Japhet,
Kinachonipa shida katika hizi "kampeni za kutangaza nia" ni kwamba,
wengi wao wana mikakati mizuri sana kinadharia. Mikakati ambayo kila
mmoja wao anaamin ataitekeleza tu akipewa URAISI. Wote waliotangulia
kutangaza nia viongozi wa juu Serikalini na kwenye Chama cha
Mapinduzi. Miaka yote hiyo wameshindwa kusukuma ajenda zao (hizo) ili
zitekelezwe na Serikali na Chama. Inanipa shida kuamini eti wakipewa
URAISI basi kila kitu kitakuwa poa. KWANI NCHI HII INAONGOZWA NA
MAWAZO/MAAMUZI YA RAISI au ya CHAMA TAWALA??!!
Matumaini tunayopewa si ya kweli, hayakubaliki na wala hayawezekani.
Raisi yeyote atakayepatika ni lazima afuate, aheshimu na atekeleze
ajenda za Chama chake. Kwa asilimia kubwa, hata baada ya uchaguzi
wanaongoza Chama watakuwa ni wale waliopo leo. Kama walikataa
mabadiliko, walishindwa kutekeleza ajenda za kutuvusha, kutupeleka
kwenye matumaini, basi raisi ajaye miongoni mwao HATAWEZA!
Kubwa hapo ni moja: Wote hawazungumzii TATIZO LA WATANZANIA kukosa
maendeleo ni nini? Kama hawaweki wazi TATIZO, basi hata SULUHISHO
wanalofikiria haliwezi kuibadilisha nchi wala watu wake.HAKUTAKUWA NA
MAAENDELEO hata kwenye awamu ya 5!
TUSUBIRI
On Tue, 2 Jun 2015 07:47:59 +0000 (UTC)
"'mwassa jingi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> Japhet hoja yako ni ya msingi sana na naomba waandishi na wachambuzi
>wenzangu tuzingatie hoja hii.Mwassa
>
> From: 'Japhet Makongo' via Wanabidii
><wanabidii@googlegroups.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Monday, June 1, 2015 11:47 PM
> Subject: [wanabidii] Re; Tunahitaji maelezo ya upande wa pili wa
>wanaotangaza nia
>
> Tumewasikia na tunaendelea kuwasikia wanaotamani kuongoza nchi yetu
>miaka 5 ijayo. Wanaeleza mambo mengi watakayofanya kwa mbwembwe za
>kila aina. Kimsingi hivyo ndivyo ilivyo, ni wajibu wao. Vyombo vya
>habari vina kazi kubwa kufahamisha umma haya yote. Ombi langu kwa
>vyombo vya habari, sambamba na kutujuza wanayosema hawa waheshimiwa
>tunatarajia kusikia pia yale wasiyosema. Upande wa pili wa
>shillingi...wa kuwasaidia kueleza udhaifu wao wa nyuma ambao kwa
>namna moja unaweza kuwa umechangia kushidwa kwa utawala unaondoka, na
>hasa waow akiwa sehemu ya utawala hu. Tusaidieni kuweka hadharani
>tetesi zinazohusu udhaifu wao ambao hawawezi kusema. Hii itasaidia
>wa-Tz kufanya maamuzi sahihi.
> Makongo ----------------------------------------------------------------Japhet
>Maingu Makongo
> Director, Ubunifu Associates Ltd
> P.O. Box 32670, Dar es Salaam, TANZANIA
> Website: www.ubunifu.co.tz, info@ubunifu.co.tz,
> Tel: +253 24 2732125+253 24 2732125, Mobile:+253 758 270 254+253 758
>570 253CallSend SMSAdd to SkypeYou'll need Skype Credit--
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>facts must be presented responsibly. Your continued membership
>signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by
>our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google
>Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>facts must be presented responsibly. Your continued membership
>signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by
>our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google
>Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment