Monday 31 August 2015

Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.

Despite the sensitivity and importance of the issue I think we need to be careful in our discussion as we can unwittingly fall in a legal trap due to such a defamation sort of an attack and we fail to substantiate the allegations before the court of law.
 
1. Everyone of us is suffering from one or more types of diseases

2. Even the healthy looking person like me and Capt. Komba might be suffering from a deadly illness

3. It is not a rule that the one suffering from a kind of illness should die before the healthy looking one. Anybody can die at any moment even by different factors apart from illness.

4.Should it be professionally established by the learned authority that the man is terminally ill and that he will never cerebrate the forthcoming five birthdays then let us discuss
5. Alternatively it should be mandatory and vividly stipulated by the Election Act for all contestants to undergo prior health checkup to prove whether one can robustly withstand strenuous engagement related to a particular seat.

If at all the agenda is based on spurious assumptions that the case can help to rescue the other side which, seemingly, is in a systemic demise I advice you to table other strong allegations.

Otherwise, let us sit and propose the establishment of legitimate authority to probe and rule out 

Gosbert Christopher Mutasingwa Project manager Agriculture, Nutrition and Good Governance Rulenge Ngara diocese P.O.BOX 107 BIHARAMULO 0784 857 775/0758 491 247

From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
To: WANA BIDII <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, August 30, 2015 11:53 PM
Subject: Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.

Hivi kwa nini kila mtu ni daktari ? Kama jamaa hajamwaga nondo tunazohitaji mie sioni shida sababu bado atarudi jangwani.
Nilisema tangu mwanzo sipendi ujio wake kwenye upinzani ila wimbi la mabadiliko linavyokwenda wakati mwingine unajikuta unaenda tu.
Mtanzania kachoka yuko frustrated hata humu tunavyochangia unaona kabisa ubongo ungependa uandike hili lakini mkono unaandika mengine twende tu tutafika kama si leo siku ingine

On Aug 30, 2015 3:38 PM, "'Kehancha Kehancha' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Elisa,
 
Kama hatujasahau kuna mgombe fulani alidondoka zaidi ya mara moja katika majukwaa kipindi cha kampeni 2005 pia 2010.

Da: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
A: wanabidii@googlegroups.com
Inviato: Domenica 30 Agosto 2015 7:25
Oggetto: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.

Watanzania wamekuwa na mashaka makubwa juu ya afya ya mgombea urais kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA. Sababu kubwa ya mashaka ni kuwa wasije wakamchagua mtu ambaye mbele akasababisha kurudiwa kwa uchaguzi kutokana na rais kushindwa kutimiza madaraka yake. Jambo hili kamwe halistahili kuwa hoja ya majukwaani. Haistahili kuanza kujadili afya ya mtu maana ikifikia hatua hiyo inakuwa si swala la itikadi. Kila mmoja anaguswa. Ni vibaya kabisa kugeuza afya ya mtu jambo la jukwaa la kisiasa. Kwa kweli si ustaarabu kuanza kujadili Fulani anaumwa. Hakuna shida kusema Fulani hafai kutokana na tabia au mwenendo wake. Lakini si afya. Afya mtu haamui bali hujikuta anaumwa.
Katika jukwaa la kisiasa Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye amewaeleza watanzania kutohoji afya ya Lowasa kwa sababu hata marais waliotangulia waliwahi kwenda kutibiwa. Amewataja Rais mkapa na Kikwete. Ameeleza kuwa mtu akishafika miaka 50 basi afya yake lazima itakuwa na matatizo. Kitu ambacho hakusema ni kuwa Lowasa haumwi. Amewaacha watanzania kutafsiri na kuamua alimaanisha nini. Mimi ninadhani alitaka kututaarifu kuwa anaumwa kweli. Maana yake mfumo tulio nao hautusaidii kuwapima na kuwajua watu afya zao. Hii kwa kweli inastahili kuwa kazi ya Tume ya uchaguzi. Kuhakikisha haituletei wagonjwa.
Sumaye ni kiongozi mwandamizi wa taifa hili. Anastahili kuonyesha upeo wa kufikiri. Sijui kwa nini ameshindwa kuonyesha hilo. Au hatumjui huyo ndiye Sumaye.
Hivi tunaweza kumchagua mtu mgonjwa asiyejimudu kwa sababu mtu Fulani alipokuwa madarakani aliumwa? Sumaye haoni tofauti kati ya JK au Mkapa walioingia madarakani wakiwa wazima halafu wakaumwa wakiwa kazini? Huyu kiongozi wetu ana upeo gani? Haoni kuwa hili si swala la kushindaniwa majukwaani? Yeye anasema Ikulu hawabebi zege? Yaani hajawahi kusikia kuna mazingira rais anaweza kushindwa kumudu majukumu yake? Majukumu ya kubeba nini? Hiki kifungu tena kimo kwenye katiba ambayo Sumaye aliwahi kuapa kuilinda Jamani UKAWA kuzoa zoa kutakuja kuwaaibisha siku moja!

Kama CHADEMA inataka kuja kubadili mfumo inastahili kumleta mtu anayetiliwa shaka kuwa rais wetu? Au inataka kuingiza mfumo wa kusimamisha wagonjwa. Ningeelewa kama wangesema tunataka watu wapimwe afya kabla ya kugombea yaani kuondoa mfumo wa kusimamisha wagombea tusiowajua au tulio namashaka nao. Kama tunahakikisha hatupitishi mgombea aliyewahi kuhukumiwa makosa ya jinai tunashindwa kumzuia mgonjwa kugombea urais?
Nakumbuka sana 2005 Mtikila akiwa anajiandaa kumlipua JK kuwa ameathirika yeye (JK) akawahi kupimwa na kutangaza afya yake. JK angesema na Mbowe ni mgonjwa (2005 JK alishindana na Mbowe kwa karibu zaidi) tusingemuelewa maana hapo asingetoa mashaka yetu. Lakini alipopimwa na akatangaza afya yake watu wakajua wanachagua kiongozi atakaye maliza kipindi chake na ikitokea asimalize ni bahati mbaya.
Mashaka ya watanzania kuhusu afya ya Lowasa yanaongezeka kila kukicha. Hata zilipotoka habari kuwa serikali imepiga marufuku usafiri wa helicopter kwenye uchaguzi mimi nilidhani (kama ni kweli) basi ni njama kutaka kumchosha Lowasa kwa kusafiri na barabara. Jana aliposema anakaa Dar kwa sababu ndicho kitovu na akawataka watu wa Dar wamuombee kura mikoani nikawaza hivi asiposafiri kwenda kuomba kura itakuwaje? Kwa nini CDM ikafanya maamuzi magumu kabla kampein hazijapamba moto? Inataka kutuletea ya 2005 uchaguzi kucheleweshwa tena?

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment