Saturday 29 August 2015

Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.

So! So? UKAWA mpeleke hospitali. Pata cheti cha daktari kuwa hawezi. Mtapata nafasi ya kumuweka huyu namba mbili au Slaa. Mkimuweka Slaa mnachukua nchi na sisi tunaipeleka CCM garage. Mkimuweka huyu mamluki basi watanzania tunapata mabadiliko kupitia CCM. Hii heabu ya darasa la chini. Natoa ushauri kama mtanzania ninayoipenda nchi yangu. Naeleweka hivyo. Vyama vyote mali yangu
--------------------------------------------
On Sun, 8/30/15, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Kuelekea uchaguzi Mkuu 2015: UKAWA yadhibitisha-Lowasa anaumwa.
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, August 30, 2015, 8:45 AM

SO??

2015-08-30 8:25 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Watanzania wamekuwa na mashaka
makubwa juu ya afya ya mgombea urais kupitia chama cha
Demokrasia na maendeleo CHADEMA. Sababu kubwa ya mashaka ni
kuwa wasije wakamchagua mtu ambaye mbele akasababisha
kurudiwa kwa uchaguzi kutokana na rais kushindwa kutimiza
madaraka yake. Jambo hili kamwe halistahili kuwa hoja ya
majukwaani. Haistahili kuanza kujadili afya ya mtu maana
ikifikia hatua hiyo inakuwa si swala la itikadi. Kila mmoja
anaguswa. Ni vibaya kabisa kugeuza afya ya mtu jambo la
jukwaa la kisiasa. Kwa kweli si ustaarabu kuanza kujadili
Fulani anaumwa. Hakuna shida kusema Fulani hafai kutokana na
tabia au mwenendo wake. Lakini si afya. Afya mtu haamui bali
hujikuta anaumwa.

Katika jukwaa la kisiasa Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye
amewaeleza watanzania kutohoji afya ya Lowasa kwa sababu
hata marais waliotangulia waliwahi kwenda kutibiwa.
Amewataja Rais mkapa na Kikwete. Ameeleza kuwa mtu
akishafika miaka 50 basi afya yake lazima itakuwa na
matatizo. Kitu ambacho hakusema ni kuwa Lowasa haumwi.
Amewaacha watanzania kutafsiri na kuamua alimaanisha nini.
Mimi ninadhani alitaka kututaarifu kuwa anaumwa kweli. Maana
yake mfumo tulio nao hautusaidii kuwapima na kuwajua watu
afya zao. Hii kwa kweli inastahili kuwa kazi ya Tume ya
uchaguzi. Kuhakikisha haituletei wagonjwa.

Sumaye ni kiongozi mwandamizi wa taifa hili. Anastahili
kuonyesha upeo wa kufikiri. Sijui kwa nini ameshindwa
kuonyesha hilo. Au hatumjui huyo ndiye Sumaye.

Hivi tunaweza kumchagua mtu mgonjwa asiyejimudu kwa sababu
mtu Fulani alipokuwa madarakani aliumwa? Sumaye haoni
tofauti kati ya JK au Mkapa walioingia madarakani wakiwa
wazima halafu wakaumwa wakiwa kazini? Huyu kiongozi wetu ana
upeo gani? Haoni kuwa hili si swala la kushindaniwa
majukwaani? Yeye anasema Ikulu hawabebi zege? Yaani hajawahi
kusikia kuna mazingira rais anaweza kushindwa kumudu
majukumu yake? Majukumu ya kubeba nini? Hiki kifungu tena
kimo kwenye katiba ambayo Sumaye aliwahi kuapa kuilinda
Jamani UKAWA kuzoa zoa kutakuja kuwaaibisha siku moja!

Kama CHADEMA inataka kuja kubadili mfumo inastahili kumleta
mtu anayetiliwa shaka kuwa rais wetu? Au inataka kuingiza
mfumo wa kusimamisha wagonjwa. Ningeelewa kama wangesema
tunataka watu wapimwe afya kabla ya kugombea yaani kuondoa
mfumo wa kusimamisha wagombea tusiowajua au tulio namashaka
nao. Kama tunahakikisha hatupitishi mgombea aliyewahi
kuhukumiwa makosa ya jinai tunashindwa kumzuia mgonjwa
kugombea urais?

Nakumbuka sana 2005 Mtikila akiwa anajiandaa kumlipua JK
kuwa ameathirika yeye (JK) akawahi kupimwa na kutangaza afya
yake. JK angesema na Mbowe ni mgonjwa (2005 JK alishindana
na Mbowe kwa karibu zaidi) tusingemuelewa maana hapo
asingetoa mashaka yetu. Lakini alipopimwa na akatangaza afya
yake watu wakajua wanachagua kiongozi atakaye maliza kipindi
chake na ikitokea asimalize ni bahati mbaya.

Mashaka ya watanzania kuhusu afya ya Lowasa yanaongezeka
kila kukicha. Hata zilipotoka habari kuwa serikali imepiga
marufuku usafiri wa helicopter kwenye uchaguzi mimi
nilidhani (kama ni kweli) basi ni njama kutaka kumchosha
Lowasa kwa kusafiri na barabara. Jana aliposema anakaa Dar
kwa sababu ndicho kitovu na akawataka watu wa Dar wamuombee
kura mikoani nikawaza hivi asiposafiri kwenda kuomba kura
itakuwaje? Kwa nini CDM ikafanya maamuzi magumu kabla
kampein hazijapamba moto? Inataka kutuletea ya 2005 uchaguzi
kucheleweshwa tena?

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Ephata
Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754
834152Skype.nanyaro.ephata
"truth shall set you
free"

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment