Wednesday 30 January 2013

Re: [wanabidii] Re: DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU


Na Mugabe nae anaendelea kuwa rais na atagombea tena. ana Umri gani? Wakizeeka hawataki kuondoka. Ni kawaida ya waafrika kung'ang'ania madaraka na kuhakikisha hata akiondoka ameacha watoto na jamaa au marafiki zake katika siasa na nafasi mbali mbali za administration ili kulinda maslahi yake. wengine wamechukua mashamba makubwa yaliyokuwa ya NAFCO au mamlaka ya pamba, JKT, mamlaka ya kahawa au katani, public open spaces au wamejenga pungufu ya mita 60 kutoka bahari wanaogopa Mh.Tibaijuka atabomoa na Waziri wa Kilimo au Ardhi atapora ardhi/mashamba hayo na kuyarudisha halmashauri au serikalini na kuwapa wawekezaji wa ndani au nje. Hivyo-anagangamala abaki hapo kuficha madhambi yake.  Ndio hao wanaona uovu katika majimbo yao au serikalini au katika Chama Chao hawawezi kukemea ili asikose KURA apate KULA.Isipokuwa anatafuta ka mwanya fulani serikalini na nchini aanzishe popular cheap politics/politiking-Maandamano ya Gas Mtwara baada ya kutoka yale ya Ulimboka. sasa wanatafuta jingine lije walivalie njuga. Suala na kujivua umri mkubwa wao wapishe vijana wao wenye ARI na Elimu, Maarifa mapya ya digitali na nguvu ya  kwao si issue. Ni sawa na kibabu cha miaka 80+ kinakwenda kuoa kisichana cha miaka 15 tena sio kimoja kila mwaka anaoa akiwa babu huyo ana vijana ktk makazi yake kibao wa umri 18+ ambao watakuwa nananyemelea nafasi hiyo (ya kuwa na kasichana hako). Waachieni vijana mbona mnao wenye uwezo? Kuweni washauri wao wenye busara!!

--- On Wed, 30/1/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 30 January, 2013, 22:22

Ni katibu Mkuu wa CHADEMA , CHADEMA si mali ya Umma au Watu Binafsi ?

On Jan 31, 1:17 am, Emmanuel Muganda <emuga...@gmail.com> wrote:
> For your information Dr. Slaa si mfanyikazi wa umma. He is a politician.
> Ronald Reagan aliingia White akiwa 69.
> Hivi Mwai Kibaki ana umri gani hivi sasa? Kajipange tena.
> em
>
> 2013/1/30 Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>
>
>
>
>
>
>
> > Ndugu zangu
>
> > Ukisoma Wasifu wa Dr W P SLaa inaonyesha amezaliwa 29 October 1948 na
> > mwaka 2010 wakati anagombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA
> > alikuwa na miaka 62 miaka 2 zaidi ya umri wa Kustaafu kwa mfanyakazi
> > wa Umma kwa Tanzania .
>
> > Mwaka 2015 akigombea tena kwa tiketi ya CHADEMA au CHAUMA atakuwa na
> > miaka 67 amepitiliza miaka 7 ya kustaafu .
>
> > Tukumbuke wanasiasa vijana wamewahi mara kadhaa kutoa maoni yao kuhusu
> > umri wa Umri wa kugombea Urais upunguzwe na uwe na kikomo .
>
> > Tunaweza tusikubaliane katika mambo mengine lakini suala la ukomo wa
> > umri ni muhimu kwa maslahi ya Nchi yetu na watu wake .
>
> > --
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment