Thursday 31 January 2013

[wanabidii] Re: DR W P SLAA APITILIZA UMRI WA KUSTAAFU

I like this guy Yona!,

Kwakweli sijawahi kukutana na mtu mwenye courage ya namna hii. Ninakaribia zaidi ya miezi 6 tangu niache kutembelea mtandao huu. Leo nimerudi, Yona tena!! Kama kweli halipwi kwa kazi hii basi niseme tu kuwa huyu ni binadamu wa ajabu sana. Let us credit where credit is due, Yona unatisha!! Maana kila hoja yake utakuta katia 50 ameungwa mkono na mtu 1 au 2, wengine wote hadi wanamtukana lakini mbona hakomi? mbona hajifunzi? Yona unatishaa!!!

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment