Wednesday 30 January 2013

Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI

Hayo kweli kabisa.Na Romania ilikuwa imeharibika kwelikweli kwa hiyo walitumia nguvu ya umma.

Unajua kilichotokea baada ya kutumia nguvu ya umma iliyoelekezwa na viongozi wabinafsi na waovu? Baada ya muda mfupi walienda kuweka maua kwenye kaburi la Chesesco na Mkwewe kwa majonzi. Nguvu ya Umma isiyo isiyojengwa katika msingi wa haki utalibomoa taifa.Tanzania siyo Romania na atakaye wahimiza watanzania kutumia nguvu ya umma kufikia lengo lolote uwezekano wa mtu huyu kulipotosha taifa ni mkubwa.

Hebu na tutafakari vizuri kama tuna sababu ya kuaana eti kwa sababu taifa linaendeshwa kidhalimu ilihali sisi wenyewe ?tunachagua viongozi.Tujipime na ?kutenda vema zaidi. Tuache kufikiri kwamba asipopata huyu basi na tungi tulitie maji!

Ni kweli kama usemama Nguvu ya Umma huanzia kwenye tatizo.Tukumbuke pia kwamba ushawishi unaweza kufanywe na mwenye tatizo lake na matokeo yake yakawa majuto mjukuu. Tafakari ya kina kabla ya kutenda mara nyingi hukosekana katika nguvu ya umma na hapo ndo mwanzo wa tatizo lingine.


Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

-----Original Message-----
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Date: Wed, 30 Jan 2013 11:37:01
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI



Nguvu ya UMMa haijawahi kutumika palipo na utulivu.
Unapoona nguvu ya umma maana yake kuna jambo halijashugulikiwa.
Ukitaka kutatua usianzie kumshambulia aliyeleta njia hii ya kutatua tatizo. Anzia kwenye tatizo linalofanya watu watumie NGUVY YA UMMA.
Romania, Chekoslovakia, Somalia na kwingineko shida huanza kwa uongozi kutowasilikiza wanaolalamikia jambo. Howezi kumaliza bila kuanzia hapo

--- On Tue, 1/29/13, ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com> wrote:

From: ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com>
Subject: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI
To: "wanabidii@googlegroups.com " <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, January 29, 2013, 8:56 AM


Je tunajifunza nini kwa  matukio yanayotokea huko Misri? Hivi tunaweza kweli kukubali kutuliza vichwa na kutafakari kuhusiana na msitakabali wa utaifa bila kuingiza nyongo ya ubinafsi kwa kutumia kichaka cha nguvu ya Umma na kuzua  giza kuu?

Je zipo awamu ngapi za nguvu ya umma zitakazolifikisha taifa lolote katika utulivu na kasi ya maendeleo? Libya iko wapi? Katika jukwaa hili hili tulikuwa na mijadala motomoto sasa imekwisha! Au Waafrika bado tunatumiwa na wale tuwaitao maadaui zetu au tumekuwa maadui wetu wenyewe sasa?
Sent from my BlackBerry® smartphone from VodacomSent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom</div>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out <http://us.mc1612.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com> .
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment