Sunday 30 August 2015

Re: [wanabidii] Huku Sumaye na Lowassa, kule Mengi na Rostam, tusubiri

Ndio sawa kabisa, Paschal Wote Sisi Mafisadi.

Hata Wananchi wenyewe Mafisadi. Mtu unachukua cutomary land yako unamkabidhi mgeni mhamiaji haram kutoka nchi jirani, unamuoza mwanao, kisha unasaidia achaguliwe na anachaguliwa kuwa mwenyekiti wa kijiji. Anakuja anahamia na nduguze na mifugo kibao inayoleta madhara katika mazingira. Unamsaidia apate kitambulisho cha kupiga kura, cha uraia-Mtanzania huyo!!

Upo kijijini umekaa kutwa unakunya pombe na kunadi mazao ya wenzako udalali na kuwaibia kuwapa bei ndogo ila wafunge lumbesa; jibaba kutwa udalali tiketi za mabasi kuonea masikini wenzako kisa -beer na kuku kwa mama ntilie. umeacha mashamba vijijini, upo mjini jibaba kutwa barabarani. Kisha jibu Lowasa au Mangufuli-akukamate usinywe pombe, akukamate kijijini akufunge kamba ukandike nyumba yako na tope, nyasi za bure msitu umezunguka nyumba yako.

Wenzenu wamechimba bwawa la maji kwa mikono yao wapate maji wewe unaleta mifugo unaiingiza kunywa maji unachafua yanajaa mikojo, kelimikali za kupe ma kinyesi (ona picha-mifugo toka Monduli kuingia kijiji cha Mkulazi Ngerengere na Nyumba mahala ambapo nyoka zipo, wanyama pori, tope na maji vibwawani vya bure-hawezi kukandika mwaka nenda rudi). Wenye mifugo wana uwezo hata wa kuchimba bwawa kwa mashine wakichangizana. Wanabomoa wigo waliojenga wenzao kuzuia mifugo wanatia mifugo bwawani inaharibu maji hayo ya kijani sasa, wanasepa zao au wanafanya hivyo daily. Viongozi na mgambo au polisi wenye silaha wakija-wanatoa rushwa ya mihela-njaa inawafanya wachukue hela na kutokujali UTU. Wakienda wananchi waathirika-kuchapwa bakora, matusi, dharau! Unakuwa mtumwa kwenu, kwenye customary land yenu, kwenye juhudi zenu za maisha zinaharibiwa na wananchi wenzako kila kona-kuuza mazao, mazingira, unapotaka kupanda bus, zahanati unapotaka huduma-nurse anataka rushwa,
michango ya kijiji mpate huduma-mwenyekiti anasepa na hela. Tumeharibikiwa budi tujirekebishe.


Bado mnategemea bila kubadilika kiakili, kimatendo sisi watanzania Rais ajae atashusha maendeleo yetu binafsi. Yako wewe binafsi kukukamata ufanyekazi kijiji na ofisini usikae ukabofya simu na kudai rushwa yeye atafanya hivyo; ufuge na ulime kisasa kiendelevu akuchape viboko na hutaki kuzingatia ushauri. Ngoja aje yule asiye na woga atujaze katika makarandinga kuturudisha tulikotoka tukalime; kamata omaomba wengine wana mikono miwili, macho, miguu wameongozana na vitoto wanavitesa kutwa eti masikini wanaombaomba na kulala na vitoto barabarani vinavyobakwa daily; akamate wanaozurura na mifugo kuitoza pesa kwa kuiuza kulipia uharibifu na wao kuwajengea fence wasitoke huko wafuge kisasa na kiendelevu-Ndio tunataka hii. Aje wa bomoa bomoa kila jengo lililomita 60 kando ya mto na bahari na katika mapito ya mabomba ya gas, maji na barabara na waliojenga bondeni maeneo hatarishi. Nitafurahi sana kama atabomoa kuanzia mtoni mpaka kigogo, jangwani na salanda
bridge na mabote yote nchini wanakojaza mchanga ili wajenge mabwalo ya magereji. kwani mvua na mafuriko yakija wanatia gharama na aibu pia kwa kulala vituo vya basi vya rapid bus transport kwa DSM.

Unalala na mtoto kituoni wakati umeuza nyumba kariakoo, magomeni au kiwanja Tabata kwa mamilioni 200+ kisha unalaumu serikali? Unapelekwa Mabwepande- ni yale yale! Unauza, unarudi mabondeni. Mwaka huu Elnino yaja. dalili za mafuriko na mvua hatarishi zinaonekana bara la Hindi na Tsunami huenda ikaja. ndio kwanza tunajaza magunia ya takataka mpaka vituo vya rapid bus transport magunia na viroba vimejaa.

Mkopo wa chuo umenunua gari ya kusotasota unatoka bwenini hadi darasani daily kwa gari? wenzetu ulaya wanakwenda masomo elimu ya juu college kwa baiskeli na anatoka mbali sisi hapa na hapa kwa gari tu masikini hasa? Foleni barabarani familia moja magari 4+ kila mtu na lake njia moja. Hata barabara zipanuliwe vipi hatutapunguza foleni. Toza kodi kubwa ya gari ili waingie akili watapiga kelele. Mwanafunzi angetumia mkopo kuboresha nyumba ya kwao, kuanzisha biashara wazazi wajikwamue wapate baiskeli ya kupelekea nyanya sokoni. Wewe kutwa upo samakisamaki unajionyesha kwa chupa za bia kwa hela ya mkopo.

Sasa kila mtu anajikosha na kusema ataleta hiki bure, hakutokuwa na kodi hata za mazao, elimu bure hadi university-nchi gani haitozi kodi? wana viwanda, wanatuuzia magari, vivalo na kutupa vyakula vya misaada kutokana na kodi watozazo. Hakuna parking ya gari, baiskeli, pikipiki etc bila kodi ya siku, mwezi, robo, nusu au tiketi ya mwaka. Mashine ya kodi mpaka kwa muuza mchicha barabarani. Unalipa kodi kwa kila unachokifanya na una namba yako na ukisababisha ajali Bima yako ya ajali inapanda makato yake automatically. Hapa hizo mashine za kodi hatuzitaki hata muuza mtumba barabarani anakuuzia kiatu cha 20 elfu lakini asitoe kodi-tunaandamana. Huko kwenye wachimbaji madini uharibifu mazingira na uchafuzi wa maji hautezamiki pamoja na uasherati na ulevi-nani katuroga? Haya uje uwape Uhuru wasizingatie sheria kama utakavyo wasitoe kodi, wazagae watakavyo!? Tunahitaji watendaji watakaozingatia Sera, Mikakati, Sheria za kila sekta mpaka za Kodi ili tutoke hapa
tulipokwama.

Akikosa kikazi ofisini -usimuhamishe fukuza kazi kama ni kibaka. Akijenga juu ya bomba la maji, mafuta, ndani ya barabara na akiziba barabara kaweka kiosk-bomoa bila fidia na alipie gharama za ubomoaji. Akilima milimani bila makinga maji-peleka ktk kamati ya Sheria Kata na kijiji kihusike kukagua kuona sheria za kila sekta zinazingatiwa. tuache lelemama, tujirekebishe kimatendo, kimtazamo na fikra na kitabia. Ama sivyo hatutobadili matatizo yaliyopo-Yatakuwa Yale yale ya kila siku. Watanzania tuliowengi mitazamo finyu, kufuata mkumbe, kupenda vishuke kama mvua ya masika. Ndio maana wanahama huku, kwenda kule kujipinga wenyewe. Kumbadili mbongo mitazamo-hata kama ni msomi kuna utata na ndio maana tupo hapa tulipo na wasomi ndio hao hamahama vyama na kuweka ahadi za alinacha wakiwa wamelimbikiza mashamba ya estate plantation za zamani za GVT pamoja na mengine mengi. Mungu atusaidie vita isizuke uchaguzi uishe salama. Wote Mafisadi kiakili (unawaza mihela
ukipata uongozi mihela ndio utampa kura) au kimatendo (unahonga upate uongozi au unaibia taifa kiwazi).

--------------------------------------------
On Mon, 31/8/15, 'Paschal Leon' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Huku Sumaye na Lowassa, kule Mengi na Rostam, tusubiri
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, 31 August, 2015, 5:52

watu wote
mafisadi, sijaona hata mmoja, wanazidiana tu kwa ufisadi,
kuanzia serikali ya kijiji hadi serikali kuu; nani sii
fisadi?



On Sunday, August
30, 2015 9:34 PM, 'jbifabusha' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:



Mihingo
hatukuelewi. Tunataka mabadiliko bila kujali nani
anayaleta.

Sent from Samsung
Mobile


-------- Original message
--------
From: 'ananilea nkya' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re:
[wanabidii] Huku Sumaye na Lowassa, kule Mengi na Rostam,
tusubiri


Kichwa hiki cha habari kinaonekana kinachochoea
ukaburu  na ubaguzi.
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Sun, 8/30/15, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Huku
Sumaye na Lowassa, kule Mengi na Rostam, tusubiri
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, August 30, 2015, 6:53 AM

Watanzania wameikasirikia
CCM. Wamekasirika na kuweka bifu vifuani mwao.
Tuombe kuja
kufika uchaguzi wawe wameamua
kuua kunguni wala si kuchoka
kitanda chote.
Watakosa pa kulala.
Ni haki
na kweli kuwa mchanganyiko wa Lowasa na Sumaye
utakuja
kuleta ya Sudani ya kusini. Yaani
ugomvi kati ya Kir na
machari. Hawa
wamepatanishwa na nini na lini? Wote walikuwa
CCM. hao wao ndiyo CCM. Wakishatoka CCM basi
inabaki CCM
mpya. Lakini kwa umbumbumbu wa
wengine wanaweza kuendelea
kuishambulia CCM
kumbe CCM iko UKAWA inaendesha uCCM

huko.
Kila mtanzania anatarajia
mabadiliko.
Na lazima atayapata. Yanaweza
kuletwa na UKAWA (CCM B) au
CCM original.
Yani CCM iliyorekebishwa. Tunahitaji

kuwasaidia watanzania kuliona hilo. Bahati nzuri wameanza
kuliona.

--------------------------------------------
On Sun, 8/30/15, 'mpombe mtalika'
via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>

wrote:

  Subject:
[wanabidii] Huku Sumaye na Lowassa, kule Mengi
na Rostam,
tusubiri
  To:
"ELISA MUHINGO' via

Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Sunday, August 30, 2015, 7:56 AM
 
 
 
  Huku Sumaye na
  Lowassa,
kule
Mengi na Rostam, tusubiri
 

AMA
kweli Wahenga walisema; ndugu

wakigombana chukua jembe
 
ukalime,siku
wakipatana chukua kapu
ukavune.
 
 
  Lakini pia upo usemi wa

wanasiasa kote
  duniani wa kwamba
  katika siasa,hakuna urafiki wala uadui wa
kudumu, bali
 
kinachoangaliwa zaidi
  nimaslahi ya
kisiasa!
 
  Historia
inashuhudia misemo yote hiyo
  miwili kwa
sasa
  ikitimia

katikakipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa
  Oktoba 25, mwaka huu.
 
 
  Huku tunawaona
wanasiasa
wawili
 
mahasimu, Edward Lowassa na
 
FrederickSumaye wakiungana na kuwa wamoja,

kule tunawaona
  wafanyabiasharawawili
  mahasimu, Dk. Reginald Mengi na Rostam
Aziz
nao
 
wakiwawameungana. Tusubiri
  tuone huko
tuendako!
 
 
  Wiki iliyopita, Agosti

22,
  mwaka huu, waziri mkuu mstaafu,
  Sumaye,alitangaza
 
rasmi
kuachana na Chama cha Mapinduzi
  (CCM),
akisemaameamua
  kujiunga na Umoja wa Katiba

ya Wananchi (Ukawa), unaoundwa
  navyama
vinne vya
  siasa nchini vya
Chadema, CUF,
NCCR-Mageuzi na NLD kwa
lengo
  kuongeza
nguvu
ya
  kisiasa upande wa Upinzani ili
hatimayekupatikane huko chama
  chenye nguvu
na
  kinachoweza kuaminiwa

naWatanzania.
 
 
  Niseme mapema hapa
kwamba binafsi,
  hadi sasa sijui ni

Watanzaniawangapi wanaweza
kushawishika na kukiamini
chama
  chochote cha

Upinzani katika idadi ya vyama hivi
tulivyonavyo
  atakachojiunganacho

Sumayeambaye hakuwahi
kuaminiwa na Watanzania hao hata
  katika
miaka yakeyote 10
  ya

uwaziri mkuu.
 

Ninachokikumbuka, huyu ndiye waziri
  mkuu
pekee katika
  uongozi wakealiyepachikwa jina
la waziri mkuu zero au sifuri
  na Watanzania
hao
  haopamoja na wachora vikatuni katika
baadhi ya magazeti
  yetu.


 
  Ninachoamini bado, kama

alivyosema
  Sumaye mwenyewe wakati wa
  akitoatamko lake hilo la kuhama CCM wiki
iliyopita, huyu ni
 
mwanasiasasisimizi
  tu katika wanasiasa wa
nchi hii!
 
  Ndugu
zangu, huko Ukawa
alikokwenda
  Sumaye ndiko aliko
 
aliyekuwahasimu wake mkuu wa kisiasa katika

siasa za ndani
  ya CCM,


Lowassa,ambaye alitangaza rasmi kuhamia
huko Julai 28,
mwaka
 
huu, kabla yaumoja

huo
kumkabidhi mikoba ya kuwa mgombea pekee wa urais wa
  Jamhuriya Muungano wa

Tanzania kwa tiketi ya Ukawa.
 
 
 
Kabla ya wawili hao kuchukua
uamuzi
  huo, wakiwa bado makada
 
wa CCM,wote walijitokeza na kuwa miongoni mwa
makada 38 wa
  chama

hichowaliochukua na
kurejesha fomu za kuomba kuteuliwa
kuwa
  wagombea waurais

katika uchaguzi wa mwaka huu.
 
  Hata hivyo, kutokana na
haiba yao ya
  kisiasa ndani na nje ya
  CCM,
wotewawili hao majina
yao yalikatwa katika hatua za
  mwanzo
kabisa, wala hayakuingia
  hata ndani ya
kikao cha Kamati Kuu
kujadiliwa!
 
 
  Kwa
yeyote anayefuatilia siasa za
  ndani ya
CCM, anafahamu


kwambaLowassa na Sumaye, walikuwa hawaivi kisiasa. Mara
  kadhaa,
 
Sumayeamejiapiza
mbele ya chama chake na
mbele ya waliokuwa


wanachamawenzake,
  akisema endapo CCM
ingemteua Lowassa kuwa mgombea wa

urais,basi yeye
  angejitenga na chama

hicho.
 
 

Kama ambavyo karibu viongozi
wakuu
  wote wa
Chadema na
kambi
  yaupinzani kwa ujumla
ilivyokuwa ikimtuhumu Lowassa kwamba
  ni
  fisadiasiyestahili
kukabidhiwa madaraka ya juu
ya kuongoza
  nchi, ndivyo pia
  Sumaye
alivyokuwa akimnanga Lowassa kila
anapopata
fursa
  yakuzungumzia masuala
  ya rushwa na ufisadi.
 
  Kwa mfano, Novemba 2013, katika
  mkutano mmoja na waandishi
  wa
habari,Sumaye
alilalamika kuhujumiwa na watu aliodai kuwa
  mahasimu wake
 
wakisiasa
katika mbio za urais za mwaka
2015, hasa kwa
  kuingilia katimialiko
  yake ya
kijamii anayoipata
ili kuwa mgeni rasmi.


 
  Malalamiko hayo ni
mbali
na yale
  aliyoyatoa
mwaka 2012 baada
  yakushindwa katika
nafasi ya Mjumbe wa
Halmashauri Kuu
(NEC)
  Taifakuwakilisha
 
Wilaya ya Hannang, mkoani Manyara, akisema

wazi kuwa
  baadhiya mafisadi wa ndani
  ya CCM, walitumia fedha nyingi
kuhakikisha
kwambamshindani
  wake, Dk. Mary Nagu,
 
anamwangusha.
 
 
  "Siwataji, hata ninyi

mnawajua,"
  aliwahi kukaririwa Sumaye
  baada yakutakiwa na wandishi wa habari
kuwataja mafisadi
 
wanaomjumu
  kwenyemialiko yake ya shughuli
za kijamii
pamoja na kumwaga
  fedha wilayanikwake
  ili
ashindwe ujumbe wa NEC.



 
  Wakati fulani pia,
mbele
ya wandishi
  wa
habari, Sumaye, bila
  kutajajina la
Lowassa, aliwahi kukaririwa
akisema:
"Fisadi
  huliibia taifafedha
  nyingi kiasi cha wananchi kutaabika,
halafu
akiitwa
 
kwenyeharambee anatoa
  kijisehemu tu cha
fedha alizofisadi kwa njia
ya
  rushwakukandamiza maendeleo ya
  watu.
 
 

  "Rais Kikwete amesema kuwa rushwa
  inaweza ikafanya CCM

ikashindwa.
 
  Mimi naamini,
kama CCM
itapitisha
  majina (ya wagombea
wake
  wa urais2015) kwa
kuangalia rushwa,
chama kitaanguka,
bahati
  nzuri
 
Mwenyekitiameliona hilo, siamini kama

watapitisha watu ambao
  watakiangusha.
 
 

Wakipitishwa hao, sitaweza kukaa nao,
  hata
kama sitahama."
 
  Hizo ni

baadhi tu ya nukuu za Sumaye
  katika
matukio
na
 
nyakatimbalimbali akizungumzia msimamo
wake
kuhusu rushwa na
  mafisadi,
  lakininyingi ya kauli zake hizo, kwa
vyovyote
vile
 
akizielekeza kwa Lowassa.
 
 
  Hata

hivyo, Sumaye huyu wa sasa,
  aliyeamua
kumfuata Lowassa
 
Ukawa,amekaririwa na
baadhi ya vyombo vya
habari nchini
  katika

tukio hilo
  lawiki iliyopita akisema:
"Ambaye ameshakaa serikalini
  katika
nafasi mbalimbali
  ni Lowassa. Hawa wengine

(aliogombea nao urais ndani yaCCM)

hawajaendesha
  Serikali,
wamekwenda shule
tu."
 

  Kwamba Lowassa
ambaye
siku zote Sumaye
  alikuwa

akikiaminisha
  chamachake, CCM, kwamba
ni
fisadi na mtoa rushwa mkubwa,
  akisema
kama
  CCMitampitisha mwanasiasa huyo
kugombea urais, yeye hatakuwa
  sehemu
yachama
  hicho, leo hii ndiye tunayeambiwa
na Sumaye kwamba
 
alikuwaanafaa kuteuliwa
kwa
  sababu tu amekwishashika nafasi
mbalimbali
 
  serikalini,
anafahamu
kuendesha
  Serikali!
 

 
  Huyo ni
Sumaye na Lowassa, wanasiasa
  ambao huko
nyuma
  walikuwa katikamkoa mmoja wa Arusha,
wakiwa na uhasama
  mkubwa wa
kisiasa,
kabla
  yaMkoa
huo kugawanywa na kupatikana
mkoa mwingine
wa
  Manyarauliowatenganisha
  kiutawala.
 


  Katikati
ya mshangao huo wa Sumaye na
  Lowassa,
katika
  kipindi
hikihiki
cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015,
 
tunawaona pia mahasimu


wawiliwa kibiashara hapa nchini, Dk. Mengi na Rostam Aziz
  wakiweka tofautizao
  za
muda
mrefu pembeni na kuungana kumtafuta
mgombea wao wa
  uraismwaka huu.
 
 
  Kwa
wenye kumbukumbu na
wanaofuatilia
  matukio mbalimbali
 
yanayoendelea nchini watakuwa wanakumbuka

tukio la Mei 26,
  mwaka huu, siku
  ambayo wafanyabiashara wawili hao maarufu
nchini walivyokaa
  mezakuu
moja. Hilo
  lilikuwa tukio la kutano wa
wamiliki wa vyombo
binafsi
  vyahabari nchini,

kupitia umoja wao wa MOAT na waandishi wa
vyombo vya
habari
  vya
ndani na nje,

uliolenga
kuzungumzia, pamoja na mambo mengine, hisia za
  MOAT kuhusu miswada
 
miwili
iliyokuwa ikitazamiwa kuwasilishwa
na Serikali
  bungeni ili kuwa sheria

kamili. Muswada wa Huduma za
Vyombo vya Habari pamoja na
  Muswada wa
Haki ya

KupataHabari.
 
 
 
Swali kuu lililotawala vichwani mwa
 
baadhi ya wadadisi wa


mambowalioshuhudia tukio lile la Mei 26, 2015, la Dk.
Mengi
  na


Rostamkukumbatiana na kukaa meza moja,
lilikuwa ni, je;
  miswada hiyo miwiliya

Serikali ndiyo iliyowaleta
pamoja wafanyabiashara hao
wawili
  maarufu katika
  nchi
hii au ni Uchaguzi Mkuu wa Oktoba na vitalu
vya gesi
  asilia na mafuta?
 
 
 
Kwanini swali hilo?
Itakumbukwa kwamba
  Aprili 23, 2009, Dk
 
Mengi, ambaye ni Mwenyekiti Mtendaji wa

Makampuni ya IPP,
  alitaja kwa majina
  wafanyabiashara watano akiwatuhumu kuwa
mafisadi papa hatari
  kwa
uchumi wa
  Taifa hili, miongoni mwa
mafisadi wasiopungua
10 aliodai
  kuuyumbisha utawala wa
 
Rais Jakaya Kikwete.
 
 

  Katika madai yake hayo, Dk.
Mengi
  alikaririwa na baadhi
ya
  vyombo vya habari nchini akisema:
"Nchi hii
ina mafisadi
 
ambao kila kukicha
  wanaiyumbisha nchi.
Hawazidi hata kumi. Lakini
kuna watano
  ambao ni mafisadi
  papa.
Ukitokea kupingana nao tu kutokana na

ufisadi wao,
  wanakuona wewe ni adui
  mkubwa."
 

Dk Mengi, siku hiyo akiwa
kwenye
  mkutano
mkubwa na
vyombo
  vya habari, alitaja majina
ya mafisadi papa hao watano,
  wakiongozwa na
Rostam
  Aziz na wengine wanne ambao sina
sababu ya kuwataja
  hapa.


 
  Baada ya kutaja orodha
hiyo
ya
  wafanyabiashara mafisadi
  papa, Dk. Mengi alieleweka vyema kwa
Watanzania, hasa wale
 
waliokuwa
  wakimwamini na kumkubali
kutokana na msimamo
wake wa
  'uzalendo' na 'utetezi wa
  wazawa.'
 

Wakati Watanzania hao
wakiendelea

kutafakari
orodha hiyo ya
  mafisadi papa
pamoja na matendo yao kwa Taifa hili, siku
10
  baadaye, yaani Mei
 
2, 2009,
Rostam Aziz naye aliitisha mkutano
mkubwa pia wa
  waandishi vyombo
  mbalimbali
vya habari vya
ndani na nje na kumrushia


makombora mazito Mwenyekiti
  Mtendaji
huyo
wa IPP.
 
 

Dk Mengi
alitajwa na Rostam Aziz
  kwamba
yeye ndiye fisadi
  mkubwa
ndani ya nchi hii,
akimfananisha na fisadi
nyangumi.
  Rostam

alikwenda
  mbali zaidi, akidai kuwa na
vielelezo kibao ambavyo
 
angeviwakilisha
mikononi
 
mwa Jeshi la Polisi ili waanze
kumchunguza
dhidi ya vitendo
  vyake hivyo
vya
  kifisadi nyangumi.
 
 
 
Katika kipindi hicho cha
misuguano
  baina ya wafanyabiashara
 
hao wawili, kiasi cha kupachikana majina ya

mafisadi papa na
  mafisadi nyangumi,
  Rostam alikuwa bado ni Mbunge wa Igunga na
pia
Mjumbe wa
  Kamati Kuu
na

Halmashauri Kuu ya
CCM.
 



  Takriban miaka mitatu


baadaye, baada ya Rostam Aziz kudaiwa
  na
Dk.Mengi kwamba amekuwa
akishiriki katika vitendo
 
vinavyoiyumbisha nchi hii,

kwa maana ya Julai 13, 2011, mwanasiasa huyo
aliamua
  kujiuzulu ubunge huo wa

Igunga pamoja na nyadhifa
nyingine zote hizo alizokuwa
nazo
  ndani ya CCM,
  akidai
kuwa dhamira yake ya dhati kabisa imemtuma


  aachane
na siasa uchwara za ndani ya
  chama chake
hicho ili
  sasa
aweze
kutumia muda wake kushughulika na biashara
  zake.
 
 

  Je, uhusiano huu mpya wa Dk Mengi na
  Rostam Aziz,
 
uliowafanya
wazike tofauti zao na uhasama
wao na kwa pamoja
  kuamua kumuunga
  mkono kisiasa
Lowassa
katika mbio zake za kuusaka urais,

unabeba siri gani?
 

Nihitimishe makala haya
kwa
  kuwakumbusha

Watanzania kwa
  ujumla wa imani zote,
kwamba
katika Biblia (Mathayo 7:6,
  12-14),
imeandikwa
  hivi: "Msimpe mbwa kilicho
kitakatifu, wala msiwape
 
nguruwe lulu zenu
wasije
 
wakawakanyaga, wakawageuka na

kuwararua."
 
 
  Ikulu ni mahali patakatifu, watu wasio
  wasafi si mahali pao.
 
Gesi
asilia na mafuta yaliyopatikana Mtwara
pamoja na maeneo
  mengine ya nchi
  hii, Bara na
Visiwani, ni
lulu ya uchumi wa nchi hii, ambayo
  kamwe
Watanzania
  hawawezi

kuitoa lulu yao hiyo na kuwakabidhi wasiofaa!
  Tutafakari sasa na hata

Oktoba 25.
 
  Chanzo
RaiaMwema
 
  Toleo la 420,28
Aug 2015
 
 
 
 
 
  --
 

  Send
Emails to
wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda


 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

Utapata Email ya
  kudhibitisha
ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 

Everyone
posting to this Forum bears the sole

responsibility
  for any legal
consequences
of his or her postings, and
hence

statements and
facts must be presented responsibly. Your
 
continued membership signifies that you agree
to this
  disclaimer and
pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
 

---
 
 
You received this
message because you are
subscribed to the

Google
Groups "Wanabidii" group.


  To unsubscribe from this
group and stop
receiving emails
  from it, send an email to

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 

  For more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.
 

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email
kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma


Disclaimer:
Everyone
posting to
this Forum bears the sole
responsibility for any legal
consequences
of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message

because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.

To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For
more options, visit

https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to
wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment