Monday 29 October 2012

Re: [wanabidii] Kikwete: Waliochochea Ukabila Ndio Wanachochea Udini Leo. - Mwanzo

Paul,

Hiyo statement haiwezi kuwa ya rais! Aonyeshe nguvu za mamlaka yake sio kutueleza tunachokifahamu! Tunajua madhara yake na tulishaambiwa na hayati Mwl, sasa anarudia nini wakati anakosa maamuzi ya kuzuia? Akiambiwa na akina Mnyika kuwa ni dhaifu wanakuja juu! Dawa ni kutuonyesha anazo nguvu za kuyazuia mabaya kwa nchi yake!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 29 Oct 2012 14:03:56 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Kikwete: Waliochochea Ukabila Ndio Wanachochea Udini Leo. - Mwanzo

"Kuna watu hawana raha na utulivu na amani ya nchi yetu. Walijaribu kutufarakanisha kwa kutumia ukabila lakini hili lilishindikana na sasa wamegeukia dini. Lakinindugu zangu moto wa dini hautakuwa na wa kuuzima na hautakuwa na mshindi," Rais Kikwete amewaambia wananchi kwenye mkutano huo.
http://wotepamoja.com/archives/9843#.UI5ia6_K5gg.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment