Wednesday 31 October 2012

Re: [wanabidii] POLISI WAFANYA UNYAMA MKUBWA SANA ZANZIBAR!

Said,

Tatizo ni ukaidi dhidi ya waTz. Badala ya kulalama hapa waambieni wafuasi wenu watii amri na wafuate taratibu muafaka za kuvunja muungano na sio kwa maandamano na kuchoma makanisa yetu! Huyo ana bahati kanyonyolewa nywele tu, je, mbona polisi aliyeuawa, hamjaitisha press conference?

Ujinga mtupu! Muungano oyeee!!!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 31 Oct 2012 17:32:57 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] POLISI WAFANYA UNYAMA MKUBWA SANA ZANZIBAR!

"Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, kijana aliyenusurika kuuawa, Salum Bakari Muya alidai aliteswa 
kwa kukatwa ngozi kwa kisu kichwani na kisha kunyonyolewa nywele na polisi ambao pia walikuwa na silaha".  

I say, hii inasikitisha. Haya mambo yalikuwa yafanywe na mkoloni na sio na JK!!!

0 comments:

Post a Comment