Niko masomoni Ngupula. Kujenga nchi yangu kwa namna mbali mbali iko damuni na sisubiri kuagizwa, huwa ninajituma na kujitolea kwa moyo wangu wote.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Fri, 6/26/15, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania urais maswali magumu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, June 26, 2015, 9:17 PM
Binafsi nakukubali sana dada
Ananilea...nachoshangaa katika zama hizi za akina mama
wanaweza, kwa nini hata usingekuwa somewhere helping many
others at your capacity?
'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>Fadhili kwa taarifa yako mimi siamini katika kuomba omba
naamini katika kufanya kazi na kuishi kwa jasho langu.
Hunijui waulize wanaonijua. Nimefanya harakati za ukombozi
wa nchi yangu kwa kujitolea miaka mingi. Mfano nikiwa
kiongozi wa TAMWA niliongoza harakati za kujitolewa tukaweza
kugharibia kupata ofisi yetu pale Sinza Mori bila senti tano
ya mfadhili. Inawezekani ni kuwa na nia na uaminifu wa
kusimamia malengo basi. Maendeleo yanawezekana kwa jasho
letu.
>
>Hivyo, siamini kama maendeleo ya nchi yanaletwa na
kuombaomba iwe ni serikali au NGO inaomba. Zaidi,
serikali inapaswa ikusanye kodi kutokana na rasilimali za
nchi na itenge bajeti kwa ajili ya NGOs zinazofanya kazi za
ukweli kwa maendeleo ya wananchi.
>
>Ni muhimu Watanzania tubadilike. Tufanye kazi kwa bidii,
tusimamie rasilimali zetu kwa uaminifu na tuzitumie kwa
maendeleo ya nchi yetu na watu wake wote. Kuombaomba ni
ugonjwa SUGU nchini kwetu ambao ni lazima wanaoingia
madarakani waonyenye mfano wa kuutibu kwa vitendo ili
wananchi wajue kuwa maendeleo ya yetu yataletwa na jasho
letu na si kutembeza bakuli Ulaya, China na Marekani.
Kuombaomba kunalidhalilisha taifa hili tajiri wa kila
rasilimali na ni moja ya chanzo cha nchi yetu kukosa
maendeleo endelevu.
>
>Ananilea Nkya
> E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>--------------------------------------------
>On Fri, 6/26/15, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania urais
maswali magumu
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, June 26, 2015, 4:27 AM
>
> Mama nkya mbona nyinyi
> na Ngos zetu za kupiga pesa hamuachi kuombaomba tena
kwa
> huko huko inakoomba serikali au ndio nyani haoni
> kundule?
> On Jun 26, 2015 4:11 AM,
> "fatma_elia via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> Warioba
> kwenye chama kubwa nahisi hata hiyo fomu hatapewa
>
> Tuwashawishi hawa wengine ambao hawajamtaja mgombea
wao
> wazungumze na huyu mzee ili tumpe miaka mitano tu ya
> kutunyooshea nchi kisha uchaguzi unaofuata watakuwa
wamesoma
> na wanaweza kuwa na Candidate mzuri sana wa kumpokea
> kijiti
>
>
>
> It is just a dream
>
>
>
> Fatma
>
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by
Airtel
> Tanzania.
>
>
>
> -----Original Message-----
>
> From: "'ananilea nkya' via Wanabidii"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>
> Date: Thu, 25 Jun 2015 14:41:12
>
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Subject: Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania urais
maswali
> magumu
>
>
>
> Ndugu yangu, ukitaja Warioba si unataja mmoja wa
wananchi.
> Ni nani katika chama hicho mwenye nia ya kuwasikiliza
> wananchi? Si ungewaona kwenye Bunge la Katiba?
>
> Ananilea Nkya
>
> E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
>
>
>
> --------------------------------------------
>
> On Thu, 6/25/15, 'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
> Subject: Re: [wanabidii] Tuwaulize wawania urais
maswali
> magumu
>
> To: "'ananilea nkya' via Wanabidii"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Date: Thursday, June 25, 2015, 9:16 PM
>
>
>
> Ananilea dadangu mbona unasita
>
> kutamka kuwa anayetufaa kwa sasa ni warioba
>
> SENT FROM ALCATEL ONETOUCH TABLET
>
>
>
> 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>
> wrote:
>
>
>
> >Na zaidi tunahitaji Rais mwenye aliyeamua
>
> mwenyewe na kwa dhati kabisa anaona uongozi wake
>
> unaweza kutoa mchango mkubwa kwa nchi. Maana
>
> yake awe ni mtu mwenye maono, utashi, mchapa kazi,
>
> hekima, asiye mbinafsi na zaidi mwenye ujasiri wa
>
> kusimamia serikali yake iwajibike kwa wananchi na
siyo
>
> kuwakandamiza na kuwaumiza kwa kutumia jeshi la
polisi
>
> wanapodai haki ya afya, elimu, barabara na ajira
yenye
> staha
>
> zinazotokana na utajiri wa nchi yetu na wala siyo
> kuomba
>
> omba kwa wafadhili ambao nao wanakwapua mali zatu.
>
> >
>
> >Mtu anaweza kuwa msafi lakini moga wa kupigania
haki
> za
>
> wanyonge. Moga wa kufanya maamuzi mpaka amuulize
>
> aliyemsukuma kugombea hiyo nafasi. Si mnakumbuka
>
> Rais Kikwete awali alionekana kama vile alikuwa na
>
> dhamira kusimamia upatikanaji wa Katiba Mpya
>
> iliyotokana na maoni ya wananchi lakini mwishoni
> alikosa
>
> ujasiri huo baada ya kuvutwa na chama chake maana
Katiba
> ya
>
> wananchi ingeondoa ufisadi unaokinufaisha chama
chake?
>
> Alikosa sifa moja tu--ujasiri
>
> akaitumbukiza nchi kwenye mpasuko na zaidi
>
> kachelewesha mabadiliko chanya --rasilimali za nchi
>
> kunufaisha wananchi.
>
> >
>
> >Hivyo mgombea anaweza kuonekana ana sifa ya
usafi
>
> laki
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment