Thursday 3 January 2013

RE: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani

Kama wanasiasa na watu wengine hutumia salaam za aina tatu majukwaani kujali makundi matatuya kiimani  (asalaam alikum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Kristu)  basi asalaam aleikum sio sahihi tukiwa kanisani. ELIMU YA KUKARIRISHWA

Gosbert Mutasingwa
P.O Box 40
Biharamulo
KAGERA-Tanzania
0784 857 775/0758 491 247

--- On Thu, 1/3/13, Juma abdallah <juma.abdallah@huawei.com> wrote:

From: Juma abdallah <juma.abdallah@huawei.com>
Subject: RE: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, January 3, 2013, 5:49 AM

Asalam alikum-Amani ya bwana iwe juu yenu

Waalaikum salaam- Nanyi juu yenu iwe amani ya bwana.

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Reuben Mwandumbya
Sent: Thursday, January 03, 2013 3:05 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani

Salim;

Katika uhalisia Shekifu kakosea,alitakiwa kusoma mazingira asikwaze wengine.

Salamu hii ni ya Kiarabu hata kama maana yake kwa kiswahili ni Jambo lakini haikutakiwa pale,then bado kachanganya dawa zinazoripuka.

Pamoja na kwamba wapo Waarabu Wakristo ukweli unabaki kwamba sio asili yao,inawezekana walislimu kama wengine wanavyofanya

Reuben

From: Salim Rupia <zabarelo@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, January 2, 2013 11:08 PM
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani

Sikuwepo, labda ilikuwa Swaumu hiyo nyingine lakina alikuwa na Sheikh Ramia Bagamoyo na kichwa kilimuuma sana siku hiyo na pia hapa nam "quote" yeye mwenyewe kwenye hotuba zake; ukipenda kusikiliza utasikia.

Lakini sikuwa na maana ya kuchanganya hoja na Swaum; tuseme nimekosea. Vipi kuhusu hiyo Salaam? Maana ndo hoja nilochangia kuna mtu alisema ya kijinga na upumbavu...

2013/1/3 Reuben Mwandumbya <ipyana75@yahoo.com>

Salim usitupotoshe tafadhali;

Au labda upe ufafanuzi swaum unayoongelea hapa ni ipi?kama ni ya Kiislamu hutakuwa sahihi.

Hata Wakristo tunafunga na tunakuwa na swaumu wakati wa mfungo wetu kipindi kuelekea PASAKA.

So dont mix up issues.

Reuben

From: Salim Rupia <zabarelo@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, January 2, 2013 10:44 PM

Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani

Jamani, "Asalaam Alaykum" ni sawa na "jambo?"; yaani greetings" tu  ila kwa lugha ya Kiarabu.

Mnajua kuwa kuna Waarabu Wakristo na wanasalimia hivyo hivyo?

Na ujinga na upumbavu unaosemwa hapa ni wa salaam hiyo na walioanzisha ama ni huyo Muumini binafsi?

Mi namkumbuka Mkatoliki mmoja aliekuwa hadi anafunga Swaum ndiye aliehamasisha sana kusalimia kwa salaam hiyo majukwaani; alikuwa Mkuu wa kwanza wa Nchi hii. Tunasemaje hapo...
Huyo M bunge alikosea sana kwa kuwa kama wengi waliochangia wanavyosema, inawezekana alikariri salaam; kuwa akiwa mbele ya watu wengi aanze na salaam hiyo bila kukumbuka mkusanyiko ule ulikuwa wa watu gani.

Mi nakumbuka wakati wetu kwa wale tulopita National Service (JKT) ukipangwa ulinzi "Main Gate" kuna amri na maswali ambayo unakariri kuuliza kwa kila dereva wa gari litakalotaka kuingia kambini. Tulikuwa tunawatania kina "green kwanja" kuwa wao hata mchana watamwambia dereva "zima taa za mbele, washa taa za ndani" kwa kuwa hiyo ndo ilikuwa amri ya kwanza! Kisa; kukariri...

2013/1/3 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>

Hizi salamu ni za kijinga mno mno. Sijui huu upumbavu ulianzishwa na nani? Yaani tu taifa la ajabu sana.
Matinyi.

T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----

From: "godfred mbanyi" <mbanyibg@yahoo.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani

Date: Thu, Jan 3, 2013 5:14 am

Huu unafiki wa kisiasa utawaponza wengi!!! Utakuta kiongozi ni mwislamu safi, swala zote na hija ameenda, lakini anasimama kwenye jukwaa la siasa na salaam za " Tumsifu Yesu Kristo"!!!!!!!!!! Kisa, kutafuta sapoti ya wapiga kura!!! Asifiwe, mtu usiyemwamini?

--- On Thu, 1/3/13, magreth Mulokozi <m.mulokozi@gmail.com> wrote:

From: magreth Mulokozi <m.mulokozi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, January 3, 2013, 2:07 AM

Duu anatafuta kura  za 2015 sasa , duu  pole sana Nd Shekifu

2013/1/3 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>

.....alikariri.....siyo alikalili.

T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "adeladius makwega" <makwadeladius@googlemail.com>
To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Mbunge wa Lushoto azomewa Kanisani
Date: Thu, Jan 3, 2013 4:46 am

Shekifu aunza mwaka mpya Vibaya

Mbunge wa  Lushoto Hendry Shekifu ameuunza  mwaka wa 2013 vibaya
baada ya kuzomewa Kanisani  na  waamini katika    sherehe  za  mwaka
mpya baada ya kupewa nafasi ya  kuwasalimu washirika wa Kanisa Kuu  la
KKKT  Lushoto Tanga.

Ibada hiyo ya kuukaribisha  mwaka  mpya ilianza kwa  waumini kupokea
mahubiri  ya  mwaka mpya  yaliyohubiriwa na Mchungaji Walelaza  na
baadae kufuatiwa na ibada  ya ubatizo ambapo watoto wawili kutoka
familia  mbili walibatizwa.

Mara baada ya  ubatizo huo  ibada  ilifuatiwa na utoaji wa  Sadaka
huku  mbunge  huyo wa  Lushoto akionekana  kushiriki  kikamlifu
katika  ibada hiyo .

Akiwa  amevalia  suti  ya rangi  nyeusi  yenye mistari    midogo
midogo  miyeupe Mbunge Shekifu ambaye  aliwahi kushika nyadhifa
mbalimbali zikiwamo ukuu  wa mkoa alipewa nafasi ya kusimama  mbele ya
waamini mithili ya  kasisi.

Nafasi hiyo ilitolewa  wakati wa  Matangazo  huku  mchungaji
akiwaomba  waumini hao  kumsikiliza Mbunge wao ili awasalimu. Basi
Mbunge  Shekifu alisimama  huku akiweka    vizuri koti   kwa kujifunga
vifungo vya koti hili ambalo  lilionekana  kuutosha  mwili wake
mkubwa  uliojengeka  vizuri.

Alikisogelea kipaza sauti  mara  alianza kuongea   kwa
kujiamini."Aslaam Aleikumuuu…" Duu  utangulizi huo  uliharibu  hali ya
hewa  ya kanisa hilo wauumini kuanza  kuzomea na kuguna   kutokana
salaam  hiyo  iliyotolewa  mwanzoni  katika  sehemu  isiyo sahihi.

Hali hiyo iliwafanya waumini hao  kuibua  munkali huo kutokana na
kitendo cha  mbunge  huyo  pengine  kukalili namna  ya kusalimia watu
katika  majukwaa ya kisiasa  bila ya kujua kuwa  sasa  madhari
aliyokuwa nayo ilikuwa  ya  salaam moja  tu   kama sikosei ni Bwana
Yesu asifiwe au  Tumsifu Yesu Kristu.

Hekima  ilitumika   pengine  huku  yule aliyempa nafasi ya kuwasalimu
wauumini wake akijilaumu kuitoa  nafasi hiyo iliyotia  shubiri
kanisani hapo na kuibua  zomeazomea hiyo  ambalo  sio  jambo la
kawaida  kwa waumini kufanya hivyo.

Mchungaji Walelaze  ilibidi  kuinuka na kusema waziwazi  kuwa  Ndugu
Shekifu umekosea  sana kwanza  ulitakiwa  kujitambua kuwa  wewe
japokuwa ni  Kiongozi  pia wewe ni mkiristu   lolote utakalo fanya
popote  pale    tambua     unamajukumu mawili kwanza  ukiristu wako
na pili   kuwa  kiongozi.   Hapa ni kanisani  ulitakiwa kuwasalimia
waashirika  kwa   salaam   yao  siyo salaam hiyo uliyoitoa hapa.

Basi  mchungaji huyo alimaliza  mtafaruku huo huku  mbunge  huyo wa
Lushoto akishuka  katika mimbari ya kanisa  hilo kwa  fedhea na
kurejea  katika kiti chake  ambacho kilikuwa  jirani na  mlango   wa
kutoka  nje  ya  kanisa.

Mara  baada ua  ibada  hiyo  ya mwaka mpaya  mbunge huyo alionekana
kuwa mtu wa  mwisho kuondoka  kanisani  mara baada ya washirika  wote
kuondoka  lakini  washirika  hao  walisema kuwa   mbunge  huyo
amekalili  kusalimia   kwa  salaam    hizo   ndiyo maana  alipitiwa.

"Mimi nilitaka    Mbunge  aombe  msamaha  kwa alilolifanya  sio
kuondoka kimya kimya  tu  hawa wanasiasa  hawana adabu kabisa wanakuja
na   mbwembwe alafu wanapata aibu."alisema mama  mmoja
aliyejitambulisha  kwa  jina moja tu la Mama  Sarah.

Mshirika mwingine alimuunga  mkono mchungaji Waleleza kwa  kumkumbusha
Mbunge  huyo  kuwa  makini sana akiwa  kanisani  na kuheshimu  salaam
 za ibada   za makanisa  sio kuja  na  salaam    za   nyumba  zingine
za ibada.

"Pengine  inawezekana Mbunge huyu  asipewe  tena  nafasi ya
kuwasalimu waumini kanisani kutokana na kosa  hili," aliserma  mzee
mmoja wa makamo ambaye  alidai kuwa hilo ni kosa  baya.

Mwishoni alionekana  Mbunge Shekifu akiingia ndani ya  gari yake
nyeupe  yenye  Bendera ya  CCM ikipeperuka  mkono wa kushoto. Ndani ya
gari hiyo   kukiwa na  akina mama  watatu ambao walionekana  wakifunga
milango na  dereva   wa gari hilo akiondoa  gari  katika eneo la
kanisa  hilo.

Wasalaam  Adeladius Makwega

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment