Tuesday 30 October 2012

Re: [wanabidii] Fuel crissis in Dar

Tatizo hili limeanza tangu juma lililopita hatuelewi chanzo cha tatizo
ni nini ni vyema wahusika (EWURA) watueleze chanzo cha tatizo. Kukaa
kimya siyo ustaarabu ebu tujulishe tuweze kujipanga vilivyo. Tatizo
letu watanzania hatuwajibiki hadi watu waandamane. Nafikiri gharama ya
kutujulisha ni ndogo ukifananisha na gharama ya kuzuia maandamano

2012/10/29 <lucsyo@gmail.com>:
> Wadau;
>
> Wadau wa sekta hii ya nishati tuwekeni wazi tujue kama kuna tatizo la mafuta nchini; au ni janja ya wafanyabiashara ya kuficha bidhaa hii ili wananchi tuteseke??; Nimekwenda zaidi ya vituo 10 vya mafuta nikisaka bidhaa hii; sijui tatizo ni nini jmn; wenye taarifa mtujuze, hapa nilipo sina hata chembe ya mafuta ya petrol
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment