Wednesday 30 January 2013

RE: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI

Ndg Mngonge

Angalau sasa tumeanza kupata uchambuzi unaodhihirisha kujali na kuheshimu mjadala na nia.Binafsi nakushukuru sana. Hata hivyo napenda kukudhihirishia tafsiri ya ujumla na ya kawaida na hasa kwa lugha hiyo nyingine iliyoitumia pia inafahamika sana.Tatizo ni zama hizi na matukio duniani na pale yanapohusishwa na mazingira katika taifa(tuseme Tanzania.

Umeeleza vema jinsi ambavyo kiongozi yoyote anaweza kutumia udhaifu wa kibinadamu kupotosha/kuhamisha au nisema "to derail" madhumuni ya Nguvu ya Umma.Nikirejea Tanzania, nafikiri Taifa hili siyo mhitimu wa matumizi wa dhana ya matumizi wa dhana ya Nguvu ya Umma kama ilivyo Misri au ilivyokuwa Libya au pengine. Hoja hii inaweza kujadiliwa kwa upana.

Ni imani yangu kwamba Tanzania inaweza kupea katika kuandaa mifumo sahihi kujibu mahitaji ya walio wengi (majority) bila kutumia barabara hizo walizotumia wenzetu.Inawezekana hata hivyo, kiongozi yeyote mwenye nia yake iwe njema au potevu kutumia tafsiri ya nguvu ya Umma kupeleka taifa kusiko.

Nguvu ya Umma inaweza kutumiwa na mwenye ushawishi kuliangusha Taifa na hili Ndg Mngonge umeliweka vyema kwa kutoa mdfano wa Morsi na chama chake cha Muslim Brotherhood-imeungwa mkono kwenye kura ya maoni na walio wengi! (What a paradox!)

> Date: Wed, 30 Jan 2013 11:15:10 +0300
> Subject: Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI
> From: mngonge@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Ndugu Kaaya na Yachama nimeyasoma maoni yenu ni mazuri na yanafaa
> kujadiliwa kwa kina. Katika kuanza hoja hii nimegundua upungufu mmoja
> ambao nafikiri kabla ya kuanza kujadili madhara ya dhana ya nguvu ya
> umma ni vyema kwanza tukubaliane neno hilo lina maana gani na nini
> chimbuko lake.
>
> Nguvu ya umma (peoples power) nijuavyo mimi ni nguvu ya wengi
> (majority) hivyo ili mtu yeyote aweze kuungwa mkono na umma dhidi ya
> tunachokiita utawala wa sheria lazima kuwepo na mapungufu makubwa
> katika mamlaka iliyopo. Mamlaka zipo kwa ajili ya umma ukiona imefika
> mahali umma huo huo unazikataa mamlaka hizo ujue hiyo ni dalili kwamba
> mamlaka zimeshindwa kuhudumia umma kadiri ya matakwa na matarajio.
> Umma ndo kioo cha kuzijulisha mamlaka zilizopo kama zinafanya vizuri
> au la, sidhani kama ni sahihi kwa mamlaka kujiona zenyewe kwamba
> zinahudumia umma vizuri bila umma wenyewe kuridhia.
>
> Mtoa hoja kaongelea swala la ubinafsi wa viongozi wa dhana ya nguvu ya
> umma lakini tujue hata hao wanaokuwa wanapingwa ni wanadamu wenye
> ubinafsi pia. Umma kama umma unachokuwa unapigania ni kile
> wanachoamini ndo kitawapeleka kwenye usawa na haki japo waliombele yao
> yawezekana wakawa na lao jambo nyuma ya pazia.
>
> Ni kweli muda ndo mwamuzi mzuri wa kila tukio lakini kama mamlaka
> iliyopo haiutendei kile ambacho umma unatarajia tunautaka umma ufanye
> nini? Ukae kimya ukisubiri miujiza ya Mwenyezi Mungu au ndo hivyo
> uamue kujikita kwenye mchakato wa mabadiliko? Haya ndo maswali
> tunayotakiwa kuyatolea majibu. Kwa dunia tuliyo nayo leo inawezekana
> kikundi au mtu akatumia udhaifu mdogo uliopo kwenye mamlaka ili
> akautumie umma kukamilisha ndoto zake za ubinafsi. Ni vigumu kwa umma
> kuweza kumjua mtu wa namna hiyo. Ni juu ya mamlaka zinazoongoza
> kuhakikisha mianya hiyo inazibwa kwa kuutumikia umma kadri ya
> matarajio.
>
> Namalizia kwa kusema kwamba chanzo cha dhana ya nguvu ya umma ni
> udhaifu uliyopo kwenye mamlaka inayoongoza. Tatizo ni kubwa zaidi
> katika nchi maskini kama ya kwetu kwa sababu viongozi wetu hujifanya
> wanaungwa mkono na umma kwa kila wanachokifanya wakati umma hauwaungi
> mkono. Ni nguvu za umma huo huo zinaweza muweka mtu madarakani au
> kutomuweka wakati wa uchaguzi ulio huru na haki. Kama kiongozi ana
> mtizamo unaoungwa mkono na wachache huyo hajaingia madarakani kwa
> nguvu ya umma.
> Nikikumbuka maneno ya hayati baba wa taifa kwamba "ikulu ni mzigo na
> hivyo si mahali pa mtu kukimbilia'' Kama ni mzigo inakuwaje watu
> watake kujibebesha mizigo wakati upo uwezekano wa kuitua mizigo hiyo?
> Ninaamini kama viongozi na vyama vitakuwa na utamaduni wa kujipima na
> ikibidi kuwapisha wengine baada ya kugundua kwamba umma hauridhiki,
> dhana ya nguvu ya umma haitakuwa na nguvu wala nafasi tena
>
>
> 2013/1/30 ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com>:
> > Ndg yangu Gabriel analysis yako ni ya kina lakini kama uonavyo uchangiaji katila thread ?hii ni wa kunyemelea! Watu kidunchu wanajitokeza.
> >
> > Wanaojipambanua kama watema cheche wamepiga kimya. Kuna wakati walikuwa wanasema Tanzania yapaswa kupelekwa njia ya Libya! Tena walisema kwa sauti kubwa. Tuwaombe watuelimishe katika mada hii hususan kwa kuitazama Misri.
> >
> > Mchango wako unafikirisha.Asante.Mchango wako unafikirisha.Asante.</div>
> > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
> >
> > -----Original Message-----
> > From: Yachama Gabriel <yachama2012@gmail.com>
> > Date: Wed, 30 Jan 2013 04:29:48
> > To: <wanabidii@googlegroups.com>
> > Subject: Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI
> >
> >
> > Upo sahihi kabisa, nguvu ya umma hutumika kuharibu utawala wa sheria katika nchi. Mara baada ya viongozi kuingia madarakani, wanaowapinga nao huitumia kuwaondoa madarakani na mwanzo wa kuanguka kwa ustaarabu wa utawala wa nchi huanza hapo.
> > Kuna maoni nimekuwa nikiyasoma ya watu kushabikia utaratibu huo wa nguvu ya umma, wanaofanya hivyo hawajui matatizo yake. Utawala wa sheria huondoka na kila ajaye madarakani hawezi kudumu.
> > Rais Morsi alikuwa nyuma ya nguvu ya umma, akiwa nyuma ya Muslim Brotherhood, wakamg'oa Mubaraka, wakadhani wameshinda. Wakaunda serikali ya kibinafsi wakiwaacha akina Baradei nje. Wakatunga katiba inayowapendelea, inayoondosha utawala wa pamoja na pia wa ushirikishi, Rais kajirundikizia madaraka. Wenzao walioachwa nje, wakatumia mwanya huo kusema "Mapinduzi Hayajakamilika".
> > Hali ya kudorora uchumi na umaskini hutumika sana kusaidia mwitikio wa mambo ya kipuuzi kama "nguvu ya Umma" tumeona Mtwara na hao wanaohubiri dhana hii wanataka kuharibu taifa, hakuna jingine.
> > Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.
> >
> > -----Original Message-----
> > From: "ELISHILIA.D.S KAAYA " <kaayashilia@hotmail.com>
> > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Wed, 30 Jan 2013 03:26:13
> > To: martin pius<malagila01@yahoo.co.uk>; wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
> > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> > Subject: Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI
> >
> > Changamoto ninayoiona mimi inazaliwa na muda pia. Wanaojipambanua kama viongozi wa nguvu ya umma over time huwa wanabadilika ubinafsi unawafunika nguvu ya umma inapoteza mwelekeo. Sina uhakika na yanayojiri Misri kama Siyoi ushahidi wa hilo!
> >
> > Inasemekana muda hutoa majibu ya kila jamba na kama ulivyosema hapa mabadiliko hayapatikani overnight lakinini mimi naaza kupata wasiwasi pale ambapo taifa litaimba wimbo wa nguvu ya umma bila kujipima na kuzingatia mazingira. Yapo mambo ya kujifunza Misri kwa wanaotamani kuwa makini. Inasemekana muda hutoa majibu ya kila jamba na kama ulivyosema hapa mabadiliko hayapatikani overnight lakinini mimi naaza kupata wasiwasi pale ambapo taifa litaimba wimbo wa nguvu ya umma bila kujipima na kuzingatia mazingira. Yapo mambo ya kujifunza Misri kwa wanaotamani kuwa makini. </div>
> > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
> >
> > -----Original Message-----
> > From: martin pius <malagila01@yahoo.co.uk>
> > Date: Tue, 29 Jan 2013 17:46:45
> > To: <wanabidii@googlegroups.com>
> > Subject: Re: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI
> >
> >
> > Mabadiliko ya kidemokrasio sio kitu cha mwaka mmoja.
> >
> > Mapambano kati ya walio nacho na wasionacho ili kujenga jamii inayojali watu wanyonge sio kazi ka kulala na kuamka.
> >
> > Tafakari hilo
> >
> > --- On Tue, 29/1/13, ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com> wrote:
> >
> > From: ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com>
> > Subject: [wanabidii] NGUVU YA UMMA KULIKONI MISRI
> > To: "wanabidii@googlegroups.com " <wanabidii@googlegroups.com>
> > Date: Tuesday, 29 January, 2013, 18:56
> >
> >
> > Je tunajifunza nini kwa matukio yanayotokea huko Misri? Hivi tunaweza kweli kukubali kutuliza vichwa na kutafakari kuhusiana na msitakabali wa utaifa bila kuingiza nyongo ya ubinafsi kwa kutumia kichaka cha nguvu ya Umma na kuzua giza kuu?
> >
> > Je zipo awamu ngapi za nguvu ya umma zitakazolifikisha taifa lolote katika utulivu na kasi ya maendeleo? Libya iko wapi? Katika jukwaa hili hili tulikuwa na mijadala motomoto sasa imekwisha! Au Waafrika bado tunatumiwa na wale tuwaitao maadaui zetu au tumekuwa maadui wetu wenyewe sasa?
> > Sent from my BlackBerry® smartphone from VodacomSent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom</div>
> >
> > --
> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <http://www.wejobs.blogspot.com>
> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com <http://www.jobsunited.blogspot.com>
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com </mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com </mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com> .
> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> >
> >
> >
> > --
> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <http://www.wejobs.blogspot.com>
> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com <http://www.jobsunited.blogspot.com>
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> >
> >
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

0 comments:

Post a Comment