Sunday 30 August 2015

Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.

Kuumwa isiwe issue jamani
Magufuli ni mginjwa zaid ya lowasa hy inajulikana tukianza kujadili hoja kwa afya tutakosa viongozi makini na wenye uwezo wa kutuongoza,by the way jk alichukua nchi akiwa mgonjwa saa na sote tulimshuhudia alipokua akichemsha na kuanguka hadharani'but afya iliimarika alipoingia madarakani, huenda akiondoka atarudi ktk hali yake ya zamai japo tusiomwombee mabaya.
So lowasa afya yake kwangu si issue, nachoona anatupa matumaini na hasa ktk sera zao kaa ukawa wa elimu,kilimo,afya na miundombinu, ni sera bora kabisa kuliko ya ccm ambayo sera yao ni zile zile'tokea mzee mwinyi na hazijawahnkutekelezeka na ndio maana majukwwani jamaa naona wanajua mapovu kwa kua badala ya kunadi sera wanamnadi mtu na kwa kusema watu hadi matusi mara malofa,mapumbavu ,'mara makapi, jaman hizo ni seraaaaa, ukawa jana walitoa sera na hawakua na mda wa kujibizana na ccm wao ni kutoa matumaini kwa sera tuuu, jamani nimeipenda sana sku ya janaaa
Lesian

De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

Kwanza tukubaliane hali ya Edo sio nzuri. Nadhani inaathiri hata mfumo wake wa akili kwa mbaali.

Jana alikuwa anaongea kama amekariri, haraka haraka, limited, its like he was running out of time!!!
Mwenye akili zake akiri kuumwa kwake, halafu arudi na kuanza kutetea ugonjwa wake (kama anaujua) ni jinsi gani hauna athari zozote za muda mfupi.

Mambo mengine yapo wazi bandugu.
ha ha ha haaaaa. hata angekuwa na ugonjwa wa kuonekana bado raia mngeweka ngumu.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment