote:
Damn.......si ni yule mzee mabula wakipindi kile cha mtoto aliyepelekwa Canada halafu mzazi wake akakimbia au kuingia chimbo?
On 21 Jun 2013 13:59, "Jane Mwakalukwa" <mwaka...@gmail.com> wrote:
Mwanabidii Mabula Sebula 62 ambaye ni mtanzania anayeishi CANADA Amekamatwa Nchini ITALIA pamoja na mtoto wake wa kike MWENYE Miaka 14 na raia mmoja wa afrika kusini kwa kukutwa na madawa ya kulevya aina ya heroine kilo 12.3 .

--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com .
For more options, visit https://groups.google.com/ groups/opt_out.
 
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@ googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/ groups/opt_out.
 
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment