Monday 29 October 2012

Re: [wanabidii] UKWELI KUHUSU RIDHWANI KIKWETE KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA

Kuna mambo makubwa manne katika mjadala huu:
1) Ridhiwani kukamatwa na madawa ya kulecya popote duniani (HongKong).
2) Rais (baba yake) kwenda kumtetea
3) China au nchi yoyote kuhongwa  kwa kuahidiwa uwekezaji.
4) Dr Slaa kulisema jambo la Ridhwani huko Sikonge.
Mada hizi zinaweza kujadiliwa tofauti.
Nataka kujua kama Slaa kweli alisema maneno hayo. Kama ni kweli basi alipitiwa sana. kama si kweli basi kazushiwa kama Kikwete kwenda Hong kong. Lakini habari za Ridhiwani naweza kusema kujua kama ni kwweli ni kuchunguza mali zake kama mtaji wake ni wa-ki madawa ya kulevya na anaweza kufanya hivyo kama watoto wa watu wengine wanavyofanya hivyo,

--- On Mon, 10/29/12, adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com> wrote:

From: adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>
Subject: Re: [wanabidii] UKWELI KUHUSU RIDHWANI KIKWETE KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, October 29, 2012, 9:13 AM

Nionavyo mimi hoja zilizotolewa  kwenye ujumbe wa awali ni nzito na
huyu anayedai kujibu   alitakiwa kuwa  na hoja za majibu mazito.  Hapo
naona kama anafanya utani  vile  kwenye  mambo mazito

On 10/29/12, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
> Naona usajili wa UVCCM umekamilika, kwa hiyo marmo anajadili mikataba wa
> chuma chetu cha liganga peke yake! namihuri anayo mifukoni? au? Na hivi
> vimeo vya ZTE nayo ni yeye? kamon mnatusukumizia korongoni.
>
> 2012/10/29 Ellay Mnyamoga <mnyamoga@live.com>
>
>> Mimi maranyingi nimekuwa nikitofautiana na Abdallah kwa sababu upeo wake
>> wa kufikiri ni mdogo mno kwani yeye anaangalia wasifu wa slaa au ukweli
>> na
>> uhalisia wa kilichoandikwa na slaa?
>>
>>
>> -----Original Message-----
>> From: Ezekiel Massanja **
>> Sent: 10/29/2012 1:39:22 PM
>> To: wanabidii@googlegroups.com **
>> Subject: Re: [wanabidii] UKWELI KUHUSU RIDHWANI KIKWETE KUKAMATWA NA
>> MADAWA YA KULEVYA CHINA
>>
>>
>> Chuki za Kidini ni mbaya sana, watu wanakosa hata mantiki ya kujieleza.
>> Huwezi kujua anaongelea nini wakati gani kwa vile amechanganya vitu kibao
>> kichwani. Huyu anaongelea uongo wa Dr. Slaa? dini ya Dr. Slaa? au Kanisa
>> Katoliki?
>>
>> Ana hasira kutokana na dini ya Dr. Slaa au ana Hasira na Dr. Slaa
>> mwenyewe?????
>>
>>
>>
>> 2012/10/29 Charles Misango <misangocharles@yahoo.com>
>>
>>>   Mtu kama Slaa - mzushi, mwongo, mnafiki asiyeheshimu watu anaweza vipi
>>> kufikia hatua ya kuwa padre; baya zaidi aliweza vipi kupanda ndani ya
>>> mfumo
>>> huo hadi kufikia kuwa Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC)
>>>
>>> Haya ni maneno ya Abdallah aliyoyaandika katika ufafanuzi wake juu ya
>>> jambo hili. Hivi Kanisa Katoliki linaingizwaje katika suala hili? Yaani
>>> watanzania tumefikia kuwa na mawazo ya chuki za dini kiasi hicho!
>>>
>>> Slaa ama mtu yeyote akikosa ahukumiwe kivyake hata kama alikuwa na cheo
>>> kikubwa kuliko vyote ndani ya dini yake. Abdallah futa kauli hii MARA
>>> MOJA!
>>>
>>>
>>> --- On *Mon, 10/29/12, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>* wrote:
>>>
>>>
>>> From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
>>> Subject: Re: [wanabidii] UKWELI KUHUSU RIDHWANI KIKWETE KUKAMATWA NA
>>> MADAWA YA KULEVYA CHINA
>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>> Date: Monday, October 29, 2012, 9:57 AM
>>>
>>>
>>> Bariki,
>>> Kuna mantiki. Aliyeandika ripoti hiyo amejitaja kuwa alikuwemo kwenye
>>> msafara.
>>> Na kama alikuwemo basi lazima awe afisa mwandamizi Ikulu aka usalama wa
>>> taifa.
>>> Sijui Slaa amehusishwaje na ripoti hii.
>>> em
>>>
>>> 2012/10/29 Bariki Mwasaga
>>> <bmwasaga@gmail.com<http://mc/compose?to=bmwasaga@gmail.com>
>>> >
>>>
>>> Mimi sioni mantiki ya kuhusisha kilichoandikwa na Afisa Mwandamisi wa
>>> Usalama wa Taifa. Jambo la msingi ni kupata maelezo ya Dkt Slaa kama
>>> yapo
>>> kwani aliyeandika anaweza kuwa hata ni mwendawazimu tu wala sio mtumishi
>>> wa
>>> Serikali.
>>>
>>> 2012/10/29 Emmanuel Muganda
>>> <emuganda@gmail.com<http://mc/compose?to=emuganda@gmail.com>
>>> >
>>>
>>> Abdallah,
>>> Kabla ya kumhukumu Dr. Slaa nakushauri uangalie uwezekano kwamba hii
>>> story kama imetungwa, basi imetungwa na afisa mwandamizi katika idara ya
>>> usalama wa taifa. Hapo ndipo ninaona kuna tatizo. Ndio maana nimeuliza
>>> katika bandiko
>>> langu la awali, watu wenye akili watujulishe, ilikuwaje wakati Ikulu
>>> inaungua, kilichochukuliwa ni mafaili kuhusu biashara za Mkapa ambayo
>>> yalikuja kutumiwa na Kikwete na Rostum kumshinikiza Mkapa ampitishe
>>> Kikwete
>>> mwaka 2005. The problem is bigger than shutuma zako kuhusu uwongo wa
>>> Mheshimiwa Slaa.
>>> em
>>>
>>>
>>> 2012/10/29 Abdalah Hamis
>>> <hamisznz@gmail.com<http://mc/compose?to=hamisznz@gmail.com>
>>> >
>>>
>>> Hii Ndiyo Fact Check Sahihi na ya Wazi
>>>
>>>
>>> WAHENGA waliamini kuwa tabia na hulka ya binadamu haibadiliki hata akiwa
>>> na umri mkubwa kiasi gani. Chukulia mfano wa Katibu Mkuu wa Chama cha
>>> Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Wilbroad Slaa.  Huyu kwa umri
>>> wake,
>>> kwa asili yake ya kupitia mifumo ya dini ya Kikristo madhehebu ya
>>> Kikatoliki, asingekuwa mtu wa kutunga, kusema na kuwaaminisha watu
>>> ukweli.
>>> Huyo ni mtu ambaye alikuwa padre, kiongozi mkubwa wa kiroho.
>>> Usingemtegemea
>>> kabisa kutunga na kuwaambia watu uongo. Kwa hakika, tabia yake hiiya
>>> kutunga na kusema uongo inazua maswali kuhusu mfumo mzima wa kulea
>>> watoto
>>> katika Seminari na kufundisha mapadre katika Kanisa hili.
>>>
>>>
>>> Mtu kama Slaa - mzushi, mwongo, mnafiki asiyeheshimu watu anaweza vipi
>>> kufikia hatua ya kuwa padre; baya zaidi aliweza vipi kupanda ndani ya
>>> mfumo
>>> huo hadi kufikia kuwa Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC). Nasema
>>> haheshimu
>>> watu kwa sababu mtu anayetaka watu wamchangue awaongoze, hawezi tena
>>> kushiriki katika tabia ya kuwadanganya na kuwafanya wapumbavu. Lakini
>>> Bwana
>>> Salaa hili halimnyimi usingizi. Majuzi, Ijumaa, kule Sikonge, Tabora
>>> amezua
>>> na kutunga jipya. Amedai kuwa Julai 2, mwaka huu, 2012, Rais wa Jamhuri
>>> ya
>>> Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alisafiri kwenda
>>> Hong
>>> Kong kumwokoa mtoto wake wa kiume, Ridhiwani Kikwete ambaye anadaiwa
>>> kuwa
>>> alikuwa amekamatwa na mihadarati siku moja kabla, yaani Julai Mosi.
>>>
>>>
>>> Huu ni uongo wa dhahiri kwa sababu ratiba ya Mhe. Rais Kikwete katika
>>> siku hizo anazozitaja Slaa iko wazi.
>>>
>>> Julai Mosi, akitumia Ndege ya Rais, alisafiri kwenda Rwanda ambako
>>> alihudhuria Sherehe za Miaka 50 ya nchi hiyo na akalala mjini Kigali.
>>> Julai
>>> 2 alisafiri kwenda Bujumbura kuhudhuria Sherehe za Miaka 50 ya
>>> Burundi.  Alirejea Dar es Salaam Julai 3 na Julai 4 alikutana na ujumbe
>>> wa
>>> Kampuni ya IBM na Mjumbe Maalum kutoka Zimbabwe. Julai 5, alikwenda
>>> Dodoma
>>> ambako aliendesha Kikao cha Baraza la Mawaziri na kurejea Dar es Salaam
>>> siku hiyo hiyo. Sasa alikwenda Hong Kong lini? Ama alikuwa Burundi na
>>> Hong
>>> Kong siku hiyo hiyo? Slaa anadai pia kuwa alipowasili Hong Kong,
>>> Mheshimiwa
>>> Rais Kikwete alipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini China, Mheshimiwa
>>> Philip Marmo ambaye alimpeleka kwenye mkutano na Rais wa Jamhuri ya Watu
>>> wa
>>> China Mheshimiwa Hu Jintao. Huu ni uongo mwingine wa dhahiri na ambayo
>>> sijui unamsaidia nini Slaa. Slaa anasema uongo kuhusu Balozi Marmo kwa
>>> sababu ratiba ya Mheshimiwa Marmo kwa siku sita za mwezi Julai nayo iko
>>> wazi na siyo kificho.
>>>
>>>
>>> Kwanza, Ubalozi wa Tanzania katika China hauko Hong Kong bali uko mjini
>>> Beijing na Mheshimiwa Marmo hajawahi hata kufika Hong Kong. Taarifa
>>> kutoka
>>> Hong Kong amekuwa anazipata kutoka kwa Balozi Mdogo wa heshima wa
>>> Tanzania
>>> Mheshimiwa Clement Chan. Hata juzi, Ijumaa, Oktoba 26, Balozi Marmo
>>> alikutana na Bwana Clement Chan. Balozi Marmo anapanga kutembelea Hong
>>> Kong
>>> kwa mara ya kwanza mwishoni mwa mwezi ujao, Novemba, 2012. Angalia
>>> ratiba
>>> ya Mheshimiwa Marmo katika wiki ya kwanza ya mwezi Julai mwaka huu:
>>>
>>>
>>> Julai Mosi, Balozi Mamro alikuwa ofisini Beijing. Julai 2, Balozi
>>> alihudhuria Sherehe za Siku ya Mongolia mchana na usiku alihudhuria
>>> Sherehe
>>> za Siku ya Djibouti kwenye Hoteli ya Lengedane mjini Beijing. Siku nzima
>>> ya
>>> Julai 3 alishiriki katika warsha ya Kampuni ya China Chemicals
>>> Techonologies Group ambayo inataka  kufungua viwanda cha madawa na
>>> mbolea
>>> nchini Tanzania. Asubuhi ya Julai 4, Balozi Marmo alikutana na ujumbe wa
>>> Kampuni ya Sichaun Honda Group inayowekeza katika miradi ya Mchuchuma na
>>> Liganga na jioni ya siku hiyo alikutana na ujumbe wa Kampuni ya
>>> Mawasiliano
>>> ya ZTE. Julai 5, Balozi  alihudhuria Sherehe za Siku ya Venezuala Day na
>>> Julai 6 alijiunga na Mabalozi wa Nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki
>>> katika
>>> mkutano wa Forum on Trade na Cooperation na jioni alihudhuria Sherehe za
>>> Rwanda Day. Sasa, Balozi Marmo alikwenda lini Hong Kong kumpokea
>>> Mheshimiwa
>>> Rais kama siyo uongo?
>>>
>>>
>>> Katika siku zinazotajwa, Bwana Ridhiwan alikuwa Dar es salaam muda
>>> wote.  Kwa hakika, Ridhiwan hajapata kufika Hong Kong ama China katika
>>> maisha yake yote. Nchi pekee inayokaribia China ambayo amewahi
>>> kuitembelea
>>> ni Dubai kwa sababu hata India hajapata kufika. Ratiba hizi za Mhe. Rais
>>> na
>>> Mheshimiwa Marmo na ukweli kuwa Ridhiwan hajapata hata kufika China ama
>>> Hong Kong ni ushahidi usiopingika kuwa Mzee Slaa kwa mara nyingine
>>> ametunga, yeye amekuwa bingwa wa goofing. Huyu ni mtu anayezeeka vibaya.
>>> Tunaamini kuwa ameanza kuchanganyikiwa pengine kwa kuzidiwa na jukumu ya
>>> kulea mtoto-mjukuu na kumtunza mchumba Bi Josephine ambaye wanaishi kama
>>> vimanda kwa sababu huyo mama bado anayo ndoa halali. Pole sana Mzee Slaa
>>> kama Josephine na mwanae amekushinda mrudishie mwenye mali yake.
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>Utapata
>>> Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.

>>> Bariki G. Mwasaga,
>>> P.O. Box 3021,
>>> Dar es Salaam, Tanzania
>>> +255 754 812 387

>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma

>> --
>> Ezekiel J. Massanja
>> Director of Finance and Administration
>> Legal and Human Rights Centre
>> P.O. BOX 75254
>> Dar es Salaam
>>
>> Tel: +255 22 2773038, 2773048
>> Fax: +255 22 2773037
>> Cel: +255 754 283593
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment