Tuesday 16 October 2012

[wanabidii] MRADI WETU WA BENKI YA WANABIDII

Kaka Lwegasira,
Wengine tulikuwa hatupo hapa jamvini kwa muda mrefu.
Hivyo tulifikia wapi juu ya ule mradi wetu wa benki?
Kila la kheri.

//John Nkumbaruko

0 comments:

Post a Comment