Tuesday 2 October 2012

Re: [wanabidii] Mgeni Mahafali ya Tatu Sungwizi Sec, Igunga

Bwana Amon Hujambo mbona sielewi unataka kusema nini

Sent from my iPad

On 2 Okt 2012, at 9:13 asubuhi, amon mkoga <dramontz2002@yahoo.com> wrote:

Safi,lakini nakumbuka katika kampeni zake miaka ya nyuma ktk jimbo la Igunga,mhe.Kaselabantu alisema kuwa yeye hakusema watu wauliwe bali  alisema binjagi maanake waondoeni.

AMON MKOGA

TANZANIA

--- On Tue, 10/2/12, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:

From: hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Mgeni Mahafali ya Tatu Sungwizi Sec, Igunga
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, October 2, 2012, 7:24 AM

Leo baada ya kumaliza tu uchaguzi Mkuu wa CCM ngazi ya wilaya,  nilielekea Sungwizi, Jimbo la Igunga, ambapo nilialikwa kuwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya tatu ya shule hii. Itakumbukwa jimbo lilibaki bila MB miezi michache iliyopita kufuatia matokeo yaliyompa ushindi Dr. Kafumu kutenguliwa na mahakama.

Sungwizi pana historia maarufu ya mauaji kutokana na nguvu ya umma enzi hizo MB mwanaharakati Mhe. Kaselabantu (mb wa kwanza wa Nzega) akiwa ndiye mbunge.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment