Thursday 31 January 2013

Re: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

Ukiacha akili ya ujuzi wa mambo ya IT aliyotumia Yona kuanzisha jukwaa hili na pia uwezo wake wa kutubandikia maandiko na ripoti mbalimbali (vitu ambavyo havina uhusiano na umahiri wa kujenga hoja) basi naweza kabisa kusema Yona ana matatizo makubwa sana ya kujenga hoja zenye mantiki na akaweza kushawishi kuungwa mkono.

Busara inaweza kutumika kumsukuma aache kuanika utupu wake huu maana ngoma ikilia sana..

Mwamba.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: rwechungura_nestory@yahoo.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 31 Jan 2013 19:44:36 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

Haya mawazo ya YONA sijaelewa analenga nini, rais ni wadhifa wa kisiasa na sio mtumishi wa UMMA na sijaona ni wapi mwanasiasa anastaafu. Tuanze na Mugabe, Kibaki na wengine kabla ya Dr. Slaa na kama mnawakubari na mnakaa nao vipi iwe nongwa kwa Dr. Slaa. Yona ana lake Jambo.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: nyaronyo kicheere <kicheere@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 31 Jan 2013 10:55:36 -0800 (PST)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

bandugu,
mwenzenu niliacha siku nyingi kusoma hoja za yona maro kwa sababu huwa zinanichefua, lakini leo niliamua kuisoma hoja moja ya yona maro baada ya kuona amejibiwa na dokita lwaitama. nilipoisoma ikihusu umri wa dokita slaa itakapofika 2015, amini usiamini nimelazimika kwenda uani kutapika!
kicheere, tungi, kigamboni, tanganyika territory


--- On Thu, 1/31/13, Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:

From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
Subject: RE: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, January 31, 2013, 3:47 AM

Yona Maro,
Hivi nani  amekwambia Dr Slaa  atagombea Urais  mwaka 2015?  Na hata kama ikiwa hivyo kwa chama  chake  kumbembeleza agombee kama kilivyofanya 2010 na  wananchi wakamchangua  kama walivyofanya 2010 na kura zake  zikachakachuliwa ,  wewe ni nani kuendelea na kututiatia hofu ya kijinga ya  eti  atakuwa  amepitiliza mwaka wa kustaafu  kwa zaidi ya  miaka 7, wewe  inakukera nini? Rais ni mkuu wa  nchi, ni nembo ya utaifa  wa watu wa nchi husika. Si eti ndiye anayetoa maamuzi yote. Tena  huko mbele ya safari ni mara chache sana kutakuwepo Rais wa  umri mdogo labda katika mazingira  ya mapinduzi ...sasa wewe sema hivi: katiba isema lazima Rais awe  tusema miaka 35  na kuendelea kama inavyosema katiba ya Marekani... lakini hata babu wa mika 80 anaweza kuchanguliwa kuwa  Rais... sasa hivi mkuu wa nchi ya Uingereza ni Malkia Elizaberth ambaye ana  umri  zaidi ya miaka 80... na mkuu wa nchi ya Vatican ni umri kama huo... Wewe unataka tujadili Dr.Slaa kuwa wewe binafsi na wana CCM  wa  aina yako msingependa  awe Rais wa Tanzania  au una hoja ya msingi kuhusu umri wa Rais? Kama upendi Dr Slaa awe Rais si useme hivyo na utaeleweka  maana wapo wengi wasiopenda  Dr. Slaa awe Rais vile ni mtu mwadilifu na hasiye na makuu  katika mambo ya msingi   kuhusiana na utawala wa nchi. Tena hajawahi kuusaka urais kwa udi na uvumba kama Rais wa sasa wa Tanazania kwa tiketi ya CCM!!!! Ana mapungufu ya kibinadamu katika mambo yanayohusu yeye  na mambo yake ya  kifamilia  lakini wote tunayo mapungufu ya aina hiyo...Wale ndani ya Usalama wa Taifa wanapanga kila kukicha  kumuua  Dr Slaa wakidhani kifo chake  kitakisambaratisha Chadema  ni wajinga kwani ilo kamwe halitazima kiu ya Watanzania walio wengi ya kuoindo CCM madarakani. kwa kukichangua Chadema  pamoja na mapungufu  ya chama hicho...Kutafuta kumchafua Dr Slaa pia  ni ujinga kwani ilo pia halitafanikiwa kuzima kiu ya Watanzania walio wengi ya kutamani Chadema impendekeze tena dr Slaa kama mgombea wa kiti cha  Urais kwani " dr Slaa anaweza" hata kama mafisadi wanaogopa atakachowafanya mara akiingia Ikulu maana wanajua itakuwa kazi kuonga lolote ili eti awasamehee!! 
Mwl. Lwaitama
 
> Date: Wed, 30 Jan 2013 14:06:00 -0800
> Subject: [wanabidii] DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU
> From: oldmoshi@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Ndugu zangu
>
> Ukisoma Wasifu wa Dr W P SLaa inaonyesha amezaliwa 29 October 1948 na
> mwaka 2010 wakati anagombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA
> alikuwa na miaka 62 miaka 2 zaidi ya umri wa Kustaafu kwa mfanyakazi
> wa Umma kwa Tanzania .
>
> Mwaka 2015 akigombea tena kwa tiketi ya CHADEMA au CHAUMA atakuwa na
> miaka 67 amepitiliza miaka 7 ya kustaafu .
>
> Tukumbuke wanasiasa vijana wamewahi mara kadhaa kutoa maoni yao kuhusu
> umri wa Umri wa kugombea Urais upunguzwe na uwe na kikomo .
>
> Tunaweza tusikubaliane katika mambo mengine lakini suala la ukomo wa
> umri ni muhimu kwa maslahi ya Nchi yetu na watu wake .
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment