Wednesday 2 January 2013

Re: [wanabidii] osterbay

Hapa Marekani, mabepari waliokubuhu, maeneo yenye majengo ya serikali ni kama vile holy places.
Hayawezi kuuzwa kwa wawekezaji au wafanyi biashara. Ni bongo tu ambako hata Ikulu imeshapangiwa bei.
em

2013/1/2 <lucsyo@gmail.com>
Nakuunga mkono Yachama; na huo ndo uwekezaji wenye tija tunaouhitaji karne hii; hakuna sababu ya kukaa na eneo ambalo mwisho wa siku halina faida yeyote kwa jamii,
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: "Yachama Gabriel" <yachama2012@gmail.com>
Date: Wed, 2 Jan 2013 08:44:01 +0000
Subject: Re: [wanabidii] osterbay

Mimi sioni ubaya wa kituo kuuzwa na kuwekwa mall maana kitu kinahitaji portion tu ya eneo kwa kazi za kipolisi.
Mall italeta ajira nyingi na sura mpya ya eneo. Hata vijumba vya Tanesco vinaweza kuvunjwa na waliomo wakakaa kwenye jengo moja lla ghorofa 10.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

From: severina martin <sisoba2003@yahoo.co.uk>
Date: Wed, 2 Jan 2013 07:34:15 +0000 (GMT)
Subject: [wanabidii] osterbay

heri ya mwaka mpya 2013 wandugu,naomba kueleweshwa ni kweli kituo cha police cha osterbay kimeuzwa kwa mganda anataka kufungua mall kama ya mlimani city?

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment