Tuesday 2 October 2012

Re: [wanabidii] Mgeni Mahafali ya Tatu Sungwizi Sec, Igunga

Elisa, hahahahaaaa! watu wasiojua siasa za UVCCM wanaweza kusema hivyo ama hata kuhisi hivyo, ila kwa wanaojua watasema huyu ni Mwanasiasa imara, shupavu, jasiri mwenye asili ya UVCCM...maana jezi za kijeshi zenye rangi ya Kijani juu na suruali ya Khaki nyeusi na mabuti kama ya jeshi nilizoea kuyaona kwa Mama yangu mzazi (akiwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tabora na kabla ya hapo akiwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Nzega) na baadaye kuyavaa miaka ya 80 nikiwa Mwenyekiti wa Chipukizi wilaya ya Nzega nikicheza halaiki kijijini Ndala usiku kucha tukikesha na Mwenge...HAKUNA KIPYA katika mavazi yangu hapo sema sijavaa tu suruali yangu ya Khaki 

2012/10/2 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Nimeiangalia picha inapendeza.
Nikasema Ni kijani hata kama ni mshono wa kombati. mwingine anaweza kusema ni mshono wa kombati hata kama ni kijani
Vyote sawa.

--- On Mon, 10/1/12, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:

From: hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Mgeni Mahafali ya Tatu Sungwizi Sec, Igunga
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, October 1, 2012, 9:24 PM

Leo baada ya kumaliza tu uchaguzi Mkuu wa CCM ngazi ya wilaya,  nilielekea Sungwizi, Jimbo la Igunga, ambapo nilialikwa kuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya tatu ya shule hii. Itakumbukwa jimbo lilibaki bila MB miezi michache iliyopita kufuatia matokeo yaliyompa ushindi Dr. Kafumu kutenguliwa na mahakama.

Sungwizi pana historia maarufu ya mauaji kutokana na nguvu ya umma enzi hizo MB mwanaharakati Mhe. Kaselabantu (mb wa kwanza wa Nzega) akiwa ndiye mbunge.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment