Tuesday 16 October 2012

RE: [PK] Re: [wanabidii] Let's pray for Obama

Mr. Suguta,

Afie mbali, mjinga, muuaji yote haya ya nini.  Ni haki kuwa na maoni yako lakini lugha za matusi si za kistaarabu. Afie mbali kwani kafanya nini, mjinga kwa lipi? na kamuua nani.  Mimi nimekaa marekani kwa muda wa miaka tisa na nimekuwa mhanga wa ubaguzi wa hali ya juu.  Nilipata bahati ya kuingia Statehouse wakati wa Carter na ninajua kwa kiasi  ni nini maana ya kuwa Raisi wa Marekani. Hivyo kumwona mweusi kuweza kuingia ikulu sio jambo ndogo hata kidogo. Ni jambo la kujivunia na mfano wa kuiga kuwa yeyote yule anaweza kufanya lolote ikiwa ana nia, yuko tayari kujituma, kuumia, kutimiza ndoto yake na kufanya mabadiliko ya msingi ya binadamu ali mradi aweze kujitambua, kujiamini na kuthubutu.  Mimi ninajiweka kwenye kundi hilo la mabadiliko kwa faida ya kizazi kijacho na ndio maana ninamuona Obama as my hero.

Ahsante

Herment A. Mrema


Date: Tue, 16 Oct 2012 08:29:03 -0700
From: hechesuguta29@yahoo.com
Subject: Re: [PK] Re: [wanabidii] Let's pray for Obama
To: wanabidii@googlegroups.com

Afie mbali mtu mjinga sana na muuaji mkubwa huyu...pray for your country America has nothing to do with you...



From: Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, October 16, 2012 8:19 AM
Subject: RE: [PK] Re: [wanabidii] Let's pray for Obama

He already a blessed man and God will always protect him and ensure that he wins. Let us wish him the best of luck.
I am so proud of Obama because he is my hero.

Herment

> Date: Tue, 16 Oct 2012 17:48:11 +0300
> Subject: Re: [PK] Re: [wanabidii] Let's pray for Obama
> From: elifaz.ma@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> On 10/16/12, Odanga Jamangula <omogeoffton@yahoo.com> wrote:
> >
> > Why does he need our prayers? Is a presidential debate now a matter of life
> > and death? And pray which God has an availing interest in the presidential
> > campaign of a man who approves of unnatural acts like homosexuality?
> > Certainly, not my God! Obama aji-sort, huko hatumo kamwe!
> > ------------------------------
> > On Tue, Oct 16, 2012 1:25 AM PDT Maurice Oduor wrote:
> >
> > >Paul,
> > >
> > >Samahani. Nilimaanisha saa nane au tisa za manane huko Afrika ya
> > Mashariki.
> > >
> > >Lakini usifanye wasiwasi ukilala maanake inawekwa YouTube almost
> > immediately.
> > >
> > >Hata hivyo, acha nihakikishe saa kamili nindaichapisha humu.
> > >
> > >Courage,
> > >Oduor Maurice
> > >
> > >
> > >
> > >On 10/16/12, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
> > >> Paul,
> > >>
> > >> Sina hakika itaanzia saa ngapi lakini nafikiri ni saa moja au mbili
> > >> usiku za huku Marekani ambapo ni saa saba au nane, usiku wa manane, za
> > >> Afrika Mashariki.
> > >>
> > >> Courage
> > >>
> > >>
> > >>
> > >> On 10/16/12, paul lawala <pasamila292000@gmail.com> wrote:
> > >> Maurice
> > >> Nilikosa mdahalo uliopita,wa leo ni saa ngapi na utaonyeshwa mda gani
> > na
> > >> chanel gani
> > >>
> > >>
> > >>
> > >> On Tue, Oct 16, 2012 at 12:28 AM, Maurice Oduor
> > >> <mauricejoduor@gmail.com>wrote:
> > >>
> > >>> Naomba taffadhalini sote waafrika leo hii tumswalie Obama. Nafasi yake
> > >>> ya mwisho kulirekebishe kosa alilotenda siku ile ya mjadala wake na
> > >>> Romney.
> > >>>
> > >>> This is the make-or-break for him. If he messes up this debate tonight
> > >>> then it's all over for him. I'm sure he will bounce back despite what
> > >>> I'm beginning to see as racism going on now full-blast.
> > >>>
> > >>> It's not over yet.
> > >>>
> > >>> Courage,
> > >>> Oduor Maurice
> > >>>
> > >>> --
> > >>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> > >>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> > >>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> > >>>
> > >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > >>> ukishatuma
> > >>>
> > >>> Disclaimer:
> > >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> > >>> legal
> > >>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> > must
> > >>> be
> > >>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> > >>> agree
> > >>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > >>>
> > >>>
> > >>>
> > >>
> > >> --
> > >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> > >> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> > >> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> > >>
> > >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > >> ukishatuma
> > >>
> > >> Disclaimer:
> > >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> > >> legal
> > >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> > must
> > >> be
> > >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> > agree
> > >> to
> > >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > >>
> > >>
> > >>
> > >>
> > >
> > >--
> >>*************************************************************************************************
> > >Geniuses Training and Business Services
> > >Certificate and Diploma in Teaching, Training, Business Management &
> > Entepreneurship, Legal Studies, Social Media & Marketing, Project
> > Management, Multimedia Development, English and Literature Studies, Children
> > Studies, Psychology, ICT Foundation Course
> > >Call 0705297307 or 0786695083 or Email to: info@geniusesltd.com
> > >
> >>*************************************************************************************************
> > >TO ADVERTISE HERE: email: amosogal @ gmail.com
> >>*************************************************************************************************
> > >To subscribe:progressive-kenyans+subscribe@googlegroups.com:
> > >Unsubscribe:progressive-kenyans+unsubscribe@googlegroups.com
> > >
> > >
> >
> > --
> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >
> >
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 



--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment