Haina maana ya kutoa ushahidi manake hamna atakaye take action bora wauachie hewani tu ijulikane kilichofanyika ili wakose pa kukimbilia kwa hayo waliofanya.
----------
Sent from my Nokia phone
------Original message------
From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, June 23, 2013 9:43:38 AM GMT+0800
Subject: Re: [wanabidii] Mbowe kutoukabidhi ushaidi wa video ni kosa la jinai: Je kuukabidhi ni salama?
Ubarikiwe ndugu yangu Chamani. Uko kwenye maombi yangu.......
On 22 Jun 2013 20:06, "amour chamani" <abachamani@gmail.com> wrote:
> Muhingo,
> Hivi polisi ndiyo hawahawa walio ua Mwembechai,Mwembetogwa nk? Hivi
> ndiyo hawa waliokuwa wanapongezwa kwa kupiga watu Kariakoo kwamba ni
> wafuasi wa Sheikh Ponda? Kama ndiyo hawa nadhani wanatimiza kazi yao
> au Mkuki kwa Nguruwe!
>
>
>
>
> Walewale.
>
> On 6/21/13, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
> >
> > Ilipotoka hapa jamvini kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amesema anao
> ushaidi
> > wa picha kuonyesha kuhusika kwa Polisi katika urushaji wa bomu katika
> > mkutano wa chama chake huko Arusha mimi nilikuwa mmoja kati ya watu wa
> > Mwanzo kumtaka atoe ushaidi huo mapema. Hadi sasa hajautoa. Nimesikia
> > kupitia vyombo mbali mbali vya habari kuwa kutofanya hivyo ni kosa la
> > jinai.
> >
> > Hata kabla ya sheria kusema hivyo kila mtu anaona kuwa kutoutoa ushaidi
> huo
> > ni kuizuia sheria kumuandoa mhalifu katikati ya jamii na hivyo
> kuhatarisha
> > usalama na amani. Mtu huyo anaweza kufanya jingine la hatari na lazima
> Mbowe
> > atalaumiwa.
> >
> > Sasa nimesikia pia kupitia vyombo vya habari kuwa CHADEMA hawaiamini
> Polisi
> > ndiyo maana hawataukabidhi ushaidi huo.
> >
> > Naomba kuuliza swali: Kama mtu ukiona huwaamini Polisi na kisheria
> > unalazimika kuwakabidhi ushaidi; jema ni lipi kufanya. Kutoutoa ushaidi
> > ukakabiliwa na kosa la jinai au kuutoa ushaidi huo ukachezewa? Jamii
> > inasemaje na sheria zinasemaje.
> >
> > Si kusudi langu kumsaidia Mbowe kuhusu kutoaminika kwa jeshi letu la
> Polisi
> > ila nasema tu matukio yanayojulikana kwetu wote ambayo jeshi letu la
> Polisi
> > hata lenyewe haliwezi kujiamini:
> > 1 Dr Mwakyembe akiwa bado mzima wa Afya aligundua njama za
> > kumdhuru. Akakusanya ushaidi wa kutosha akalikabidhi jeshi la polisi (kwa
> > maneno yake na kama alifvyonukuliwa na vyombo vya habari). Jamii haijui
> > kilichofanywa na Polisi hadi Dr Mwakyembe anaumwa ugonjwa wa ajabu na
> hakuna
> > anayejua kama hakuna uhusiano wowote kati ya Polisi kutofanya lolote na
> > kuumwa kwake.
> > 2 Dr Ulimboka alitekwa na kuteswa msituni. Alitoa maelezo ya
> > kutosha. Gazeti la MwahaHalisi lilitoa ushaidi wa kutosha mpaka
> nikakumbuka
> > habari moja kwenye Biblia ambapo mfalme alikwenda kupigana akamuomba
> Mungu
> > wake kuwa ukiniongoza nikashinda kitakatojitokeza cha kwanza nikirudi
> > nitakutolea sadaka. Aliporudi binti yake pekee alikuwa wa kwanza kumlaki
> na
> > mfalme alimtoa kafara. Nilifikiri sasa Polisi watawachunguza waliotajwa
> > kumdhuru Ulimboka bila kujali ni akina nani. Hadi sasa hakuna
> kilichofanyika
> > na umma kuelezwa.
> > 3 Mwaka 2005 Polisi waliua wafanya biashara. Wakatangaza kuwa
> > wameua majambazi waliomwibia mfanya biashara Fulani. Polisi hao
> wakaonyesha
> > maiti za wafanyabiashara kuwa ndio majambazi. Ilipogundulika kuwa
> hawakuwa
> > majambazi na kuwa waliuawa kikatili bila sababu na kuwa hela nyingi
> > walizokuwa wameuza madini hazionekani Polisi wakikosa ushahidi wa
> > kudhibitisha kuwa hao ndio wauaji. Ushaidi uko kwenye television wakikiri
> > kuwa wameua hao. Polisi wakakosa ushaidi.
> > 4 Mwandishi David Mwangozi aliuawa. Kabla haijajulikana
> aliyemuua
> > mtu mmoja mkubwa wa Polisi alisema Mwangozi ameuawa na wanachama wa
> CHADEMA.
> > Tayari maandalizi ya kuwashughulikia yalianza. Mda huo CHADEMA wakatoa
> > ushaidi kuonyesha muuaji wa Mwangosi. Mkubwa huyo aliyekuwa na ushaidi wa
> > CHADEMA kuua alikuwa amesimama pembeni Mwangosi akiuawa. Polisi wamekosa
> > ushaidi wa kufanya lolote na hakuna hatua hata za kinidhamu
> zinazochukuliwa
> > dhidi ya wakubwa/Mkubwa huyo.
> > 5 Hivi karibuni Polisi wamepewa habari Fulani kuwa Chama Cha
> > Siasa kinaandaa vijana kwa kusingizia kuwapa mazoezi ya 'ukakamavu'
> Wakadai
> > mazoezi wanayofanya ni zaidi ya ukakamavu. Na kwanza kwa nini uwapeleke
> > kambini. Kimya tunachoshuhudia huenda wanafanya uchunguzi au yameishia
> > hapo.
> > 6 Hivi Karibuni Mr Lwakatare alikamatwa na kufunguliwa kesi ya
> > Ugaidi. Kwa kuichunguza kesi hiyo ilibidi wote aliokuwa akiwasiliana nao
> > wakamatwe ili iweze kuwa kesi ya ugaidi sawasawa. CHADEMA ilitoa orodha
> > hiyo. Tumeishia kusikia kuwa kuchukua habari hizo kwenye mtandao ni kosa
> la
> > jinai. Wala sio kuwakamata magaidi wengine. Sasa mahakama imemuondolea
> > mashtaka hayo. Lwakatare amekaa lupango siku 90 plus. Ubatizo na
> kipaimara
> > alichopata, tusubiri kidogo tutajua. CHADEMA wajiandae.
> > Ukiyachunguza hayo niliyoyataja utakubaliana na Mbowe na CHADEMA kuwa
> > ushaidi walio nao hautakuwa salama kuukabidhi Polisi. Je waukabidhi
> potelea
> > kote mhalifu asishughulikiwe au wakatae mpaka utakapokabidhiwa kwenye
> mikono
> > salama.
> >
> > Jamii inasemaje?
> > Sheria inasemaje?
> > Haki inasemaje?
> > Katiba inasemaje?
> >
> > Elisa Muhingo
> >
> > --
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> >
> >
> >
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment