Thursday 20 June 2013

Re: [wanabidii] KABAMBA WA HYDOM MANYARA AMLIPUA MH.ZITO KWENYE MAHOJIANO NA BBC

labada BBC inarusha matangazo toufauti kwa wakati mmoja lakini kibamba alichoongea  ni hisia wala hana bases ya argument zake ni taharuku ma mapambazuko ya fikra zake

From: Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, June 20, 2013 1:11 PM
Subject: [wanabidii] KABAMBA WA HYDOM MANYARA AMLIPUA MH.ZITO KWENYE MAHOJIANO NA BBC

Nilimsikia kwa masikio yangu mawili huyu Kabamba akimlipua mheshimiwa Zitto Kabwe kwenye mahojiano ya kipindi cha kiswahili cha BBC jana jioni kuwa zamani alikuwa mpiganaji mzuri sana wa kupigania maslahi ya nchi na wananchi wa Tanzania kwa ujumla, hasa alivyokuwa akipambana kwa dhati upande wa madini yetu na pia kupata maisha bora kwa kila Mtanzania, lakini siku hizi baada ya kukatiwa chake amenyamaza kimya hasikiki tena . Bila shka wengi mlisikia mahojiano yale ya jana jioni. Kwa vile mheshimiwa yumo humu naomba akanushe haya na huyu Kabamba huko aliko Hydom Manyara asikie.  Au vipi muheshimiwa?
Suleiman Swalehe
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


0 comments:

Post a Comment