Monday 15 October 2012

Re: [wanabidii] ZANZIBAR NI KWETU - NI BLOG LA HATARI SANA! LA HATARI SANA!

John,

Hata nami nilistaajabu sana et pombe na sigara zimepigwa marufuku
visiwani maanake hawangepata watalii, hasa wazungu. Mzungu mtalii
mwambie kwamba pombe halikubaliki basi ni sawa kumwambia kwamba asije.
Ni hela ngapi watakazopoteza Wazanzibari watalii wakiwakwamia? Ama
they don't want a share of the taxes collected on the mainland from
booze and cigarettes? Uongo jameni !!

Courage



On 10/15/12, John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com> wrote:
> Kaka bin Issa,
> Natumai wewe ni mmoja kati ya administrators wa hili blog la ZANZIBAR NI
> KWETU
> linalosimamia maslahi ya Wazanzibari kwenye Cyber. Jambo moja ninataka
> kueleza,
> nalo ni kuwa: Nyinyi ni watu wa hatari sana, tena sana!
> Hivyo mnapotangazia kuwa POMBE ni marufuku Zanzibar wakati sio kweli
> mnakusudia nini?
>
> http://www.zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/10/pombe-marufuku-zanzibar_15.html
>
>
> Au ndio mnakusudia kutufukuza sisi kutoka Bara?
> Fahamuni kwamba wengine tumeoa Visiwani na kutangaza pombe mmeipiga marufuku
> ni
> sawa na kutueleza kuwa tusije kuwatembelea wakwe zetu huko Visiwani.
> SMZ au GNU ni yenu na mnaweza kupiga marufuku kitu chochote kile mkitakacho
> -
> kama vile ukahaba, sigara, etc, lakini kisiwe pombe.
> Mkitaka kuuvunja Muungano kwa haraka sana kabla hata ya kungojea Katiba Mpya
> basi pigeni
> marufuku pombe. Tupo tayari hata kutia sahihi MKATABA wowote ule na Maalim
> lakini pombe
> msiipige marufuku.
> Tufikirieni ndugu zenu kwa huruma nyingi hasa baada ya miaka 48 ya kuwa
> pamoja.
>
> Wako nduguyo,
>
> //John Nkumbaruko.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment