Tuesday 30 October 2012

Re: [wanabidii] Tamko la Sarah Msafiri (Mb Viti Maalum CCM) kuhusu tuhuma za rushwa - Mwanzo

Hosea,

Wamekua wakiambiwa siasa ni uongo na wamejiaminisha hivoo...wasilolijua ni kuwa siasa zilizojaa utukufu na ukweli pia zipo na waumini wake hudumu kwenye fikra za watu kwa muda mrefu kuliko wanaoamini uongo katika siasa.

Kulingana na takwimu za mashirika haswaa Tanesco, NSSF, PPF, baadhi ya wizara, Bandari, Tanapa, NCA, TTCL, Airtel, Vodacom, UDOM na hata mashirika mufilisi kama TRC, ATCL na NARCO kuna matumizi makubwa chini ya account za huduma za mikutano na mahusiano ambayo yanatumiwa kuwalainisha wabunge wanaowaona wakorofi kwao. Tatizo ni CAG hafanyi forensic audit kwa mashirika hayo kwavile yana wakaguzi wanaoteuliwa na bodi zao na ambao nao wanalipwa malipo nono ili kutibu mahesabu yao.

Huyu Mhe anajaribu ku-diffuse kitu ambacho kilishakamilika kabla ya "tamko" lake!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 31 Oct 2012 08:12:52 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Tamko la Sarah Msafiri (Mb Viti Maalum CCM) kuhusu tuhuma za rushwa - Mwanzo

Huyu hajatueleza vizuri kilichompeleka kwa MD wa tanesco! huyu si ndio alisema wengine wanafanya biashara ya mwili! leo anaruka kimanga!

On Wed, Oct 31, 2012 at 8:01 AM, <dcadico@gmail.com> wrote:
Hapo sasa uelewe kuwa viongozi wetu wana tawaliwa na ubinafsi  na jaziba zaidi. Pia kumbuka kuwa ukweli huuma kama jipu, anaona bora alipasue tu na abakie kutibu kidonda chake.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

-----Original Message-----
From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 31 Oct 2012 04:46:07
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Tamko la Sarah Msafiri (Mb Viti Maalum CCM) kuhusu
 tuhuma za rushwa - Mwanzo

Kim,

Hawajui maana ya tamko na maelezo binafsi! Mtu unatuhumiwa, utatoaje tamko (declaration)? Hapo naona ni upungufu mkubwa wa uelewa wa mambo tu, kwa lugha laini ni "ujinga" at its best!

Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

-----Original Message-----
From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 30 Oct 2012 21:41:47
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Tamko la Sarah Msafiri (Mb Viti Maalum CCM) kuhusu
 tuhuma za rushwa - Mwanzo

Nchi ya tamko na kamati kila siku, teh teh teh teh. mtu akiguswa tu
analipuka na tamko, huko juu napo likitokea la kutokea tume hiyooo,

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment