Wednesday 31 October 2012

[wanabidii] Mhando “OUT” Tanesco - Mwanzo

Taarifa iliyotolewa na bodi ya Wakurugenzi Tanesco imesema kutokana na tuhuma mbalimbali za ukiukwaji wa taratibu za shirika ikiwemo matumizi mabaya ya mamlaka, julai 16 2012 bodi iliamua kumsimamisha kazi Mkurugenzi mtendaji Mhandisi William Mhando pamoja na maafisa wengine waandamizi ili kupisha uchunguzi huru na wa haki ili kufahamu ukweli wa tuhuma hizo.
http://wotepamoja.com/archives/9907#.UJIG4s-Guyc.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment