Wednesday 30 January 2013

Re: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam

Watanzania, badala ya kuanzisha mijadala isiyo na tija, viongozi wa siasa ktk vyama vyao, watafute hela, watumie vijana wao waliosoma wengine toka vyuo wapo hawana ajira, waunde volunteer system zao za vyama, wakahamasishe shughuli za maendeleo katika majimbo yao walipo. Tunaomba, kila mbunge aonyeshe kuwa anaweza kuleta mabadiliko na mfano uwe kwake kwa nguvu yake na chama chake. Wafugaji wanapanda juu Mvuha kwenye catchment forest mito inakauka na miradi ya maji inayojengwa haitokuwa na maji bali White Elephants. Waende kuwaelimisha sustainable livestock keeping na alternative livelihood zipo nyingi. Waache ile dhana na wingi wa mifugo ndio utajiri social class inapanda juu. Wale wa maeneo ya kilimo wahamasishe sustainable conservation agriculture kuondoa degradation na ukataji miti. Msikalie maneno mengi leo Gas, kesho uwekezaji unaonea huku wachimbaji wadogowadogo hawajiungi itakiwavyo, hawasikilizi na kuzingatia ushauri kama ilivyo kwa wavuvi, wakulima na wafugaji. Maliasili zipo lakini tu vipofu na viziwi pamoja na kuwa na macho na masikio na wasomi kibao. Tuache maneno ya kudandiadandia leo hili kesho nyama kuchinja mara nguruwe kufugwa etc. tutatue matatizo halisi ya matumizi mabaya ya ardhi bila conservation, kuharibu vyanzo vya maji-unapata Mvuha, Mgeta, Pangani juu huko Shengena unachimba madini na kuweka uchafuzi bila kuangalia future u pumba kichwani unaua taifa kwa mercury na uchafu mwingine. Tuunde crusade ya elimu na mabadiliko. Vi nchi jirani vinapigana vita vinakuja kutushinda sio maendeleo tu hata football na netball! Tupo maneno mengi daima kila siku jipya na matendo maovu hata ya kuiba mahindi ya mgao wa njaa na kukaribisha wafugaji kutoka Burundi na kuwapa ardhi sisi wenyewe. hatutatui haya ila leo  hili kesho lile. Tumeondoka kwenye Gas sasa tunaanza ya mabucha ya kuchinja-Uswahili tu!!
Hata hizo nyamba zinazozhinjwa huko na Waislamu zinauzwa ktk mabucha, mbona tunasikia nyingine ni vibudu walikuja wakachoka wakafia njiani na zinaning'ingia buchani? Huyo anayedai ustaarabu wa nyama ukimuangalia mazingira anayoishi tandale kwa Mtogole, Mwenge etc, Morogoro mazingira machafu ya kutiririsha kinyesi mitaroni, harufu ya uchafu kila eneo. Kijijini nyumba unamchungulia ndani na choo unamuona wala hazungushi makuti/nyasi za hifadhi. Choo anakwenda porini, mvua ikija inachanganya kinyesi chake na cha mifugo na mataka mengine ktk mito anakochota maji ya kunywa ambayo hachemshi. Eti akichemsha yanakosa radha. Wanaharisha, wanaugua kutokana na uchafu. Leo hii kuchinja mnyama iwe issue eti ibada, kila mtu wa dhehebu ajichinjie etc ije kuleta mtafaruku kama wa Mtwara wa kuchoma mabucha/machinjio? Choma mahakama hata kama nduguyo ana Kesi hapo zililzo nje ya digitali kuwakomoa mpaka jamii yako. Choma zahanati na gari la polisi dharura ikitokea 'utapanda ungo' kwenda kutibiwa kwa manyaunyau mbona ndege za asili zipo (1.30 hrs Mtwara-Mbeya; Singida-Mbeya). Cheap politics zitatumaliza. Serikali hukaa kimya kujibu malumbano ya kidini kwa sababu wanajua wakijibu tu watakaoumia ni wengi-Moto utawaka kila kona kwa kisingizio cha dini kukashifiwa au kuonewa. Funika kombe-mwanaharamu apite!! Tuyanyamazie haya ya Bucha na kuchinja. Tuangalie mengine ya maendeleo Chipalazya. Uchafu mngapi tunafanya huku tunasali sana??

--- On Wed, 30/1/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 30 January, 2013, 17:27

Hilda,
Wa-Islam wanasema kuchinja wanyama ni sehemu ya ibada. Kwahoja hiyo nikama unamlazimisha mwingine kushiriki ibada asiyo iamini. Mimi naona wa-Kristo wamekua wavumilivu sana kwa hili. Nafikiri dawa kila mtu achinje mnyama wake hata kama ni kwenye mabucha. Wa-islam wawe na mabucha yao wanayo amini nyama imechinjwa kwa minajili ya imani yao, nasio kunilazimisha unichinjie mnyama.
Alexander

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, January 29, 2013 11:17 PM
Subject: Re: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam

Daima wakristu wanapokuwa na sherehe makwao humuita muislamu kuchika mnyama wa sherehe-mbuzi, kondoo, kuku, ng'ombe ili waislamu waweze kushiriki sherehe hiyo ya mlo. Waislamu kuchinja ktk machinjio ya umma na sherehe za mjumuiko nao kwa upande wa dini nyingine haijawa tatizo. Huyo mkristu anayegoma ana lake jambo. Atafute lingine hatopata support ya mtu yoyote ni destruri ya jamii ya kiafrika kabisa TZ kukubali moslem wachinje Wasira was right. Hata baadhi ya sherehe mfano kifo-watani ndio wapikao SIO mfiwa ama sivyo mfiwa ukianza kupika mwenyewe watakushangaa. Shetani kaivaa nchi. Bado mengine yaja. Mfano itaanza- 'kila mtu wa dini fulani asome shule za dini hizo, atibiwe hospitali za dini yake etc.' watu watazalia mlangoni mwa facility hizo kwa kutokupowewa wapate huduma. Mungu atusaidie.

--- On Tue, 29/1/13, matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com> wrote:

From: matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 29 January, 2013, 19:02

Tanzania kwishinehi. Ujinga wa waasisi wa udini. Haya ni mavuno.

T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: lucsyo@gmail.com
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Wakristo kutokula mnyama aliyechinjwa na Muislam
Date: Tue, Jan 29, 2013 12:29 pm

Hili tamko jamani mbona limekaa ki mrengo wa kushoto, na tena limetolewa na chombo kikubwa kama hicho

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment