Wednesday 2 January 2013

[wanabidii] semina ya ujasiriamali kwa watu wote

Wapendwa,
Napenda kuwafahamisha kwamba tutaendesha semina ya ujasiriamali kwa watu wote, kila siku ya jumamosi tarehe 5/1/13, saa 4.00 asubuhi mpaka saa7.00 mchana .Semina hiyo itaendeshwa kwenye ofisi yetu ya CPM BUSINESS CONSULTANTS, iliyopo eneo la barabara ya Mandela mkabala wa kituo cha daladala Mabibo Hostel, Dar es salaam. Muwezeshaji atakuwa ni Charles Nazi, Mshauri wa biashara na Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara . Kiingilio ni Sh. 10,000 kwa kila
mshiriki. Mada zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;

1. Namna ya kuanzisha biashara.
2. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
3. Namna ya kupambana na vikwazo katika biashara yako.
4. Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.
5. Mifano hai ambayo unaweza kuifuata na kuanzisha biashara
6. Maswali na majibu.
Kwa wale ambao watahudhuria wapige simu au watume ujumbe simu namba 0755394701

CHARLES NAZI
Mshauri wa biashara na mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara;
http://www.squidoo.com/mshauricharles

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment