Sunday 30 August 2015

Fwd: Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.

---------- Forwarded message ----------From: salhabakari <salhabakari@yahoo.com>Date: Aug 30, 2015 9:54 PMSubject: Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.To: 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>,wanabidii@googlegroups.com
Cc: Wanazuoni - Informal Network of Tanzanian Intellectuals <wanazuoni@yahoogroups.com>

> True dada Ananilea!
> Umenikumbusha ileee, sidanganyiki!!
> So, HATUDANGAYIKI!!!!
>
> SB
>
> On Aug 30, 2015 8:27 PM, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> >
> > Nakumbuka wakati Jakaya Mrisho Kikwete anaomba kuingia madarakani mwaka 2005 alizushiwa kuwa alikuwa  anaumwa  UKIMWI. Maana yake siyo kwamba alikuwa na HIV tu, virusi vinavyosababisha UKIMWI,  bali alikuwa ameshafikia hali mbaya ya kuumwa UKIMWI kabisa na alizushiwa kuwa muda wowote angeondoka duniani kabla hata ya kumaliza miezi sita ya mwaka wa kwanza madarakani.
> >
> > Lakini ni miaka kumi sasa yupo anadunda. Hata Tezi Dume (kansa) ambayo yeye mwenyewe  amewathibitishia  Watanzania kwamba anayo haijamzuia kufanya kazi za Urais. Lakini zaidi ingawa ametuthibitishia Watanzania kuwa ana tezi dume, kuondoka kwake duniani anakujua Mwenyenzi Mungu, tunaweza kushangaa sisi binadamu kuona Mungu anampa  kuishi  miaka 40 hata 50 ijayo.
> >
> > Ninachotaka kusema hapa  ni kwamba maisha ya binadamu uzima wake anaujua Mungu. Rais mstaafu wa Kenya Mwai Kibaki alikuwa mgonjwa mahututi  wakati anaingia madarakani. Lakini Wakenye waliokuwa wanataka madadiliko walimchagua. Lakini leo yupo Kibaki yuko hai na zaidi miaka yake aliyoitumikia Kenya hakuna Rais aliyewahi kumfikia  kwa kiwango cha kuwaletea Wakenya maendeleo.
> >
> > Hivyo  wanaodhani kuwa kwa kusema  Edward Lowassa ni mgonjwa eti hawezi kuongoza Tanzania kwa miaka 5 ijayo, hiyo ni   kete tu ya kuwadanganya wapiga kura ili kuzuia mabadiliko. Lakini Watanzania wengi wa leo  HAWADANGANYIKI.   Hivyo ni vema wenye hoja ya ugonjwa  waachane nayo maana itakufa kama ile hoja ya   ufisadi wa Richmond ilivyokufa baada ya  kubaini aliyekuwa kinara wa Richmond ni mkuu wa nchi na siyo Waziri Mkuu (Edward Lowassa). Wananchi wanajua  serikali ya CCM ndiyo  fisadi kamili anayekwapua fedha za wananchi kila uchao. Mfano ufisadi wa Tegeta escrow kinara wa ufisadi huo alikuwa ofisi kuu ya nchi Ikulu  Wapiga kura wanauliza je Lowassa alikuwa Ikulu mwaka jana 2014?
> >
> >    
> > Ananilea Nkya
> >  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
> >
> > --------------------------------------------
> > On Sun, 8/30/15, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Sunday, August 30, 2015, 9:55 AM
> >
> > Kwanza
> > tukubaliane hali ya Edo sio nzuri. Nadhani inaathiri hata
> > mfumo wake wa akili kwa mbaali.
> > Jana alikuwa anaongea kama amekariri, haraka
> > haraka, limited, its like he was running out of time!!!
> >
> > Mwenye akili zake akiri kuumwa kwake, halafu arudi na kuanza
> > kutetea ugonjwa wake (kama anaujua) ni jinsi gani hauna
> > athari zozote za muda mfupi.
> > Mambo mengine yapo wazi bandugu.
> >
> > ha ha ha haaaaa. hata angekuwa na ugonjwa wa kuonekana bado
> > raia mngeweka ngumu.
> >
> >
> >
> > --
> >
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >  
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> > kudhibitisha ukishatuma
> >
> >  
> >
> > Disclaimer:
> >
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> > for any legal consequences of his or her postings, and hence
> > statements and facts must be presented responsibly. Your
> > continued membership signifies that you agree to this
> > disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> > Guidelines.
> >
> > ---
> >
> > You received this message because you are subscribed to the
> > Google Groups "Wanabidii" group.
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >
> > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> > --
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment