Sunday 30 August 2015

RE: [wanabidii] WIMBI LA WAKIMBIZI ULAYA: NCHI ZA MAGHARIBI ZINAJIFUNZA NINI?

Kwa nchi yetu Tanzania jibu la matatizo yetu linatokana na mfumo wa ukoloni mamboleo tuliorithi baada ya kupata uhuru.  Tuamini hivyo na tuufanyie kazi kwani kujua tatizo ni asili mia hamsini ya suluhu.

Herment A. Mrema


Date: Sun, 30 Aug 2015 01:35:14 -0700
Subject: Re: [wanabidii] WIMBI LA WAKIMBIZI ULAYA: NCHI ZA MAGHARIBI ZINAJIFUNZA NINI?
From: dekleinson@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Huu ukweli unauma ndugu zangu.

Hata jina Africa akitajiwa mzungu anashtuka!! wao walishatandikana vita, wanazijua A to Z. mabara yao yoote yameshatandikana haswa.

sielewi kwa nini tupo hivi;
1. kwa sababu ya umri wetu katika mfumo wao? sijui!
2. Labda umri mdogo tangu tupate uhuru!! hapana, haihusiani maana maendeleo ni maendeleo tu, tungekuwa japo na kihatua.
3. Au kwa sababu tu watu weusi hatuna akili naturaly ila hatujijui? Hapana bwana, kuna weusi wengi tu wamefanya mambo makubwa japo sijui kama ni kwa kubebwa au wao wenyewe.
4. Ni hizi imani za dini tuliozooteshewa? labda yawezekana zinafanya mwendo unakuwa wa taratibu!! sijui!
5. Yawezekana sisi ni kafara la vizazi vijazo? means kama safari ya wana wa Misri? means ni lazima haya yatukute labda!! Eboo. nani ajua?
6. Au ni laana tunazopata baada ya kuasi Miungu yetu wadhungu walipoingia!!
7. Hatujui kabisaa hata kama tumekwama mahali, na hakuna wa kutusaidia labda ashuke Masihi kutoka kwa Mungu au Miungu yetu ijirudi.

Ha ha ha haaaa


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment