Wednesday 31 October 2012

Re: [wanabidii] Wilbroad Slaa – Hii Ndiyo Fact Check Sahihi na ya Wazi

Tony,
Katika hili nakubaliana na wewe kabisa. Nadhani matarajio yalikuwa makubwa kwa upande wa Chadema.
Hili ni somo tosha kuwa bado wana kazi kubwa mbele.
em

2012/10/31 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
EM

Issue ya ushindi sana au kidogo unategemea matarajio kabla ya uchaguzi. Chadema walitegemea a windfall ya ushindi usiopungua kata 15 kati ya 29. Haya ndiyo matarajio na matokeo yamekuwa chini ya matarajio. Sasa kwa mantiki ya hoja ya kushinda/kushindwa, mara nyingi hatuangalii net-gain mnayoisema hapa, ambapo mpo sahihi; tunaangalia pace of victory kwa chama kilicho na matarajio ya kuongoza nchi karibuni.

Kwa pace hii ya kata 5 ni kama 1/6 au kwa maana nyingine wanahitaji chaguzi 2 mbele kupata slight lead ya viti vya udiwani au chaguzi tatu kupata landslide victory na wala sio 2015 wanayotegemea baadhi yao.

Katika biashara ya soko la mtaji, mapato yanayokuwa chini ya makadirio husababisha bei ya hisa kuporomoka. Kwenye siasa sina theory inayoeleza kana net gain ya viti bungeni ya asilimia fulani ni ashiria chanya la utawala katika muda mfupi. Kwa kifupi, ongezeko la kata 3 ni ushindi mwembamba kwa chadema na sio ushindi mkubwa kwao.

Nasubiri official results kupata kura kwa kila kata na turn-up ili kuweza kufanya analysis kupata uhalisia wa ushindi/kushindwa kwa vyama vilivyoshiriki katika uchaguzi huu.

Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Date: Tue, 30 Oct 2012 16:57:40 -0400
Subject: Re: [wanabidii] Wilbroad Slaa – Hii Ndiyo Fact Check Sahihi na ya Wazi

Tony,
It is a question of a glass being half empty or half full. Chadema wametetea viti vyao na kujiongezea vitatu.
To some that is a movement forward, no?
em

2012/10/30 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Bariki!

Self consolation! Hata baridi utaiita joto! Upofu wa kupenda, hata mweusi utasema mweupe kwavile hafanani na mkaa! Chadema wameshinda sana sana! Ngoja tusubiri Arusha mjini, makao makuu ya Chadema!

Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Date: Tue, 30 Oct 2012 18:57:07 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Wilbroad Slaa – Hii Ndiyo Fact Check Sahihi na ya Wazi

Kuna uchambuzi umekaa vibaya hapa ati Chadema wamepoteza Kata ngapi tena??? hapana, Chadema ilikuwa na Kata moja tu kati ya 29 na imefanikiwa kuongeza 3, hapa ni kuporomoka ama mimi tu mahamuma?? Tayari hesabu kwa Msajili wa Vyama itaongezeka na waliokuwa nazo nyingi watapunguziwa hesabu na madhara yake ni bayana kabisa. Hakuna Chama duniani ambacho hakina Kambi, hata kwa Obama huko walikuwa na kambi zao zikavunjwa baada ya mgombea kutajwa. Kambi ni nzuri na zinachangamsha jamvi la wahusika kwa mtizamo wangu.

2012/10/29 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
F.kitigwa!

Wabaya wa Dk Slaa ambayo ni kemp ya kina Zitto, wapo kazini na ataaibishwa zaidi na zaidi asipokuwa makini maana chadema kwa sasa mpo kemp 3 kali na za burudani! Uone tatizo lenu ndo mmepoteza kata 22 kati ya 29 za chaguzi jumapoli. Chadema mmeambulia kata 5 tu! Pole, ndio mwanzo wa kuporomoka kwenu msipoangalia! Zitto akimsifia JK, huoni mmeingiliwa? Laleni usingizi wa pono!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
Date: Mon, 29 Oct 2012 12:21:09 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Wilbroad Slaa – Hii Ndiyo Fact Check Sahihi na ya Wazi

UPUUZI MWINGINE HUU
PLEASE STOP THIS STUPIDITY

2012/10/29 nacha <abunuwasinacha@gmail.com>

Mzee Wilbroad Slaa – Hii Ndiyo Fact Check Sahihi na ya Wazi

WAHENGA waliamini kuwa tabia na hulka ya binadamu haibadiliki hata akiwa na umri mkubwa kiasi gani. Chukulia mfano wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Wilbroad Slaa.  Huyu kwa umri wake, kwa asili yake ya kupitia mifumo ya dini ya Kikristo madhehebu ya Kikatoliki, asingekuwa mtu wa kutunga, kusema na kuwaaminisha watu ukweli. Huyo ni mtu ambaye alikuwa padre, kiongozi mkubwa wa kiroho. Usingemtegemea kabisa kutunga na kuwaambia watu uongo. Kwa hakika, tabia yake hiiya kutunga na kusema uongo inazua maswali kuhusu mfumo mzima wa kulea watoto katika Seminari na kufundisha mapadre katika Kanisa hili.

Mtu kama Slaa – mzushi, mwongo, mnafiki asiyeheshimu watu anaweza vipi kufikia hatua ya kuwa padre; baya zaidi aliweza vipi kupanda ndani ya mfumo huo hadi kufikia kuwa Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC). Nasema haheshimu watu kwa sababu mtu anayetaka watu wamchangue awaongoze, hawezi tena kushiriki katika tabia ya kuwadanganya na kuwafanya wapumbavu. Lakini Bwana Salaa hili halimnyimi usingizi. Majuzi, Ijumaa, kule Sikonge, Tabora amezua na kutunga jipya. Amedai kuwa Julai 2, mwaka huu, 2012, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alisafiri kwenda Hong Kong kumwokoa mtoto wake wa kiume, Ridhiwani Kikwete ambaye anadaiwa kuwa alikuwa amekamatwa na mihadarati siku moja kabla, yaani Julai Mosi.

Huu ni uongo wa dhahiri kwa sababu ratiba ya Mhe. Rais Kikwete katika siku hizo anazozitaja Slaa iko wazi.

Julai Mosi, akitumia Ndege ya Rais, alisafiri kwenda Rwanda ambako alihudhuria Sherehe za Miaka 50 ya nchi hiyo na akalala mjini Kigali. Julai 2 alisafiri kwenda Bujumbura kuhudhuria Sherehe za Miaka 50 ya Burundi.  Alirejea Dar es Salaam Julai 3 na Julai 4 alikutana na ujumbe wa Kampuni ya IBM na Mjumbe Maalum kutoka Zimbabwe. Julai 5, alikwenda Dodoma ambako aliendesha Kikao cha Baraza la Mawaziri na kurejea Dar es Salaam siku hiyo hiyo. Sasa alikwenda Hong Kong lini? Ama alikuwa Burundi na Hong Kong siku hiyo hiyo? Slaa anadai pia kuwa alipowasili Hong Kong, Mheshimiwa Rais Kikwete alipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini China, Mheshimiwa Philip Marmo ambaye alimpeleka kwenye mkutano na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mheshimiwa Hu Jintao. Huu ni uongo mwingine wa dhahiri na ambayo sijui unamsaidia nini Slaa. Slaa anasema uongo kuhusu Balozi Marmo kwa sababu ratiba ya Mheshimiwa Marmo kwa siku sita za mwezi Julai nayo iko wazi na siyo kificho.

Kwanza, Ubalozi wa Tanzania katika China hauko Hong Kong bali uko mjini Beijing na Mheshimiwa Marmo hajawahi hata kufika Hong Kong. Taarifa kutoka Hong Kong amekuwa anazipata kutoka kwa Balozi Mdogo wa heshima wa Tanzania Mheshimiwa Clement Chan. Hata juzi, Ijumaa, Oktoba 26, Balozi Marmo alikutana na Bwana Clement Chan. Balozi Marmo anapanga kutembelea Hong Kong kwa mara ya kwanza mwishoni mwa mwezi ujao, Novemba, 2012. Angalia ratiba ya Mheshimiwa Marmo katika wiki ya kwanza ya mwezi Julai mwaka huu:

Julai Mosi, Balozi Mamro alikuwa ofisini Beijing. Julai 2, Balozi alihudhuria Sherehe za Siku ya Mongolia mchana na usiku alihudhuria Sherehe za Siku ya Djibouti kwenye Hoteli ya Lengedane mjini Beijing. Siku nzima ya Julai 3 alishiriki katika warsha ya Kampuni ya China Chemicals Techonologies Group ambayo inataka  kufungua viwanda cha madawa na mbolea nchini Tanzania. Asubuhi ya Julai 4, Balozi Marmo alikutana na ujumbe wa Kampuni ya Sichaun Honda Group inayowekeza katika miradi ya Mchuchuma na Liganga na jioni ya siku hiyo alikutana na ujumbe wa Kampuni ya Mawasiliano ya ZTE. Julai 5, Balozi  alihudhuria Sherehe za Siku ya Venezuala Day na Julai 6 alijiunga na Mabalozi wa Nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki katika mkutano wa Forum on Trade na Cooperation na jioni alihudhuria Sherehe za Rwanda Day. Sasa, Balozi Marmo alikwenda lini Hong Kong kumpokea Mheshimiwa Rais kama siyo uongo?

Katika siku zinazotajwa, Bwana Ridhiwan alikuwa Dar es salaam muda wote.  Kwa hakika, Ridhiwan hajapata kufika Hong Kong ama China katika maisha yake yote. Nchi pekee inayokaribia China ambayo amewahi kuitembelea ni Dubai kwa sababu hata India hajapata kufika. Ratiba hizi za Mhe. Rais na Mheshimiwa Marmo na ukweli kuwa Ridhiwan hajapata hata kufika China ama Hong Kong ni ushahidi usiopingika kuwa Mzee Slaa kwa mara nyingine ametunga, yeye amekuwa bingwa wa goofing. Huyu ni mtu anayezeeka vibaya. Tunaamini kuwa ameanza kuchanganyikiwa pengine kwa kuzidiwa na jukumu ya kulea mtoto-mjukuu na kumtunza mchumba Bi Josephine ambaye wanaishi kama vimanda kwa sababu huyo mama bado anayo ndoa halali. Pole sana Mzee Slaa kama Josephine na mwanae amekushinda mrudishie mwenye mali yake.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment