Saturday, 27 June 2015

Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania urais maswali magumu

Josia wa kuongoza taifa lichukie kuwa omba omba anaweza kuwa mtu kutoka chama chochote cha siasa awe mwanamke au mwanaume wa umri wowote, kijana, umri wa kati au umri wa hekima (mzee) hapa namaanisha mwenye umri zaidi ya miaka 70. Wako wazee wenye uwezo mkubwa wa kuongoza nchi yetu lakini mfumo umewakosesha fursa. Kadhalika wako vijana wanaweza lakini mfumo hauwapi fursa ya kupenya. Jambo la msingi wanaotafuta fursa hiyo uchaguzi wa mwaka huu tuwaulize, watafanya nini ili Tanzania ipone ugonjwa wa KUOMBAOMBA wakati nchi ni tajiri sana wa rasilimali za maendeleo? Serikali inaomba fedha Marekani, Ulaya na China Rais 'kisingizio nchi ni maskini' watawala wanazitumia kupanda ndege Daraja la kwanza kwenda kujinafasi ughaibuni? Huu hi ugonjwa mbaya sana na uendawazimu. Ni muhimu nchi ipate kiongozi wa kukomesha ugonjwa huu mbaya wa kujitakia maana unachangia sana umaskini wa nchi yetu.
Ananilea Nkya
 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

--------------------------------------------
On Sat, 6/27/15, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania urais maswali magumu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, June 27, 2015, 10:57 AM

Hatuwezi
kuchukia kuomba omba kunakofanywa na viongozi wetu wakati
wametoka ndani ya jamii yetu wenyewe.
Ukomo wa kujitegemea utapelekea utafutaji
mbadala kutatua matatizo hapo unaanza kuomba msaada badae
inakuwa utamaduni. Kuitoa hii lazima ije akili mpya
iliochangamka sasa kama tumechoka tunaona wababu ndo wanafaa
kutukomboa Tanzania haitakaa iache bakuri
On Jun 27, 2015 1:50 AM,
"'ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Amina
dadangu...Mungu akutangulie na akubariki katika masomo
yako..



 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:



>Niko masomoni Ngupula. Kujenga nchi yangu kwa namna
mbali mbali iko damuni na sisubiri kuagizwa, huwa ninajituma
na kujitolea  kwa moyo wangu wote.

>Ananilea Nkya

E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

>

>--------------------------------------------

>On Fri, 6/26/15, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>

> Subject: Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania urais
maswali magumu

> To: wanabidii@googlegroups.com

> Date: Friday, June 26, 2015, 9:17 PM

>

> Binafsi nakukubali sana dada

> Ananilea...nachoshangaa katika zama hizi za akina
mama

> wanaweza, kwa nini hata usingekuwa somewhere helping
many

> others at your capacity?

>

>  'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

> wrote:

>

> >Fadhili kwa taarifa yako mimi siamini katika kuomba
omba

> naamini katika  kufanya kazi na kuishi kwa jasho
langu.

> Hunijui waulize wanaonijua. Nimefanya harakati za
ukombozi

> wa nchi yangu kwa kujitolea miaka mingi. Mfano
nikiwa

> kiongozi wa TAMWA niliongoza harakati za kujitolewa
tukaweza

> kugharibia kupata ofisi yetu pale Sinza Mori bila senti
tano

> ya mfadhili. Inawezekani ni kuwa na nia na uaminifu
wa

> kusimamia malengo basi. Maendeleo yanawezekana kwa
jasho

> letu.

> >

> >Hivyo, siamini kama maendeleo ya nchi yanaletwa
na

> kuombaomba iwe ni serikali au NGO inaomba.  Zaidi,

> serikali inapaswa ikusanye kodi kutokana na rasilimali
za

> nchi na itenge bajeti kwa ajili ya NGOs zinazofanya
kazi za

> ukweli kwa maendeleo ya wananchi.

> >

> >Ni muhimu Watanzania tubadilike. Tufanye kazi kwa
bidii,

> tusimamie rasilimali zetu kwa uaminifu na tuzitumie
kwa

> maendeleo ya nchi yetu na watu wake wote. Kuombaomba
ni

> ugonjwa SUGU  nchini kwetu ambao ni lazima
wanaoingia

> madarakani waonyenye mfano  wa kuutibu kwa vitendo
ili

> wananchi wajue kuwa maendeleo ya yetu yataletwa na
jasho

> letu na si kutembeza bakuli Ulaya, China na
Marekani.

> Kuombaomba kunalidhalilisha taifa hili tajiri wa
kila

> rasilimali na ni moja ya chanzo cha  nchi yetu
kukosa

> maendeleo endelevu.

> >

> >Ananilea Nkya

> > E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

> >

> >--------------------------------------------

> >On Fri, 6/26/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>

> wrote:

> >

> > Subject: Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania
urais

> maswali magumu

> > To: wanabidii@googlegroups.com

> > Date: Friday, June 26, 2015, 4:27 AM

> >

> > Mama nkya mbona nyinyi

> > na Ngos zetu za kupiga pesa hamuachi kuombaomba
tena

> kwa

> > huko huko inakoomba serikali au ndio nyani
haoni

> > kundule?

> > On Jun 26, 2015 4:11 AM,

> > "fatma_elia via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

> > wrote:

> > Warioba

> > kwenye chama kubwa nahisi hata hiyo fomu
hatapewa

> >

> > Tuwashawishi hawa wengine ambao hawajamtaja
mgombea

> wao

> > wazungumze na huyu mzee ili tumpe miaka mitano tu
ya

> > kutunyooshea nchi kisha uchaguzi unaofuata
watakuwa

> wamesoma

> > na wanaweza kuwa na Candidate mzuri sana wa
kumpokea

> > kijiti

> >

> >

> >

> > It is just a dream

> >

> >

> >

> > Fatma

> >

> > Sent from my BlackBerry® smartphone provided
by

> Airtel

> > Tanzania.

> >

> >

> >

> > -----Original Message-----

> >

> > From: "'ananilea nkya' via
Wanabidii"

> > <wanabidii@googlegroups.com>

> >

> > Sender: wanabidii@googlegroups.com

> >

> > Date: Thu, 25 Jun 2015 14:41:12

> >

> > To: <wanabidii@googlegroups.com>

> >

> > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com

> >

> > Subject: Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania
urais

> maswali

> > magumu

> >

> >

> >

> > Ndugu yangu, ukitaja Warioba si unataja mmoja
wa

> wananchi.

> > Ni nani katika chama hicho mwenye nia ya
kuwasikiliza

> > wananchi? Si ungewaona kwenye Bunge la Katiba?

> >

> > Ananilea Nkya

> >

> >  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

> >

> >

> >

> > --------------------------------------------

> >

> > On Thu, 6/25/15, 'fhkipamila' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

> > wrote:

> >

> >

> >

> >  Subject: Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania
urais

> maswali

> > magumu

> >

> >  To: "'ananilea nkya' via
Wanabidii"

> > <wanabidii@googlegroups.com>

> >

> >  Date: Thursday, June 25, 2015, 9:16 PM

> >

> >

> >

> >  Ananilea dadangu mbona unasita

> >

> >  kutamka kuwa anayetufaa kwa sasa ni warioba

> >

> >  SENT FROM ALCATEL ONETOUCH TABLET

> >

> >

> >

> >  'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

> >

> >  wrote:

> >

> >

> >

> >  >Na zaidi tunahitaji Rais mwenye 
aliyeamua

> >

> >  mwenyewe  na kwa dhati kabisa anaona  uongozi
wake

> >

> >  unaweza  kutoa mchango mkubwa  kwa nchi.
Maana

> >

> >  yake  awe ni mtu mwenye maono, utashi, mchapa
kazi,

> >

> >  hekima, asiye mbinafsi  na zaidi mwenye ujasiri
wa

> >

> >  kusimamia serikali yake iwajibike kwa wananchi
na

> siyo

> >

> >  kuwakandamiza na kuwaumiza kwa kutumia jeshi
la

> polisi

> >

> >  wanapodai haki ya afya, elimu, barabara na
ajira

> yenye

> > staha



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment