Tuesday 2 October 2012

Re: [wanabidii] Re: Kutoka Mbeya : Magari yagongana na kuwaka Moto

siku ya leo mbona mkosi mtupu? Huko Kahama kuna Basi limepata ajari na
watu 4 kufa papo hapo, Segera basi la Dar express limeungua (sijui
kama kuna waliokufa au vipi na ata hasara ni kubwa kiasi gani) na sasa
napata habari za huko Mbeya. Poleni wafiwa Mungu awape nguvu ya
kukabiliana na hali hii ngumu. Tuchukue hatua kupunguza kama siyo
kuzuia kabisa hajari hizi

2012/10/2 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>:
> Mbunge viti maalum CCM Mary Mwanjelwa aumia yeye pamoja na dereva
> wake, katibu wake ajulikani alipo...anasadikika kufa papo hapo na
> mwili wake kuteketea kwa moto.
>
> On Oct 2, 3:10 pm, Daud Rwebangila <drwebang...@gmail.com> wrote:
>> Kuna taarifa kuwa lori la mafuta limegongana na hiace na pickup, hakuna
>> uhakika watu wangapi wamekufa lakini kuna watu wamepoteza.
>> Ajali imetokea eneo la mbalizi unapomaliza mteremko ukitokea mbeya mjini.
>> Nafikiri taarifa zaidi tutazipata baadaye.
>> Daud
>>
>> 2012/10/2 Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> > Ndugu zangu
>>
>> > Nimesikia huko mbeya kuna magari yamegongana na kuwaka moto na baadhi
>> > ya watu wamefariki kwenye tukio hili .
>>
>> > Mwenye taarifa zaidi atupatie
>>
>> > --
>> > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>>
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>>
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment