Thursday 31 January 2013

[wanabidii] LUGHA YA TAIFA NI IPI KISWAHILI,KIINGEREZA,KIFARANSA,KIRENO AU KICHINA?

Samahani wanabidii naomba nijuzeni juu ya swala hili maana kwangu swali hili limenisumbua sana na mpaka sasa sijapata jibu juu ya swali hili, kwani nimekuwa nikisoma  maoni na michango mbali mbali katika maada zinarushwa katika mtandao huu  na kuchangia nazisoma ila zinakuwa na mkanganyiko wa maneno au lugha mbali mbali,tafadhali naomba msaada juu ya lugha ya taifa letu kwani ukienda china wao wanaongea kichina,Uganda kiganda au kiingereza.

H.K.M


--
this my origional picture and copyright

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment