Wednesday 31 October 2012

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] TUCHEKE PAMOJA ASUBUHI HII

Ha ha ha ha , unavituko kweli wewe.







2012/11/1 Jonas Kiwia <jonaskiwia39@gmail.com>
Bush Men: Kaja Dar na akafikia kwa ndugu yake Ilala,akiwa pale kwa muda wa week moja akawa anasikia saanna ndugu yake kila akimwita mke wake anasema Darling embu njoo mara moja.
Bush Men: Akili ika mclick ahaa kumbee!!!,aka kaa kimyaa bila kusema chochote kumbe anawaza mambo yake,baada ya wiki akarudi kijijini morogoro.

Guess alifanyaje???
Nayeye akaiga mtindo ule ule.Kwa vile Dar ndugu yake alikua anamwita mke wake Daaarling....Yeye akaanza Mooorolling njoo mara moja.

Good Morning wadau!!!


--
Jonas Kiwia  |  Director
Speedy Computers
Tel:+255 754882825  |  Cell: +255 715882825
P.O.Box: 55133  |  Dar esSalaam  |  Tanzania
Email:jonaskiwia39@gmail.com  URL:www.speedycomputersonline.com
 
    

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment