Sunday 23 June 2013

Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU

Zephania, pole sana. Katika vitu watu hawapendi, ni ushauri. Ukimshauri mtu, halafu iwe bahati mbaya hataki kuchukua ushauri wako, anachukia kabisa.

Mi huyu dada nilishaona posts zake, ana maneno mengi sana na bahati mbaya mengi kati ya anayoandika, wala yasingeleta madhara kama angeyatoa. Matokeo yake posts zake zinakuwa ndeeeeefu pasipo content ambayo ungetarajia kuipata.

Nimeamua, kila ninapoona any post from her, ninai skip na wala sijahisi kupungukiwa kitu. I advice you guys to do the same, taratibu dada yetu atabadilika na kuwa na summary kwenye postings zake. Ninafurahi kwa sababu yumo sana kwenye mtandao na anachangia mambo mengi, iko siku atakaa sawa na atafuata wengi wanavyotaka. Ni ngumu kubadilika lakini vile vile kusoma ni kazi ngumu pia, ndio sababu wengi wanapenda summary.

Sent from my iPhone

On 23 Jun 2013, at 15:33, Zephaniah Mugittu <zephymugittu@yahoo.co.uk> wrote:

Ila my dada mi narudi pale pale...

ktk ujumbe wangu cjakataa point zako ila nimeshauri uangalie nini unakomenti tu... hayo mengine meeeengiii cjui umeyatoa wapi?

Mi pia hufuraia tofauti ya mawazo kwani nina amini ndiyo huleta maendeleo... kinachonishangaza ktk kujibu ushauri wangu umefuta background ya story au hoja ulizojibu watu hapo chini... i.e. kabla mi cjakushauri. Badala yake umeacha only nilichojibu mimi so readers hawataelewa kilichokuwa nyuma ya pazia kilicho7bisha nikakushauri... hayo ndo matendo kama ya vyama fulani... UNAVIJUA. Hayo ni matendo madogo ila ni muhimu na hatari ktk maisha.

We should Agree to disagree na hakitakuwa kitu cha ajabu... kwani tunatofautian sana ktk mambo mengi sana...
 
Regards,
Mugittu, Zephaniah,
Cell: +255 784 769 481
Fax2Email: 0736605633
Skype: Zephaniah N.N. Mugittu
 
No matter how high one is talented , business acumen still a necessity
"Poverty is a result of attitude ..."
 



 
Ushindwe na ulegee. Jifurahishe Zephaniah na jadili upendavyo. Ruksa.

Kama unapenda mawazo yako tu yasikike, fungua mtandao wako uwe unaandika na kusoma mwenyewe na kujijibu ili usione mawazo ya wengine ambayo huenda yakawa tofauti na yako.

Ukiingia mitandao ya umma, ujue kila mtu ana mawazo yake na ukubali yatasomwa kupingwa with reasons au without ni kubwatuka tu. Kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake, sio ushinikize yako kwa kukashifu na kutukana wengine. katika umma hivi, jee ndani ya familia bila kupokea ya wengine mtasikilizana vipi? Jifunze kukubali tofauti za wengine kimawazo. Uvumilivu, kuona mitazamo mingine pia, ushirikeli, kutotuhumu bila ushahidi, udadisi ni  stadi ya maisha ambayo binadamu anatakiwa kuzijenga. Kukimbilia kutuhumu kama silaha ya kunyamazisha wengine ni evidence ya mapungufu ya namna fulani hasa kwa mtu mzima.

Mtu akisema-weka kidhibiti tukione-kuna ubaya gani?  au akisema-mtu muovu anaweza akavaa nguo ya Police, JKT, JWTZ, FFU, ya Padri, ya Nuns, Sheikh lakini si wa aina hiyo ni jambazi anajifichia-kuna kosa gani?. Au, kavaa bulka kabakiza macho tu unamchungulia humjui ni me au ke ila ni muovu ni geresha tu-si katika kudadisi aina za uwezekano watumiazo waovu tusianze kulaumu as if tumeshampata na kumjua? Huenda si wa namna hiyo tudhaniae. Kusema hivi kosa ila unatakiwa useme-ni police wa CCM hapo poa utasifiwa na mitandao!

Wamefanikiwa wazungu waandishi habari kuvaa hivi (mgolole wa kike kuziba mwili wote kubakiza macho tu)na kufanikiwa kutoroka Iraq wakasalimika kuvuka gates kurudi kwao kupanda ndege nchi nyingine jirani. Ulaya wizi/Ujambazi maduka ya viti vya dhahabu kwa kuvaa nguo namna kubakiza macho kama islamic ladies wavaavyo hii umefanyika sana. Unaweza kuvaa baibui ukabakiza `macho na gauni refu na kilemba na umeweka matiti kumbe ni mwanaume na ukapita mahala ukaingia kwa mpenzi wako na ukatoka umevaa hivyo wasijue kumbe ni bwana aliyejificha kwa mavari kaingizwa ndani na shoga na wazazi wapo nje wamemuona wasijue.

Yawezekana pia mtu akavaa nguo ya CCM, CUF, Chadema-akahudhuria vikao vya chama si chake akadaka mazungumzo. Akavaa kanzu ni mlinzi wa mheshimiwa fulani na anaingia msikitini-lakini ni mkristu ila yupo kazini ila anavaa akubalike humo. kazi ya ushushushu inakubidi uwe kama wao wavuta bangi na wanywa gongo ndio uyajue ya huko. Vivyo hivyo yupo Russia, mafunzo ya jeshi kumbe yeye ni wa Obama si mrusi kajifanya tu ni Mrusi na kapata karatasi zote kumuonyesha yeye ni Mrusi. Wapo wapelelezi wanawake huwa malaya au changudoa lakini wapo kazini, hara omba omba na vinyozi wapo kazini baadhi yao awe chadema, cuf, ccm etc kila chama kina mbinu yake.

Na majambazi yenye silaha, huvaa nguo za askari baadhi yao, husimamisha magari dreva akadhania ni askari akasimama-yakatoka mengine porini na uniform hizo yakavamia kupiga, kuiba na kuua. Jee, haijatokea hivi. Hivyo-tusiamue mpaka huyo mtu akamatwe na huenda akakutwa na vivalo vingi na silaha nyingi. Mbona watu wanakutwa na vitambulisho si vyao na mashine za kutotolea vitambulisho na makaratasi mpaka ya Bank, TBS etc?

Jee, yote hapo juu ni makosa kusema-tusirukie kulaumu na kumshika mchawi-akamatwe, vitambulisho vyake vipatikane-atajulikana tu. Eti ukisema hivi-Mbaya mbaya mbaya!!?? Kutoa maoni haya eti ni upumbavu. Mtu ambaye anapenda kuona wazo lake daima asisikie the otherside ya uwezekano asomebasi mitandao yake binafsi tu? Dunia ya wengi haipo hivyo. Hebu btoa kibanzi chako kwanza machoni kwako kabla hujalaumu wengine. Pole sana. Huo ujuha mnao ninyi watu wa mitazamo finyu msioishi au kujua maisha ya kawaida bongoland yapoje.

Tayari hata baadhi ya vijana wa Ulinzi shirikishi badala ya kufanya ulinzi-wamegeuka kukusanya kodi na kusumbua watu wenye biashara. Penye mamba na kenge wapo.Hata kuruhusu bodaboda-tayari majambazi wanazitumia vibaya ktk kuiba.Kwani hii ndio GVT ilivyopanga bodaboda itumike hivi? si magari yanakuwa monitored linaweza likasimamishwa na ving'amuzi vyao akapatikana? anatumia alternative rahisi-pikipiki anakimbia.  Je, mtu ukisema hivi ni mwehu? Mbona yanatokea TZ? Hata ya mavazi hutokea. Na wabaya watatumia hizi vurugi zetu kutuumiza zaidi na kuvaa mavazi sio tu ya FFU kesho ya CCM au CUF, Chadema wakatumia mianya hii ya shutuma na lawama kutukolezea tupambane zaidi.

Tafuteni vita kwa misifa-vita haina macho na haichagui. Huwezi kutatua matatizo kwa kuua Jiburudiesheni Zephaniah lakini wananchi watawashitukia na kuwashitukia waovu pande zote si CCM tu. Poleni sana.

 


From: Zephaniah Mugittu <zephymugittu@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 21 June 2013, 11:13
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE: FFU NDIYE ALIYERUSHA BOMU

Bishaneni kwa hekima na hoja...

Dadangu Kiwasila, kuna mawili either huwa unatoa point kali sana kiasi cha kuzua mjadala juu yako aua unatoa pumba sana ndo maana unchukua nafasi ya kujadiliwa hoja zako... kwanini wewe tu??? Hebu tafakaroi kidogo kwa kupotea jukwaa kwa muda then urudi na style mpya.Ni ushauri kama ule wa JK alioutoa kwa Rwanda so waweza uchukua au ukaachana nao sitakulaumu...
 
Regards,
Mugittu, Zephaniah,
Cell: +255 784 769 481

0 comments:

Post a Comment