Monday 1 October 2012

Re: [wanabidii] ZITTO AROPOKWA TENA!!!

Maurice,
Asante sana kabisa.

Walewale.

From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, September 29, 2012 8:45 AM
Subject: Re: [wanabidii] ZITTO AROPOKWA TENA!!!

Jameni, pana tatizo gani Zitto akitangaza hii sasa nia yake yake ya
kugombea uraisi mwakani?  oni langu ni kwamba akaitangaza hivi mapema,
Watanzania wanapata wakati wa kumchunguza kwa umakini. Infact ni
afadhali kile aliye na nia ya kwania kiti chochote atangaze mapema
alivyofanya Zitto ili achunguzwe nae.

Nawasilisha.

Courage,
Oduor Maurice

On 9/29/12, Anael Macha <kowiri@hotmail.com> wrote:
> Kaka Mgamba,
>
> - nampongeza Mhe Zitto kwa hatua yake ya kutangaza mapema kugombea.
>
> - wafuasi sie na chadema, wapi ambapo kiongozi yeyote alionyesha kukerwa na
> hatua ya Zitto? Ili useme chadema hakuna demokrasia? If happened basi lawama
> kubwa kwao. Please yasiwe ni maongezi binafsi na kiongozi mmojawapo then
> ukachukulia ndo kauli ya chadema.
>
> - sijui mwanzo mwisho wa madiwani wa mwanza kama wale wa arusha lakini
> naamini hawaweze chukua maamuzi ya kukutupuka. Kind of changes we want
> sihitaji quantity but quality changes no matter how many years will take. I
> may not enjoy changes i want but my sob will do.
>
> - ZItto go, wengine jitokezeni tena hata kwenye ubunge nk.
>
> Jumamosi njema
>
> AM
>
> Sent from my iPhone
>
> On Sep 29, 2012, at 8:01, "RICHARD MGAMBA" <rmgamba2000@yahoo.com> wrote:
>
>> Nadhani ndugu zangu ama mnamuonea Zitto au mna matatizo naye binafsi. Kuna
>> tatizo ghani katika chama na nchi ambayo watu wanaheshimu demokrasia kwa
>> Mbunge kutangaza mapema kwamba hatawania ubunge tena? Napata shaka na
>> maneno muda muafaka, maana yanatumika vibaya.
>>
>> Hakuna muda maalumu kwa mtu kutangaza kwamba atagombea au hatagombea
>> ubunge au urais wa nchi. Huu ni uoga ambao Chadema na wafuasi wake
>> wameurithi kwa chama tawala ambacho kwa hofu ya kumeguka hasa baada ya
>> vyama vingi kuingia, kikaweka vikwazo.
>>
>> Mfano hapa Kenya, wagombea wa Urais wanajulikana hata miaka minne kabla ya
>> uchaguzi mkuu na hakuna shida maana inatoa Mwanya kwa umma kuwachunguza
>> kwa kina ili kuona kama wanafaa au la. Hata ubunge ni hivyo hivyo, sasa
>> unashangaa sana hapa Tanzania, Zitto kutangaza kwamba hatagombea tena,
>> inakuwa karopoka au katenda dhambi.
>>
>>  Okay tuamini kwamba anayo nia ya kugombea urais kupitia chama chake kama
>> umri utakuwa unaruhusu, kwani tatizo ni nini? Si mumuache aweke jina ili
>> apambane na akina Dr Sla katika mchakato wa urais, akishindwa basi na kama
>> akishinda yote heri. Ni kwa nini chama kama Chadema ambacho kinaamini
>> katika demokrasia ya kweli, wafuasi wake wahofie na hata kumchukia
>> mwanachama anayetaka kutumia haki yake ya kikatiba kugombea nafasi fulani
>> katika chama?
>>
>> Mgombea urais wa Chadema anapatikanaje?
>>
>> Kuweni wakweli. Zitto siyo malaika, na ni kiongozi kijana toka upinzani
>> ambaye hata kupanda kwake pia kulikinufaisha Chadema hivyo inatia shaka
>> kuona anatukanwa, kubezwa na kubambikizwa tuhuma bila ushahidi eti kwa
>> sababu tu katangaza kwamba hatagombea tena ubunge? Wasi wasi wenu ni
>> nini?
>>
>> Kama ana mpango wa kuhama kwani yeye ndiye Chadema? Akihama Chadema
>> inakufa?
>>
>> Chadema walikataa kumtambua rais wa Tanzania, Zitto akamtambua, akalaaniwa
>> lakini baadaye wabunge wa Chadema wakatinga ikulu kuzungumza na mtu
>> wasiyemtambua kuhusu katiba ya nchi na hatimaye wakampelekea majina ya
>> kuchagua watu watakaokuwa katika tume ya katiba mtu yule yule ambaye
>> hawajawahi kumtambua!
>>
>> Chadema ni chama kinachokua kwa kasi lakini kinakoswa umakini katika
>> mikakati yake na mwishowe utakuwa ni kama vyama vilivyotangulia. Chukulia
>> mfano wa Mwanza, ambako sasa chama kinapoteza nafasi muhimu sana na huenda
>> ikawa ndiyo Mwanzo wa kutoa mwanya tena kwa CCM iliyokuwa imekufa huko
>> kujijenga upya.
>>
>> Muacheni Zitto afanye siasa zake na watu wake wa Kigoma...Kama hagombei,
>> Chadema waanza mkakati wa kuchagua mtu wa kutetea jimbo mapema.
>>
>> From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Friday, September 28, 2012 10:29 PM
>> Subject: Re: [wanabidii] ZITTO AROPOKWA TENA!!!
>>
>> Nimeipokea kisawasawa. Mimi nkokotoa tangu huyu jamaa apande chati baada
>> ya kuadhibiwa na Bunge kwa sababu alifaya kosa kweli lakini kwa kuwa watu
>> walishaichoka serikali wakaamua kumshangila mhalifu. Afterall alifanya
>> kosa akitetea UKWELI. Hii ilimpandisha chati kiasi CHADEMA nikafikiri
>> lazima iende naye kwa tahadhari maana watu wamemshangilia kama waJerumani
>> walivyombeba Hilrer. Mtu aliyemuelewa Hitre mapema angekuwa na busara
>> kunyamaza kuliko kusema. Zito ni mbunge mzuri nami naamini sitashangaa
>> asipopewa wizara 2015 kama CHADEMA itashinda. N awakitaka kumpa lazima
>> wapate ushauri kutoka TAKUKURU.
>>
>> --- On Fri, 9/28/12, gm26may@gmail.com <gm26may@gmail.com> wrote:
>>
>> From: gm26may@gmail.com <gm26may@gmail.com>
>> Subject: Re: [wanabidii] ZITTO AROPOKWA TENA!!!
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Friday, September 28, 2012, 12:18 PM
>>
>>
>> Elisa
>>
>> Pokea Saluti yangu nikiwa mguu sawa
>>
>> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>> From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Fri, 28 Sep 2012 12:15:35 -0700 (PDT)
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [wanabidii] ZITTO AROPOKWA TENA!!!
>>
>>
>> Nanukuu kutoka Zanzibar Kwetu  '------Tuliwahi kusema huko nyuma na
>> tunasema tena na leo pia, kuwa…"Chadema inabidi iyakabili kijitu kizima
>> matatizo ya huyu kijana, bila ya Zitto kudhibiti mdomo wake, chama ambacho
>> kinategemewa na wengi to form the next government in the country will
>> slowly and surely bleed again to an ignominous defeat in 2015!".
>>
>> Kwa muda mrefu mimi naamini CHADEMA wanajitahidi kujitenga ka tabia za
>> Zitto. Kila mtu anajua aliyeropoka ni Zitto si CHADEMA. Angekuwa Slaa,
>> Mbowe hata Tundu Lisu ingekuwa rahisi kufikiri CHADEMA imeropoka. Ila kwa
>> Zitto, labda zamani zile.
>>
>> Nafikiri kwa muda mrefu hisia kuwa Zitto kanunuliwa zinaweza kuwa
>> zimewaingia 'wapangaji' wa CHADEMA. Na kama bado nitafikiri basi sio chama
>> makini. Kama tayari basi ni kweli pia wanakwenda naye kwa tahadhari
>> wakijitofautisha na upuuzi anaoweza kuufanya. Yesu aliwazuia wahudumu wa
>> shamba kuwa magugu mengine wasiyang'oe yasije yakang'oka na Ngano.
>> Sijasema Zito ni Gugu. Atakayesema sitapinga.
>>
>>
>> --- On Fri, 9/28/12, John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com> wrote:
>>
>> From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
>> Subject: [wanabidii] ZITTO AROPOKWA TENA!!!
>> To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Friday, September 28, 2012, 11:18 AM
>>
>> "Ni kweli kuwa hakuna makosa kwa mwanachama wa chama chochote kile
>> kutangaza nia ya kugombea
>> nafasi yoyote ya chama hata ya urais, lakini unapotangaza kuwa na ubunge
>> pia hutogombea wakati hujui
>> kama chama chako kitakuchagua wewe au vipi, inatia shaka sana kuwa kuna
>> kitu nyuma ya pazia".
>>
>> http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/09/mhe-zitto-aropokwa-tena_7278.html
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment