Wednesday 31 October 2012

[wanabidii] TAMKO LA JUMUIYA YA MAIMAM ZANZIBAR

"JUMAZA inaiomba Serikali kuunda Tume Huru ya kuchunguza kadhia ya kutekwa Sheikh Farid Hadi na ripoti yake iwasilishwe kwa uwazi kabisa kwa Wazanzibari na Jumuiya ya Kimataifa. 
JUMAZA kama ilivyotangulia kusema kufuatia vurugu na fujo katika uchaguzi mdogo wa Bububu, kuwa kipo kikundi cha watu wanaotekeleza mipango yao ya kuihujumu Zanzibar kwa kupinga Serikali ya Umoja wa Kitaifa ( SUK ) ili kuwarejesha Wazanzibari katika maisha ya hasama na uadui baina yao pamoja na kupinga harakati za kupigania hadhi ya Zanzibar ndani na nje, Kimataifa. Kutokana na tatizo hili linaloendelea kukua na katika kuiangamiza Zanzibar, JUMAZA inatoa tamko lifuatalo:-"

0 comments:

Post a Comment