Tuesday 30 October 2012

Re: [wanabidii] Wilbroad Slaa – Hii Ndiyo Fact Check Sahihi na ya Wazi

On 10/30/12, denis Matanda <denis.matanda@gmail.com> wrote:
> On 10/30/12, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
>> Kuna uchambuzi umekaa vibaya hapa ati Chadema wamepoteza Kata ngapi
>> tena???
>> hapana, Chadema ilikuwa na Kata moja tu kati ya 29 na imefanikiwa
>> kuongeza
>> 3, hapa ni kuporomoka ama mimi tu mahamuma?? Tayari hesabu kwa Msajili wa
>> Vyama itaongezeka na waliokuwa nazo nyingi watapunguziwa hesabu na
>> madhara
>> yake ni bayana kabisa. Hakuna Chama duniani ambacho hakina Kambi, hata
>> kwa
>> Obama huko walikuwa na kambi zao zikavunjwa baada ya mgombea kutajwa.
>> Kambi
>> ni nzuri na zinachangamsha jamvi la wahusika kwa mtizamo wangu.
>>
>> 2012/10/29 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>>
>>> **
>>> F.kitigwa!
>>>
>>> Wabaya wa Dk Slaa ambayo ni kemp ya kina Zitto, wapo kazini na
>>> ataaibishwa
>>> zaidi na zaidi asipokuwa makini maana chadema kwa sasa mpo kemp 3 kali
>>> na
>>> za burudani! Uone tatizo lenu ndo mmepoteza kata 22 kati ya 29 za
>>> chaguzi
>>> jumapoli. Chadema mmeambulia kata 5 tu! Pole, ndio mwanzo wa kuporomoka
>>> kwenu msipoangalia! Zitto akimsifia JK, huoni mmeingiliwa? Laleni
>>> usingizi
>>> wa pono!
>>> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
>>> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de
>>> Bell.
>>> ------------------------------
>>> *From: * F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
>>> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
>>> *Date: *Mon, 29 Oct 2012 12:21:09 +0300
>>> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
>>> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
>>> *Subject: *Re: [wanabidii] Wilbroad Slaa – Hii Ndiyo Fact Check Sahihi
>>> na
>>> ya Wazi
>>>
>>> UPUUZI MWINGINE HUU
>>> PLEASE STOP THIS STUPIDITY
>>>
>>> 2012/10/29 nacha <abunuwasinacha@gmail.com>
>>>
>>>> Mzee Wilbroad Slaa – Hii Ndiyo Fact Check Sahihi na ya Wazi****
>>>>
>>>>
>>>> WAHENGA waliamini kuwa tabia na hulka ya binadamu haibadiliki hata
>>>> akiwa
>>>> na umri mkubwa kiasi gani. Chukulia mfano wa Katibu Mkuu wa Chama cha
>>>> Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Wilbroad Slaa. Huyu kwa umri
>>>> wake,
>>>> kwa asili yake ya kupitia mifumo ya dini ya Kikristo madhehebu ya
>>>> Kikatoliki, asingekuwa mtu wa kutunga, kusema na kuwaaminisha watu
>>>> ukweli.
>>>> Huyo ni mtu ambaye alikuwa padre, kiongozi mkubwa wa kiroho.
>>>> Usingemtegemea
>>>> kabisa kutunga na kuwaambia watu uongo. Kwa hakika, tabia yake hiiya
>>>> kutunga na kusema uongo inazua maswali kuhusu mfumo mzima wa kulea
>>>> watoto
>>>> katika Seminari na kufundisha mapadre katika Kanisa hili.****
>>>>
>>>>
>>>> Mtu kama Slaa – mzushi, mwongo, mnafiki asiyeheshimu watu anaweza vipi
>>>> kufikia hatua ya kuwa padre; baya zaidi aliweza vipi kupanda ndani ya
>>>> mfumo
>>>> huo hadi kufikia kuwa Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC). Nasema
>>>> haheshimu
>>>> watu kwa sababu mtu anayetaka watu wamchangue awaongoze, hawezi tena
>>>> kushiriki katika tabia ya kuwadanganya na kuwafanya wapumbavu. Lakini
>>>> Bwana
>>>> Salaa hili halimnyimi usingizi. Majuzi, Ijumaa, kule Sikonge, Tabora
>>>> amezua
>>>> na kutunga jipya. Amedai kuwa Julai 2, mwaka huu, 2012, Rais wa Jamhuri
>>>> ya
>>>> Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alisafiri kwenda
>>>> Hong
>>>> Kong kumwokoa mtoto wake wa kiume, Ridhiwani Kikwete ambaye anadaiwa
>>>> kuwa
>>>> alikuwa amekamatwa na mihadarati siku moja kabla, yaani Julai Mosi.****
>>>>
>>>>
>>>> Huu ni uongo wa dhahiri kwa sababu ratiba ya Mhe. Rais Kikwete katika
>>>> siku hizo anazozitaja Slaa iko wazi.****
>>>>
>>>> Julai Mosi, akitumia Ndege ya Rais, alisafiri kwenda Rwanda ambako
>>>> alihudhuria Sherehe za Miaka 50 ya nchi hiyo na akalala mjini Kigali.
>>>> Julai
>>>> 2 alisafiri kwenda Bujumbura kuhudhuria Sherehe za Miaka 50 ya
>>>> Burundi. Alirejea Dar es Salaam Julai 3 na Julai 4 alikutana na ujumbe
>>>> wa
>>>> Kampuni ya IBM na Mjumbe Maalum kutoka Zimbabwe. Julai 5, alikwenda
>>>> Dodoma
>>>> ambako aliendesha Kikao cha Baraza la Mawaziri na kurejea Dar es Salaam
>>>> siku hiyo hiyo. Sasa alikwenda Hong Kong lini? Ama alikuwa Burundi na
>>>> Hong
>>>> Kong siku hiyo hiyo? Slaa anadai pia kuwa alipowasili Hong Kong,
>>>> Mheshimiwa
>>>> Rais Kikwete alipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini China, Mheshimiwa
>>>> Philip Marmo ambaye alimpeleka kwenye mkutano na Rais wa Jamhuri ya
>>>> Watu
>>>> wa
>>>> China Mheshimiwa Hu Jintao. Huu ni uongo mwingine wa dhahiri na ambayo
>>>> sijui unamsaidia nini Slaa. Slaa anasema uongo kuhusu Balozi Marmo kwa
>>>> sababu ratiba ya Mheshimiwa Marmo kwa siku sita za mwezi Julai nayo iko
>>>> wazi na siyo kificho.****
>>>>
>>>> Kwanza, Ubalozi wa Tanzania katika China hauko Hong Kong bali uko mjini
>>>> Beijing na Mheshimiwa Marmo hajawahi hata kufika Hong Kong. Taarifa
>>>> kutoka
>>>> Hong Kong amekuwa anazipata kutoka kwa Balozi Mdogo wa heshima wa
>>>> Tanzania
>>>> Mheshimiwa Clement Chan. Hata juzi, Ijumaa, Oktoba 26, Balozi Marmo
>>>> alikutana na Bwana Clement Chan. Balozi Marmo anapanga kutembelea Hong
>>>> Kong
>>>> kwa mara ya kwanza mwishoni mwa mwezi ujao, Novemba, 2012. Angalia
>>>> ratiba
>>>> ya Mheshimiwa Marmo katika wiki ya kwanza ya mwezi Julai mwaka huu:****
>>>>
>>>>
>>>> Julai Mosi, Balozi Mamro alikuwa ofisini Beijing. Julai 2, Balozi
>>>> alihudhuria Sherehe za Siku ya Mongolia mchana na usiku alihudhuria
>>>> Sherehe
>>>> za Siku ya Djibouti kwenye Hoteli ya Lengedane mjini Beijing. Siku
>>>> nzima
>>>> ya
>>>> Julai 3 alishiriki katika warsha ya Kampuni ya China Chemicals
>>>> Techonologies Group ambayo inataka kufungua viwanda cha madawa na
>>>> mbolea
>>>> nchini Tanzania. Asubuhi ya Julai 4, Balozi Marmo alikutana na ujumbe
>>>> wa
>>>> Kampuni ya Sichaun Honda Group inayowekeza katika miradi ya Mchuchuma
>>>> na
>>>> Liganga na jioni ya siku hiyo alikutana na ujumbe wa Kampuni ya
>>>> Mawasiliano
>>>> ya ZTE. Julai 5, Balozi alihudhuria Sherehe za Siku ya Venezuala Day
>>>> na
>>>> Julai 6 alijiunga na Mabalozi wa Nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki
>>>> katika
>>>> mkutano wa Forum on Trade na Cooperation na jioni alihudhuria Sherehe
>>>> za
>>>> Rwanda Day. Sasa, Balozi Marmo alikwenda lini Hong Kong kumpokea
>>>> Mheshimiwa
>>>> Rais kama siyo uongo?****
>>>>
>>>>
>>>> Katika siku zinazotajwa, Bwana Ridhiwan alikuwa Dar es salaam muda
>>>> wote. Kwa hakika, Ridhiwan hajapata kufika Hong Kong ama China katika
>>>> maisha yake yote. Nchi pekee inayokaribia China ambayo amewahi
>>>> kuitembelea
>>>> ni Dubai kwa sababu hata India hajapata kufika. Ratiba hizi za Mhe.
>>>> Rais
>>>> na
>>>> Mheshimiwa Marmo na ukweli kuwa Ridhiwan hajapata hata kufika China ama
>>>> Hong Kong ni ushahidi usiopingika kuwa Mzee Slaa kwa mara nyingine
>>>> ametunga, yeye amekuwa bingwa wa goofing. Huyu ni mtu anayezeeka
>>>> vibaya.
>>>> Tunaamini kuwa ameanza kuchanganyikiwa pengine kwa kuzidiwa na jukumu
>>>> ya
>>>> kulea mtoto-mjukuu na kumtunza mchumba Bi Josephine ambaye wanaishi
>>>> kama
>>>> vimanda kwa sababu huyo mama bado anayo ndoa halali. Pole sana Mzee
>>>> Slaa
>>>> kama Josephine na mwanae amekushinda mrudishie mwenye mali yake.
>>>>
>>>> --
>>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>
>>
>>
>> --
>> Bariki G. Mwasaga,
>> P.O. Box 3021,
>> Dar es Salaam, Tanzania
>> +255 754 812 387
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
>
> --
> Wasalaam
>
> Denis Matanda,
> Mine Supt,
> Nzega - Tanzania.
>
> *" Low aim, not failure, is a crime"*
>


--
Wasalaam

Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.

*" Low aim, not failure, is a crime"*

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment