Dawa gani. Wakati mwingine ni reaction ya mwili wako kwa dawa hiyo na si kosa la daktari. Toa maelezo yanayojitosheleza Hukuchomwa aina ya Penicilin?
--- On Tue, 10/2/12, samson charles <samchaz307@gmail.com> wrote:
From: samson charles <samchaz307@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Hospitali ya Dr Ngoma wataka kunitoa Roho To: wanabidii@googlegroups.com Date: Tuesday, October 2, 2012, 6:05 AM
duuuuuuuuuuuuuuu.................................. 2012/10/2 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> Ebwana ehh nilijisikia vibaya kichwa kinaniuma jana nikaamua kwenda hospitali ya dr ngoma iliyopo mwenge karibu na gorofa za jeshi .
Ebwana wakanipiga sindano na kunitaka nilazwe hapo mwili wote ukaanza kufura mpaka baadaye jamaa yangu alipokuja kunicheki akagundua dawa walizonipa sio sahihi nikaondolewa hospitalini hapo
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment