Saturday 29 August 2015

Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.

Ninajua naweza kufa wakati wowote na niko tayari. Hata leo ukienda hospitali watu wamekufa. Siyo agenda hapa. Ukifikiri kwa kifua sawa (kwa moyo) ukifikiri kwa kichwa huwezi kuandika hayo uliyoandika. Aliyejadili afya ni Sumaye. unasema nilichoandika (kutolazimisha watu kujadili afya za watu) Watanzania hawawezi kumpeleka mtu machela ikulu. Kibaki alikuwa kapata shida iliyoeleweka. Hii si ile. Soma tena nilichoandika.
--------------------------------------------
On Sun, 8/30/15, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, August 30, 2015, 9:03 AM

Mihingo
Mungu atakupiga kofi na unaweza kufa kabla ya Lowasa. Hata
hivyo ukome kujadili afya za watu. Hata ww hapo ulipo ni
mgonjwa. Suala alilosema Sumaye ni kwamba Ikulu siyo mahali
pa kubeba zege mtu yeyote mwenye akili timamu anastahili
kuongoza. Hata ndugu zetu wenye Ulevavu wanaweza, hata
wagonjwa Kama Kikwete sasa hivi anaongoza.

-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA
yadhibitisha-Lowasa anaumwa.

Watanzania wamekuwa na mashaka makubwa juu ya afya ya
mgombea urais kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo
CHADEMA. Sababu kubwa ya mashaka ni kuwa wasije wakamchagua
mtu ambaye mbele akasababisha kurudiwa kwa uchaguzi kutokana
na rais kushindwa kutimiza madaraka yake. Jambo hili kamwe
halistahili kuwa hoja ya majukwaani. Haistahili kuanza
kujadili afya ya mtu maana ikifikia hatua hiyo inakuwa si
swala la itikadi. Kila mmoja anaguswa. Ni vibaya kabisa
kugeuza afya ya mtu jambo la jukwaa la kisiasa. Kwa kweli si
ustaarabu kuanza kujadili Fulani anaumwa. Hakuna shida
kusema Fulani hafai kutokana na tabia au mwenendo wake.
Lakini si afya. Afya mtu haamui bali hujikuta anaumwa.
Katika jukwaa la kisiasa Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye
amewaeleza watanzania kutohoji afya ya Lowasa kwa sababu
hata marais waliotangulia waliwahi kwenda kutibiwa.
Amewataja Rais mkapa na Kikwete. Ameeleza kuwa mtu
akishafika miaka 50 basi afya yake lazima itakuwa na
matatizo. Kitu ambacho hakusema ni kuwa Lowasa haumwi.
Amewaacha watanzania kutafsiri na kuamua alimaanisha nini.
Mimi ninadhani alitaka kututaarifu kuwa anaumwa kweli. Maana
yake mfumo tulio nao hautusaidii kuwapima na kuwajua watu
afya zao. Hii kwa kweli inastahili kuwa kazi ya Tume ya
uchaguzi. Kuhakikisha haituletei wagonjwa.
Sumaye ni kiongozi mwandamizi wa taifa hili. Anastahili
kuonyesha upeo wa kufikiri. Sijui kwa nini ameshindwa
kuonyesha hilo. Au hatumjui huyo ndiye Sumaye.
Hivi tunaweza kumchagua mtu mgonjwa asiyejimudu kwa sababu
mtu Fulani alipokuwa madarakani aliumwa? Sumaye haoni
tofauti kati ya JK au Mkapa walioingia madarakani wakiwa
wazima halafu wakaumwa wakiwa kazini? Huyu kiongozi wetu ana
upeo gani? Haoni kuwa hili si swala la kushindaniwa
majukwaani? Yeye anasema Ikulu hawabebi zege? Yaani hajawahi
kusikia kuna mazingira rais anaweza kushindwa kumudu
majukumu yake? Majukumu ya kubeba nini? Hiki kifungu tena
kimo kwenye katiba ambayo Sumaye aliwahi kuapa kuilinda
Jamani UKAWA kuzoa zoa kutakuja kuwaaibisha siku moja!

Kama CHADEMA inataka kuja kubadili mfumo inastahili kumleta
mtu anayetiliwa shaka kuwa rais wetu? Au inataka kuingiza
mfumo wa kusimamisha wagonjwa. Ningeelewa kama wangesema
tunataka watu wapimwe afya kabla ya kugombea yaani kuondoa
mfumo wa kusimamisha wagombea tusiowajua au tulio namashaka
nao. Kama tunahakikisha hatupitishi mgombea aliyewahi
kuhukumiwa makosa ya jinai tunashindwa kumzuia mgonjwa
kugombea urais?
Nakumbuka sana 2005 Mtikila akiwa anajiandaa kumlipua JK
kuwa ameathirika yeye (JK) akawahi kupimwa na kutangaza afya
yake. JK angesema na Mbowe ni mgonjwa (2005 JK alishindana
na Mbowe kwa karibu zaidi) tusingemuelewa maana hapo
asingetoa mashaka yetu. Lakini alipopimwa na akatangaza afya
yake watu wakajua wanachagua kiongozi atakaye maliza kipindi
chake na ikitokea asimalize ni bahati mbaya.
Mashaka ya watanzania kuhusu afya ya Lowasa yanaongezeka
kila kukicha. Hata zilipotoka habari kuwa serikali imepiga
marufuku usafiri wa helicopter kwenye uchaguzi mimi
nilidhani (kama ni kweli) basi ni njama kutaka kumchosha
Lowasa kwa kusafiri na barabara. Jana aliposema anakaa Dar
kwa sababu ndicho kitovu na akawataka watu wa Dar wamuombee
kura mikoani nikawaza hivi asiposafiri kwenda kuomba kura
itakuwaje? Kwa nini CDM ikafanya maamuzi magumu kabla
kampein hazijapamba moto? Inataka kutuletea ya 2005 uchaguzi
kucheleweshwa tena?

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email
ya
kudhibitisha ukishatuma

ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment