Tuesday 16 October 2012

Re: Fw: [wanabidii] Polisi kulipiza kisasi

Kumbe kulipiza kisasi inaruhusiwa. Je nani atatulipizia kisasi kwa waliompiga na kumwua Mwangosi??

--- On Tue, 10/16/12, gosbert mutasingwa <bertmutta@yahoo.com> wrote:

From: gosbert mutasingwa <bertmutta@yahoo.com>
Subject: Fw: [wanabidii] Polisi kulipiza kisasi
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: "JAPHET MAKONGO" <makongo@yahoo.com>, "Domitian Rweshabura" <drweshabura@gmail.com>, "anthony Mbassa" <antmbassa@yahoo.co.uk>
Date: Tuesday, October 16, 2012, 9:38 AM

ENZI HIZO ZA BINADAMU KUVAA NGOZI MBWA KWA SABABU YA NJAA ALIKULA VAZI LA KIJAKAZI. KWA FAMILIA HIYO KITENDO HICHO KILIKUWA NI BURUDANI KWANI WALIMCHEKA HUYO MJAKAZI JINSI ALIVYOONEKANA UCHI. HAIKUPITA WIKI MBWA HUYO AKALA VAZI LA MWENYE NYUMBA, WEE WALIUAWA HATA WATOTO WA YULE MBWA. BASI POLISI MNAPOITWA KWENYE MATUKIO YA HATARI KWA RAIA FIKA WAKATI MUAFAKA SIO KONEKANA NA JAZBA YA KULIPZA VISASI KWA SABABU MBWA KALA NGOZI YA MWENYE NYUMBA

--- On Mon, 10/15/12, MikiDadi Waziri <kabangatz@gmail.com> wrote:

From: MikiDadi Waziri <kabangatz@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Polisi kulipiza kisasi
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, October 15, 2012, 11:56 PM

Nimeshutuka kusikia bwana manumba akiwaambia polisi walipize kisasi ka mauaji ya kamanda  wao, je nasisi  wananchi tukiamua kulipiza visasi ka matukio wanayotufanyia polisi itakuwaje?
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment