Wednesday 31 October 2012

[wanabidii] Re: MAFANIKIO KUELEKEA MWISHO WA MICHANGO MIKUBWA YA SHEREHE

Kuhusu michango

Sisemi tusitoe michango, la hasha.

Ukweli ni kuwa sasa hivi nachanga kuliko nilivyokuwa nachangia
harusi/sherehe. Kuacha kuchangia sherehe kumenipa nafasi ya kuongeza
michango hasa kwa wanaohitaji msaada kwenye elimu. Wako wahitaji wengi
hata kabla sijaenda mbali. Na michango hiyo pia inatumika kuchangana
uchumi maana ni fedha inatumika.

Kuhusu madhara kwa biashara. Tunavyoacha kuchanga hakutaua ghafla hizo
kumbi za sherehe na caterers na MCs na wapiga picha. Sherehe zitapungua
ukubwa taratibu kadri tunavyozigonga lakini zitaendelea kuwepo. Hata
tusipozipiga vita sherehe kubwa zitakuja pitwa na wakati. Tunachofanya ni
kuharakisha tu kuzipunguza ili ziwaachie watu nafasi ya kuweza kuwekeza
zaidi kwenye shughuli zingine (na watatumia tu hizo hela) na kuacha
kuingia kwenye mlolongo wa madeni ambayo hayana tija kiuchumi kwao. Hizo
kumbi zinaweza kuja kugawanywa kuwa ndogondogo (ujue na idadi na
msongamano wa watu na pia kipato cha watu kinapanda) au kufanya shughuli
nyingine

Kuhusu madai ya Dr. Mbura kuwa nachanga "kifichokificho" hiyo ni bahati
mbaya sana kwa sababu huyu bwana ninayemuheshimu sana anatoa madai serious
namna hii kwenye hii kadamnasi kutokana na kusikia pengine kwa walioko
upande wake. Ina maana anawaambia watu wa karibu ambao siwachangii kuwa
kumbe wenzao nawachangia -jambo ambalo si kweli. Ukweli kuna watu wa
karibu siwachangii lakini nikipata mwanya kwennda kwenye sherehe au hata
baada yake nawapa zawadi kama sikuweza kuhudhuria. Kwani hapa kuna tatizo?
Hapa nafikiri sijaeleweka kabisa kwa Dr. Mbura. Ndiyo maana unaniangalia
mimi unashangaa kwa nini sitaki kuchanga. Tatizo ni desturi ambayo
inawaumiza sana baadhi ya watu (bahati wewe si mmojawapo). Wako wengi wa
ambao 30% au zaidi ya kipato chao inatumika kwenye michango ya sherehe.
Sasa nilitegemea wasomi wanapoliangalia jambo wanaangalia linavyosaidia au
kuumiza jamii na si tu kwamba wao wanamudu michango hiyo au la.

Kuhusu watoto wangu wakioa au kuolewa kwani kuna shida gani? Kuna ndugu wa
karibu. Nina marafiki ambao nashiriki kwenye sherehe zao, bila kuchanga.
Nitawaalika. Mtoto atakuwa na marafiki wake. Tutawaalika, na kama ni
marafiki watakuja. haihitaji kuwa sherehe ya watu 300+. Uzuri wa sherehe
ni kwamba haiji ghafla. Unapanga. Kwa hiyo unajiandaa. Tatizo ni kuwa tuko
kwenye "box" la sherehe kubwa na watu wengine wanafikiri kuwa hiyo ndio
standard. Nani kasema?. Na kuna ambao wanapima status yao kwa ukubwa wa
sherehe wanayofanya. Si mimi


% Conquered with Dr Anderson.
%
% Elladius
% Kuro Expeditions
% Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
%
% -----Original Message-----
% From: wineaster@udbs.udsm.ac.tz
% Date: Wed, 31 Oct 2012 17:43:41
% To: <mburao@yahoo.com>
% Cc: Donath R.Olomi<olomi@imedtz.org>; <jkavishe@gmail.com>;
% <wanabidii@googlegroups.com>; <magesa@tanzaniaports.com>;
% <academicstaff@udbs.udsm.ac.tz>; 'Richard Kasesela'<rkasesela@gmail.com>;
% <issamichuzi@gmail.com>; <johnbukuku@gmail.com>;
% <mjengwamaggid@gmail.com>; <haki.yako@gmail.com>;
% <wanataaluma@googlegroups.com>; <m_mbura@yahoo.co.uk>;
% <mhegera@hotmail.com>; <masaoe@hotmail.com>; <oswald_urassa@hotmail.com>;
% <innojg@me.com>; <jjnyella@hotmail.com>; <tmuganyizi@tra.go.tz>;
% <stmrema@hq.bot-tz.org>; <lextlm@hotmail.com>; <gokkibaga@gmail.com>;
% <dakifile@simbanet.net>; <geoffkasambula@yahoo.com>;
% <edwinfulltime@yahoo.com>; <dgtenga@hq.bot-tz.org>; <aamdimu@gmail.com>;
% <hkitenge@yahoo.com>; <salumm@hotmail.com>; <kfairom@gmail.com>;
% <askk@excite.com>; <jeffnsemwa@yahoo.co.uk>;
% <ericshitindi@utumishi.go.tz>; <mwakalinga@hotmail.com>;
% <amani37@yahoo.com>; <nyoxterie@yahoo.com>; <maponde59@yahoo.com>;
% <yetongola@hq.bot-tz.org>; <josephatsanda@yahoo.com>; <jrmsaki@yahoo.com>;
% <msafiri_1965@yahoo.com>; <ed@hakielimu.org>; '<josseysteve@yahoo.com>;
% <hkitenge@hotmail.com>; <rlwakatare@yahoo.com>;
% <jnjau@cresta-attorneys.com>; <hutoldu@yahoo.com>; <magai@immma.co.tz>;
% <killpests@gmail.com>; <gonza30@hotmail.com>; <glwakatare@nwb.or.tz>;
% <lkanijo@gmail.com>; <clement@samcatgroup.com>; <iyennsemwa@gmail.com>;
% <bkaissy@tra.go.tz>; <e_maseke@yahoo.co.uk>; <emapesa@yahoo.com>;
% <fmwaisela@yahoo.com>; <ekakuyu@ppftz.org>; <ikalumuna@hotmail.com>;
% <csabuni@tra.go.tz>; <skimaro@tra.go.tz>; <singili@intafrica.com>;
% <hasner_8@hotmail.com>; <atumwa@yahoo.com>; <chandosophia@hotmail.com>;
% <mas_jirabi@hotmail.com>; <mas_jirabi@yahoo.com>; <j_haule@hotmail.com>;
% <void_k@yahoo.com>; <taiyoerasto@yahoo.com>; <gmagulu@yahoo.com>;
% <sittir@stanbic.com>; <smsangi@mail.com>; <kiafrema@yahoo.com>;
% <ikushoka@yahoo.com>; <asimwe@eiq.net.au>; <e.ombaka@gmail.com>;
% <akavishe@bancabc.com>; <anna@cartrack.co.tz>;
% <ansimmasi@barakasolar.co.tz>; <stideslyte05@yahoo.com>;
% <bosco@infoconsultancy.com>; <butamop@yahoo.co.uk>;
% <daniel@technologyconcepts.co.tz>; <management@trust.co.tz>;
% <dennisfrancis2010@yahoo.com>; <dicksonhyera@yahoo.com>;
% <olomi@udbs.udsm.ac.tz>; <mayoinsuranceltd@gmail.com>;
% <yobu@udbs.udsm.ac.tz>; <tzasili@yahoo.com>;
% <eric.duplessis@theprofingroup.com>; <bdm@skylinktanzania.com>;
% <magadytz@yahoo.com>; <godmosha@yahoo.com>; <principal@ud.co.tz>;
% <hopeofhelen@yahoo.com>; <hildegardmziray@gmail.com>; <kwigaya@yahoo.com>;
% <oosir@resolution.co.tz>; <rtemba@yahoo.com>; <skeeter24emma23@yahoo.com>;
% <tq@datavision.co.tz>; <viv@bizonlineafrica.com>;
% <wonyango@resolution.co.tz>; <md@pmc.co.tz>; <ovacado@hotmail.com>;
% <muraguri@bnieastafrica.com>; <gkatulamahendeka@yahoo.com>;
% <bmunisi05@yahoo.com>; <dshambwe@nhctz.com>; <machangaanna@yahoo.com>;
% ASED KIPEPE<sdkipepe@gmail.com>; <samsimpilu@tanzaniaports.com>;
% <mobinsons@yahoo.com>; <hmwamsyani@yahoo.com>; <cnazi2002@yahoo.com>;
% <j99cgum@yahoo.com>; <s.muhongo@bol.co.tz>; 'President -
% TPN'<president@tpn.co.tz>; 'Method Bakuza'<mayoelectf@yahoo.com>;
% <a.nguluma@rexattorneys.co.tz>; <abckowero@yahoo.co.uk>;
% <adelaidan@gmail.com>; <admin@kongoi.com>; <adrianngasi@yahoo.com>;
% <afaraji@hotmail.com>; <akilonge@yahoo.co.uk>; <albertsozzy@yahoo.com>;
% <ali_seif@yahoo.com>; <ally.mzava@natnets.org>; <allymzava@yahoo.com>;
% <almkindi@gmail.com>; <amarco.marco0@gmail.com>; <amidelo@hotmail.com>;
% <anaelm@resolute-ltd.com.au>; <andrew.kwayu@kilimo.go.tz>;
% <angelinaballart@yahoo.com>; <asaguti@mkapahivfoundation.org>;
% <atemu@calder-systems.com>; <bahati.geuzye@tz.ey.com>;
% <bandaobed@yahoo.com>; <bastectz@hotmail.com>; <beatuslm@yahoo.com>;
% <bertharita2002@yahoo.co.uk>; <bin_yakub@hotmail.com>;
% <bmbambe@gmail.com>; <bmwasonga@hotmail.com>; <bnjau@interconsult-tz.com>;
% <bnjau@uccmail.co.tz>; <bonitakilama@yahoo.com>; <bosser13@yahoo.com>;
% <brighton.chiza@aku.edu>; <bubelwa.kaiza@fordia.org>; <buseejj@yahoo.com>;
% <carolmchome@gmail.com>; <cdnkassala2002@yahoo.co.uk>;
% <cgeleja@yahoo.com>; <chaddy@tacaids.go.tz>; <chami296@hotmai.com>;
% <charles.nkondola@tz.sabmiller.com>; <christopher.makombe@sc.com>;
% <ckabunga@iom.int>; <clementmm88@yahoo.com>; <consomaimu@yahoo.co.uk>;
% <cuthbertswai2003@yahoo.co.uk>; <daftaridr@yahoo.com>;
% <danisteph2001@yahoo.com>; <dataworks02@yahoo.co.uk>;
% <ddjumbe@yahoo.co.uk>; <ddmwaka@yahoo.com>; <devotamdachi@yahoo.com>;
% <dignaisaya@yahoo.com>; <dkipeja@hotmail.com>; <dnps@hq.bot-tz.org>;
% <e.sinare@rexattorneys.co.tz>; <ebaruti@yahoo.com>;
% <edwinfulltime@yahoo.ca>; <ehongoli@yahoo.com>; <ekwanama@hotmail.com>;
% <emaige@parliament.go.tz>; <emmammbaga@hotmail.com>;
% <emmanuel.nnko@gmail.com>; <emmylaugh@yahoo.com>;
% <emnyawami@emarongroup.com>; <emsenkoro@mkapahivfoundation.org>;
% <emshunga@hotmail.com>; <enamunisi2@yahoo.co.uk>;
% <endeleanorbert@gmail.com>; <eongogo@yahoo.co.uk>;
% <erwejuna@vodacom.co.tz>; <esalla@barrick.com>;
% <fadhilimatimbwi@yahoo.com>; <faustine@dr.com>; <fbundala@hotmail.com>;
% <flyimo@vodacom.co.tz>; <fmasau@hotmail.com>; <fmrisho@gmail.com>;
% <frank@goyayi.com>; <freddmsemwa@yahoo.com>; <frederickmandara@yahoo.com>;
% <fredmsemwa@yahoo.com>; <fresh@freshjumbe.com>;
% <fridolinewilibard@yahoo.com>; <garetrace@hotmail.com>;
% <geofrey.mwapongwe@tanzaniaparks.com>; <gkigolla@yahoo.com>;
% <gmalisa@costech.or.tz>; <gwahe@yahoo.com>; <hamisi_pazi@yahoo.com>;
% <happymchomvu@yahoo.co.uk>; <hasham.salim@gmail.com>;
% <hassan.mhelela@bbc.co.uk>; <hildebrandshayo@googlemail.com>;
% <hmshinda@costech.or.tz>; <hokapanya@yahoo.com>;
% <hom@tanzania-online.gov.uk>; <hswai@csir.co.za>; <iddyrashy@yahoo.com>;
% <imma@kaale.co.tz>; <imma_mmari@yahoo.com>; <info@ssc.co.tz>;
% <infoff@raha.com>; <j.mowo@cgiar.org>; <j.w.olotu@gmail.com>;
% <j_luponel@yahoo.com>; <j_mayunga@yahoo.com>; <j_nyanza@yahoo.com>;
% <james.bokela@tz.sabmiller.com>; <jgervas@hotmail.com>;
% <jkisyeli@yahoo.com>; <jmomburi@mof.go.tz>; <jmomburi@yahoo.com>;
% <jmwangakala@yahoo.com>; <joemasala@gmail.com>; <johnwambura@yahoo.com>;
% <joshu3m@gmail.com>; <jparess@yahoo.com>; <jrmasenga@yahoo.com>;
% <jubilate.muro@newfrontiers.co.tz>; <jumanne_magiri@yahoo.com>;
% <kachuchura@yahoo.com>; <kelandschool@gmail.com>; <ketronique@gmail.com>;
% <kiyenjeo@gmail.com>; <kpaul@agumba.biz>; <kranmilis@yahoo.com>;
% <laizerpn@yahoo.com>; <lillianmwinuka@yahoo.com>; <lilyutouh@yahoo.com>;
% <lkiamba@gmail.com>; <lunguyam@tz.cdc.gov>; <lupilya2002@yahoo.com>;
% <lwimmy@yahoo.com>; <lyimo@yahoo.com>; 'Dr.david'<dmruhago@yahoo.com>;
% 'itika kisunga'<itikam22@yahoo.com>; <drnyagawa@hotmail.com>;
% <yipuge@gmail.com>; 'DANNY MWASANDUBE'<dmwasandube@btinternet.com>;
% <boaz.kitaja@sgs.com>; <jmwakasyuka@parliament.go.tz>;
% <maige_e@hotmail.com>; <mansour.hamdun@swissport.co.tz>;
% <maorchid@gmail.com>; <mariammasasi@hotmail.com>; <marina@dapad.org>;
% <maxence.melo@jamiimedia.com>; <mayoelecf@yahoo.com>; <mchaula@iaa.ac.tz>;
% <mchirangi@hotmail.com>; <me@mikemushi.com>; <mercyktz@yahoo.com>;
% <mfunguo@yahoo.com>; <mgmbowe@hotmail.com>; <michaeltarimo@yahoo.co.uk>;
% <mkinanga2001@yahoo.com>; <mmahiga@professionalapproach.co.tz>;
% <mmasenga@tasaf.org>; <mmatui@yahoo.co.uk>; <mngatwa@yahoo.com>;
% <mnyirenda@tea.or.tz>; <mohameds@raha.com>; <mollelgodson@yahoo.com>;
% <mpambalioto@gmail.com>; <mpembe99@yahoo.com>; <mpomabiva@raha.com>;
% <msadoti@yahoo.co.uk>; <msagati@ukzn.ac.za>; <msamatie@yahoo.com>;
% <mshana1978@yahoo.com>; <mtambwe@dailynews-tsn.com>; <mukama@erb.go.tz>;
% <mustafahassanali@gmail.com>; <mwasandendek@yahoo.com>;
% <mwavangila@hotmail.com>; <mwemamm@yahoo.com>; <mwitondi@yahoo.com>;
% <mwombeki.fabian@gmail.com>; <mzeerahim@yahoo.com>;
% <naasemaasante@yahoo.com>; <nangelmwa@yahoo.com>;
% <nasemaasante@yahoo.com>; <nazir@natoil.co.tz>;
% <ngemera.ndibalema@songas.com>; <oigogo@yahoo.com>;
% <oliver22ngolle@hotmail.com>; <olnexchillo@yahoo.co.uk>;
% <olnexchillo@yahoo.com>; <olomi@yahoo.com>; <paulinekimollo@yahoo.co.uk>;
% <pav@mwanzoparklodges.co.tz>; <peter.mwakabwale@heifertz.org>;
% <petermkumbo@yahoo.com>; <pharesmagesa@yahoo.com>; <planwelltz@yahoo.com>;
% <pmagesa@hotmail.com>; <pmrosso@bol.co.tz>; <pmziray@hotmail.com>;
% <premi@ikulu.go.tz>; <ptesha@airports.go.tz>; <pwitule@yahoo.com>;
% <rachel.mwalukasa@barclays.com>; <rafii@bmtelecomms.co.tz>;
% <ray.menard@cheetahdevelopment.org>; <restymushy@yahoo.com>;
% <ringogl@gmail.com>; <rjiwani@hydrovision.us>; <rmtingwa@vodacom.co.tz>;
% <robert@ngalomba.com>; <robertm@nbctz.com>; <roselyne@habari.co.tz>;
% <rosemarymwakitwange@gmail.com>; <rotts76@yahoo.co.uk>; <rswai@saedf.com>;
% <ruhago@hotmail.com>; <rukiko2007@yahoo.com>; <sadakitchen@yahoo.com>;
% <sambaa00@yahoo.co.uk>; <sawadh@ssc.co.tz>; <senanews@hotmail.com>;
% <seronga.wangwe@bcx.co.tz>; <shabbah99@yahoo.com>; <sinarezu@yahoo.com>;
% <sjmwanri2003@yahoo.com>; <solartz@yahoo.com>; <stezura@emec.co.tz>;
% <swaisr@yahoo.com>; <t.husna@gmail.com>; <tamongsco@yahoo.com>;
% <tanlaptz@gmail.com>; <taskmgt@gmail.com>; <telvintz@yahoo.com>;
% <tobyswai@yahoo.com>; <tom@retom.com>; <triphosa.mutakyahwa@nmbtz.com>;
% <tsambwette@yahoo.com>; <tza_jmeena@gdlnmail.org>; <vera.ngowi@gmail.com>;
% <victoria.elangwa@tanesco.co.tz>; <wachira.mureithi@ultravetis.com>;
% <wamburaj@tz.cdc.gov>; <yase.ngwandu@yahoo.co.uk>;
% <ymshana2003@gmail.com>; <yonah.samo@undp.org>; <zoumingneng@huawei.com>;
% <dmujemula@yahoo.com>; <gerald.jeremiah@dawasco.com>;
% <lkasilima@nhctz.com>; <linda_mkaitte@yahoo.co.uk>;
% <rose.tesha@yahoo.com>; <belindaringo@lycos.com>;
% <ulitsakholzunova@gmail.com>; <johannesjovin@yahoo.co.uk>;
% <doromanka@yahoo.com>; <bmukama@yahoo.com>; <emarontz@gmail.com>;
% <mbazij@unaids.org>; <pricekelly@yahoo.com>; <mwasikilithom@yahoo.com>;
% <eqnungu@yahoo.com>; <ndekia@gmail.com>; <fmshahara@yahoo.com>;
% <empallano@gmail.com>; <islam662002@yahoo.com>; <kwemishuza@yahoo.com>;
% <saidmdee@yahoo.com>; <piuskaheshi@yahoo.com>; <merindafm@hotmail.com>;
% <pkajiba@yahoo.com>; <nrutabasibwa@yahoo.co.uk>; <akacuth@gmail.com>;
% <lucydalu@yahoo.com>; <info@emec.co.tz>; <info@rexsolarenergy.com>;
% <louismlingi@hotmail.com>; 'judith.charles'<judith.charles@aku.edu>;
% 'Emmanuel Mmari'<emmammari@gmail.com>; <kazael.elangwa@hrct.co.tz>; 'Eng.
% Kimaka.'<mkimaka@yahoo.com>; 'ali mzige'<amzigetz@yahoo.com>; 'palmaram
% aloyce'<pamlaone@yahoo.com>; <marco.makanyaga@tz.bp.com>;
% <jucharl@yahoo.com>; <vidah_b127adn@yahoo.com>; 'Vera
% Mugittu'<vera@muvek.co.tz>; 'Mzee
% Mwanakijiji'<mwanakijiji@jamiiforums.com>; <mwanakijiji@mwanakijiji.com>;
% <bmahenya@yahoo.com>; <magesa@hotmail.com>; <mkmziya@yahoo.com>;
% <mmahiga@pa.co.tz>; <mmwenda@wia.co.tz>; <thomas.ngwandu@siemens.com>;
% <sam@danimex.com>; <hlawere@yahoo.com>; <info@dewjiblog.com>;
% <amichuzi@gmail.com>; <salimtzr@yahoo.co.uk>; <salimfomari@hotmail.com>;
% <imanikajula@hotmail.com>; <dg@nhctz.com>; <marwajr@gmail.com>;
% <lawrence.mafuru@nbctz.com>; <ictstaff@tanzaniaports.com>;
% <pamela@ramaniequipment.com>; <pkisamo@peakperformance-int.com>;
% <kyando.mchechu@nhctz.com>; <vmtemi@nhctz.com>; <iwatoedwin@hotmail.com>;
% Mobhare Matinyi<matinyi@hotmail.com>; <sawadhi@randrtz.com>;
% <chami296@hotmail.com>; <wineaster@yahoo.com>; <echiume@gmail.com>;
% <dmwanyika@barrick.com>
% Subject: Re: MAFANIKIO KUELEKEA MWISHO WA MICHANGO MIKUBWA YA SHEREHE
%
% Wasiwasi wangu mkubwa ni kuwa:
%
% 1. Je, issue ni kiwango tunachochanga au ni kutokuchanga
% kabisa???Atakayefanikiwa katika hili (yaani kugomea mchango wa harusi),
% huenda akahamia kwenye kugomea mchango mwingine na mwingine, eventually
% tutabaki kama Westerners, we kaa kwako na mimi nikae kwangu! Bila kujua
% tutaua hospitality na ujamii tuliyoizoea.
%
% 2. Tunapiga vita michango ya harusi, ila matokeo yake kiuchumi tutakuwa
% tunapiga vita na biashara mbalimbali, yaani kumbi za sherehe, waleta
% vyakula na vinywaji, waleta muziki, tarumbeta, MC, nk. Mwishoni tutakuwa
% tunasababisha uchumi wa wahusika wote kwenye value chain nzima
% kuzorota.Kumbuka watoa huduma wote wanatumia hela wanayoipata kwenye
% sherehe husika kupelekea watoto wao shule, hospitali, n.k. Je, ukikutana
% naye amesimama njiani akakuomba mchango wa mwanae utampatia? Ni bora
% anapofanya kazi husika akalipwa indirectly kwenye harusi, na sisi maisha
% yetu yakaendelea. Au?
%
% Nchi zote zilizoendelea wana-encourage consumption ya watu wake ili
% viwanda vizalishe watu wapate ajira, n.k. Sisi tukipiga vita sherehe ya
% harusi moja (mfano), je unajua unasimamisha ajira ngapi? Wajasiriamali,
% ni
% aje tena?
%
% Tufikiri zaidi,
%
% Wineaster
%
% Dr. Wineaster Anderson
% Director
% University of Dar es Salaam Quality Assurance Bureau
% Senior Lecturer, Department of Marketing
% P.O.Box 35046
% Dar es Salaam-TANZANIA
% Mob: +255 (655/688/754)387250
%
% Publications:
%
% http://www.tandfonline.com/doi/pdf/10.1080/13032917.2011.633041
% http://www.esv.info/contributor/WINEASTERANDERSON/katalog.html
% http://www.tandfonline.com/doi/abs/10.1080/15228916.2011.588912
% http://arajournal.net/article/veure/id/44
% http://www.emeraldinsight.com/10.1108/16605371011083495
% http://www.informaworld.com/smpp/content~db=all~content=a910339555
% http://www.acp-edulink.eu/node/2066
% http://www.emeraldinsight.com/journals.htm?articleid=1796085&show
% http://www.theiimp.org/PDF/ijmpp2.pdf#page=32
% http://www.chios.aegean.gr/tourism/VOLUME_7_No1_art16.pdf
%
%
%
%
% On Tue, October 30, 2012 9:32 pm, Omari Mbura wrote:
%> Ndugu wadau wa uchangaji wa harusi,
%> Niseme wazi kuwa fedha inauma kuitoa kwa madhumni yoyote yale. Hata
%> haya
%> ambayo yanaonekana kuwa ya umuhimu iwe ni elimu, matatzo n.k. Lakini
%> inatubidi kuitoa fedha hiyo kutokana na msukumo unaotokana na wale
%> tunaowatolea fedha hizo. Tumeendelea kutoa michango kwa matatizo na pia
%> kwa furaha. Kuna ubaya gani ukichangia masuala yote haya ya furaha,
%> maendeleo ya kielimu n.k na ya huzuni. Haya ndiyo yanaleta mshikamano
%> zaidi. Tofauti kidogo na maelezo yaliyotolewa ni kuwa naona michango ya
%> harusi imekuwa zaidi na watu hulaumu sana wasiposhirikishwa. Na watu
%> wanatoa fedha hizi kwa furaha na wakatio mwingine kwa mbwembwe zaidi
%> lakini ni kwa kuwa wanawiwa zaidi.
%>
%> Mimi naamini mtu ukimuozesha vizuri atajitahidi kuzaa kwa mpango na
%> kusomesha kwa kadri inavyowezekana.
%>
%> Huyu Dr Olomi pia anapata taabu sana kuacha michango hii. Amelazimika
%> mara
%> chache ninazofahamu kutoa michango baada ya harusi ya baadhi ya watu
%> walio
%> karibu naye. Sijajua madhumuni yake. Na pia itakuwa je usipoalikwa
%> kwenye
%> shughuli inayokugusa. Maana kwa kawaida ndivyo ilivyo -no mchngao no
%> mualiko. Nadhani hapa ni suala la personality na passion zaidi. Kama
%> uko
%> sociable na assertive itakuwa vigumu sana kuziba uso ili usichangie
%> hasa
%> kwa yule anayekuhusu. Najaribu kuangalia namna ambavyo mtoto wa watu
%> kama
%> wa rafiki yangu Dr olomi -generation za sasa watakapooplewa au kuoa na
%> wakawa wanataka kwenda na wakati- patakuwa hapakaliki endapo mzazi
%> hatajali na hatapenda hilo lisifanyike au angalau asishiriki. Ushauri
%> ni
%> kuwa tusijiingize kwenye migomo ambayo inataka ujasiri kuikomesha.
%>
%> Lakini kama uko introvert na non assertive unaweza kufanikiwa kugomea.
%> Nian uhakika nimfahamuvyo Dr Olomi na wengine wa aina yake wana pata
%> stress kupambana na hali hii maana sio walivyo. Na ndio maana mara
%> chache
%> nimefahamu kuwa wanalzimika kutoa zawadi etc tena za thamani zadi ya
%> michnago yenyewe baada ya harusi. Sasa unafanya nini hapa. Sio
%> kujikosha
%> kwa mhusika?.Huu bado ni mchnago tu. Nadhani ttujiangalie perosnalty
%> zetu
%> kwanza. Tujitambue. Tukiweza tusaidianeni kwa yote tu. after all we are
%> too busy. Hizi ndoio njia za kukutana na kufurahi na hivyo energize
%> ourselves for another entrepreneurial set up. KAVISHE huwezi
%> anachosema
%> Dr Olomi acha.
%>> Kavishe, asante sana
%>>
%>> Umesema unahitaji methodology ya kugoma kuchanga. Ni rahisi. Fuata
%>> hatua
%>> tatu.
%>>
%>> Kwanza unaamua kwa dhati kwamba unataka kuacha.
%>>
%>> Pili unatangaza kwa mtandao unaokuzunguka, ambao wanategemea kukuletea
%>> kadi. Mimi nilitumia sms na e-mail.
%>>
%>> Tatu unashika msimamo. Kuna watu tunaheshimiana sana waliniambia
%>> siwezi
%>> kuacha kuwachangia wakisema kwa kujiamini sana. Mimi nilitabasamu tu.,
%>> lakini sikuchanga. Inataka roho ngumu. Bahati nzuri wote wanaendelea
%>> kuwa
%>> marafiki na tunaendelea kuheshimiana. Nimejifunza kwenye maisha kwamba
%>> kuwa na msimamo kunaleta heshima hata kama mtu hakubaliano nawe 100%.
%>> Bahati nzuri ni nadra kupata mtu asiyekubali kuwa utaratibu huu wa
%>> kuchanga umezidi mipaka na unatakiwa kudhibitiswa.
%>>
%>> Natumai imesaidia
%>>
%>> % On Wednesday, August 8, 2012 1:45:03 PM UTC+3, Donath R.Olomi wrote:
%>> %> Ndugu zangu, Disemba 2010, niliandika waraka wa kuhimiza kubadili
%>> %> desturi ya kuchangisha mamilioni ya fedha kwa ajili ya kufanya
%>> sherehe
%>> %> kubwa, nikitoa mifano hai jinsi michango hii inavyowaumiza baadhi
%>> ya
%>> %> wachangaji, na kuathiri maisha yao. Vile vile nilielezea umuhimu wa
%>> %> wasomi kuwa chachu na viongozi wa kubadili desturi ambazo zinaleta
%>> %> madhara, ikiwemo ya kuchangia sherehe kubwa. Ikumbukwe kuwa desturi
%>> %> ikishajengeka, inajijengea uhalali wake na kuibadili kunahitaji
%>> msukumo.
%>> %> Nafurahi kuwa karibu kila aliyechangia mjadala ule aliuunga mkono,
%>> na
%>> %> pia kwamba kuna ambao walishaanza siku nyingi kuacha kuchanga na
%>> kufanya
%>> %> kampeni hii hata kabla ya waraka wangu (ona kiambatanisho). Napenda
%>> pia
%>> %> kuwafahamisha kuwa, nimefanikiwa kutimiza ahadi yangu, na sasa
%>> nashiriki
%>> %> kuchangia tu sherehe ndani ya familia. Taratibu idadi ya kadi za
%>> %> michango ninazopata imeshuka na sasa imekaribia 0. Pia kuna watu
%>> wengi
%>> %> wanaonizunguka ambao wameniambia kuwa kadi za michango wanazopata
%>> %> zimepungua. Kuna watu nafahamu walikuwa wakigawa kadi kwa kila
%>> wamjuaye
%>> %> miaka ya nyuma, lakini sasa wanapooza au kuozesha wanachagua nani
%>> wampe
%>> %> kadi. Pia watu ninaowafahamu wanaopata kadi na kuacha kuzichangia
%>> bila
%>> %> kuona aibu wameongezeka. Kwa hiyo tumepiga hatua. Natamani
%>> tungekuwa
%>> na
%>> %> utafiti wa kisayansi kuona hii desturi inavyobadilika. Nashukuru
%>> sana
%>> %> kwamba kuacha kuchangia harusi hakujaniletea matatizo yeyote ya
%>> kuharibu
%>> %> mahusiano na watu wengine. Kuna watu sikuchangia harusi zao na za
%>> wanao
%>> %> na uhusiano wetu umezidi kuimarika. Kwani kutoa kwa ajili ya
%>> kujenga
%>> %> mahusiano lazima iwe kwa kuchangia sherehe tu? La hasha. Kuna
%>> wachache
%>> %> wamekuwa wakinialika kwenye sherehe zao ingawa sijachanga �
%>> kwa
%>> %> sababu ya ukaribu wetu � nami nakwenda kwa sababu ya ukaribu.
%>> Na
%>> %> mimi nikiwa na sherehe nitakualika si kwa sababu umenichangia, ila
%>> kwa
%>> %> kuwa ningependa uwepo kama mtu wa karibu. Leo napenda
%>> kuwashirikisha
%>> %> mawazo yaliyotolewa katika huu mjadala. Unaposoma na hata
%>> unapoongea
%>> na
%>> %> watu mtaani, unaona kuwa jamii imelichoka hili jambo, na ingependa
%>> %> libadilike, ila tu baadhi wanaogopa. Wako wachache wanapenda
%>> liendelee,
%>> %> ama kwa sababu kweli wanaamini ni jambo zuri, ama kwa sababu
%>> %> linawasaidia wao moja kwa moja. Hawa hatuna la kufanya mbali na
%>> %> kuwanyima michango wabadilike kidogokidogo. Kuna ambao wanasema
%>> sherehe
%>> %> zinasaidia uchumi. Kwani fedha isipotumika kwa sherehe si itatumika
%>> %> kufanya kazi nyingine ambazo zitajenga uchumi ambazo hazifanyiki
%>> kwa
%>> %> kuwa fedha zinakwenda kwenye sherehe kubwa? Kiuchumi tunasema kila
%>> kitu
%>> %> kina �opportunity cost�. Unachokitumia huku unashidwa
%>> %> kukitumia kule� Wanaochanga wangetumia fedha hizo kwenye ada,
%>> %> kujenga nyumba, kukarabati choo kilichoharibika, kuboresha lishe
%>> %> nyumbani, nk. Hivi navyo vinajenga uchumi. Naomba kuwasilisha Na
%>> %> tafadhali sambaza, na tushirikishe uzoefu wako -- �Give your
%>> energy
%>> %> to things that give you energy.�, �Learn enough to begin
%>> and
%>> %> then learn as you go.� Dr. Donath R.Olomi Chief Executive
%>> Officer
%>> %> Institute of Management and Entrepreneurship Development (IMED)
%>> Mwalimu
%>> %> House 7th Floor, Ilala P.O. Box 35036 Dar es Salaam, Tanzania
%>> E-mail:
%>> %> info@imedtz.org, website: www.imedtz.org Mobile +255-754-296660
%>> %
%>> %>>>>tunaomba methodology za namna ya kugoma kuchangia maana wanameno
%>> hawa
%>> %>>>> watu..utadhani unadeni la michango!
%>> %
%>>
%>>
%>> --
%>> "Give your energy to things that give you energy.",
%>>
%>> "Learn enough to begin and then learn as you go."
%>>
%>>
%>> Dr. Donath R.Olomi
%>> Chief Executive Officer
%>> Institute of Management and Entrepreneurship Development (IMED)
%>> Mwalimu House 7th Floor, Ilala
%>> P.O. Box 35036 Dar es Salaam, Tanzania E-mail: info@imedtz.org,
%>> website:
%>> www.imedtz.org
%>> Mobile +255-754-296660
%>>
%>
%>
%> Dr Omari K. Mbura,
%> Marketing Manager,
%> University of Dar Es Salaam
%> Box 35046,
%> Tel.Mobile.0754264591 and 0715264591
%> Res.22 2650534
%>
%>
%>
%
%
%
%
%


--
"Give your energy to things that give you energy.",

"Learn enough to begin and then learn as you go."


Dr. Donath R.Olomi
Chief Executive Officer
Institute of Management and Entrepreneurship Development (IMED)
Mwalimu House 7th Floor, Ilala
P.O. Box 35036 Dar es Salaam, Tanzania E-mail: info@imedtz.org, website:
www.imedtz.org
Mobile +255-754-296660

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment