Thursday 3 January 2013

[wanabidii] Re: serikali haijawaelewa watu wa Mtwara

Ndugu Rashid na wengine waziri ameweka clear

Kwamba Gesi na Mafuta yako baharini na yamekuwepo huko miaka maelfu
yalipopita kabla ya hata hii mipaka yetu kuwekwa , kwahiyo huwezi
kusema tu ni yetu au yao sijui ya upande huu .


On Jan 3, 12:19 pm, ELISA MUHINGO <elisamuhi...@yahoo.com> wrote:
> Labda wananchi wa Mtwara ndio hawajaielewa serikali. Sikutegemea serikali ieleze wanachotaka wananchi wa Mtwara. Kuna mfano gani hai serikali iliwahi kuonekana kuwaelewa wananchi wake.
> Ni kutafuta njia nyingine ya kutatua tatizo hilo Tunaweza kuwahi kabla ya kuelekea hatua ya Somalia. Inawezekana.
>
> --- On Wed, 1/2/13, rashid martin <rashi...@hotmail.com> wrote:
>
> From: rashid martin <rashi...@hotmail.com>
> Subject: [wanabidii] serikali haijawaelewa watu wa Mtwara
> To: "wanabidii google" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, January 2, 2013, 11:10 PM
>
>                          natia wasi wasi na uelewa wa viongozi wetu, sijui niwaite watawala,
> wananchi wa Mtwara hawajasema hawataki gesi isitumike kwa watu wengine, au ni lazima watumie wao tu, si kweli
> watu wa mtwara wanataka si tu kushirikishwa bali hata kufaidi juu ya gesi hiyo ikiwa pamoja na kufungua viwanda hivyo na wao wakapata ajira, wanaogopa falsafa ya kivuli cha mti wa mvuno ambao kimvuli cha mti huo hutua mbali sana na hivo kimvuli icho hakimfaidishi alie panda mti huo, hivi ina yamkinika MAFINGA-IRINGA pamoja na msitu mkubwa kiasi kile lakini wanafunzi wanakaa chini madarasani na wengine wanaweka viroba vikiwa vimejazwa mchanga ndo wanakalia, baba zao na mama zao waliulinda ule msitu kwa mali na kwa hali zao zote.....rejea film ya Darwin's nightmare(filamu ya mapanki) iliyo onyesha jinsi gani wananchi wa Mwanza walivo na wanavokula mapanki alafu minofu ya samaki inapelekwa nje
> watanzania tufunguke tukichekeana nchi itaharibika, hata Somalia na siera lione ilianza hivi hivi
> --
> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment