Monday, 1 June 2015

Re: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!

Na yule Mhindi aliyevunjiwa jumba lake kwa amri ya Lowassa and at the end of the day serikali ikalazimika kumlipa millioni 600. Ndio maamuzi magumu hayo ya ukurupukaji?
em

Sent from my iPhone

> On Jun 1, 2015, at 4:35 AM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Molel. Nomb\ unieleweshe. Maji ya ziwa victoria lipi Misri kuna ziwa Victoria? Mimi najua Ziwa hilo liko Tanzania. tanzania iliamua kuyatumia maji hayo si waziri pekee. kama Misri ingeamua kutuvamia si waziri husika angeamuru majeshi kupigana na Misri. Huo uamuzi ni collective decision. matokeo yoyote yasingekabiliwa na waziri. Kama katika hilo kuna uamuzi mgumu basi alifanya rais. Ndiye alikuwa na uwezo wa kusema Misri wakija hivi tutafanya hivi. Tumezoea ubadhilifu na uzembe ndiyo maana mtu akitimiza sehemu ya wajibu wake tunasema ni exemplary Kutimua Dawasco basi Magufuli ndiye mwenye maamuzi magumu. ametimua makandarasi wangapi. Na Mrema labda twaweza kumsema aliwahi kufanya maamuzi magumu sio huyu jamaa yenu.
> --------------------------------------------
> On Mon, 6/1/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Monday, June 1, 2015, 2:04 AM
>
> FUATILIA
> VZR BROKwa
> utawala wa lowasa hakuna hicho kitu rudisha hela na kaz nje,
> nenda same watakusimulia DED alivotimuliwa baba, nenda Egypt
> alipofanya maamuz magum kua tutatumia maji ya victoria penda
> msipenda, nenda kawaulize city water waliokuja na usanii wao
> wa maji fake dar, nini wasema muganda au humjui edo vZr ktk
> usimamiaji na ufuatiliajiiiiiHuyu
> tuachieni tu aingie ikulu nchi ikae stable, mugandaaa hapa
> dar sasa ni tabu alfu kumi ni sawa na mia hata lakini haina
> issaue nao twafa wenzako hukju ndio maana hatuwatak kina
> mwingulu sjiu waropokaji tu wasiokua na chembe ya
> ukwelitchao
>
>
> From: Emmanuel Muganda
> <emuganda@gmail.com>
> To:
> "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Sunday,
> May 31, 2015 3:42 PM
> Subject: Re:
> [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!
>
> Lesian,Nakumbuka
> alipoikuwa waziri wa maji Lowassa alikwenda Mara na
> akaambiwa viongozi katika wizara yake "walitumia
> vibaya" hela za umma. Lowassa kamawaziri
> aliwaambia wazirudishe hizo hela na kesi ikaishia hapo. Enzi
> za mkoloni na enzi za Nyerere maafisa hao wangetimuliwa kazi
> na kupelekwa mahakamani.Kwa hiyo mimi naona hii
> ni slogan tu ya kushinda uchaguzi kama tulivyopewa slogan ya
> maisha bora kwa kila mtanzania mwaka
> 2005.em
> 2015-05-31 16:23 GMT-04:00
> 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>
>
> maamuz magum ni
> hivi mganda, mtu amekula rushwa live anaambiwa ajiuzulu
> tuuu, haitoshi alipaswa arejeshe alichokiiiba, laki ni kwa
> kua maamuz ya ccm na serikali yake iliokuwepo ilikua ni ya
> kishikaji hakuna maamuz yeyote waliochukuliwa waliofanya
> ufisadi huoo, angel merkel alishawahi kuomba pccb ya kule au
> anti corruption bereau yaoliwachunguze wale waliomchangia
> kushinda uchaguz kama wanakwepa kodi ama la, hakuna cha
> kubebwa lazima uwajibikaji uchukue mkondo wake,
> uwajijibikaji kuanzia kwa mwananchi hadi serikali.
>
>
>
>
> From: Emmanuel
> Muganda <emuganda@gmail.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Sent: Sunday, May 31,
> 2015 12:01 PM
> Subject: Re:
> [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!
>
> Bado sijaelewa kauli mbiu ya
> maamuzi magumu. Sijui anamaanisha nini anaposema
> hivyo.em
> Sent from my
> iPhone
>
>
> On May 31,
> 2015, at 2:21 PM, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
> wrote:
>
>
>
>
> Kusema kweli Mheshimiwa Lowasa anachekesha
> sana. Kusema kuwa tunatakiwa kuwa na kiongozi mwenye
> kufanya maamuzi magumu ana maana CCM haifanyi maamuzi magumu
> na viongozi wake hawafanyi maamuzi magumu na uthubutu.
> Yeye yuko wapi. Anasahau kama anamsema JK anasema
> chama chake na viongozi wake na anawapa wapinzani silaha ya
> kuishambulia CCM?
>
> CCM
> watamheshimu kwa kuhujumu chama anachoomba kimchague kuwa
> mgombea Urais. Sidhani.
>
> Kusema kuwa angekuwa Waziri Mkuu eti hali
> ingekuwa tofauti anasahau kuwa Waziri Mkuu siye mtendaji nia
> msimamizi wa collective management? Anataka kusema
> kuwa Chama chke kimeshindwa kutekeleza majukumu yake.
> Sasa huku anakisema chama na viongozi wake huku anavaa
> magwanda yake na anakiomba chama kimteue/
>
> Hivi ana akili sawa sawa au
> ndio mateke ya mfa maji?.
>
> Kusema yeye anauchukia umaskini? Kwa
> vipi? Amewafanya wangapi kuwa matajiri kwa kutumia nguvu
> zake?
>
> Kusema Yeye sio
> Tajiri bado anausaka utajiri? Anataka kukumbilia Ikulu
> akautafute huko huku mtaani hakumtoshi.
>
> Watanzania tuchunge sana mtu huyu ni hatari na
> janga la taifa
>
> Herment A.
> Mrema
>
> Date: Sun,
> 31 May 2015 08:17:45 -0700
> From: mairi.info@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: [wanabidii] RE: SAFARI YA MATUMAINI NA
> EDWARD LOWASSA!
>
> SAFARI
> YA MATUMAINI NA EDWARD LOWASSA!
>
> Mheshimiwa Edward Lowassa
> ametangaza nia akiomba
> kuteuliwa na Chama chake kuwa Mgombea Urais kwa mwaka 2015.
> Lakini zipo kasoro
> kadhaa zilizojitokeza kwenye sherehe ile, ambazo binafsi
> naomba zisahihishwe,
> zisijitokeze tena! Kasoro hizo ni pamoja na:
>
>
>
> 1.
> Matangazo kupitia ITV EATV na AZAM
> TWO kukatikakatika na wakati
> mwingine kuonesha mchelemchele.
>
>
>
> 2.
> Dj.
> hakuwa amechagua nyimbo
> mahususi kuendana na tukio na wakati husika pale alipotakiwa
> kucheza wimbo
> husika.
>
>
>
> 3.
> Mtangaza nia kumtaja Kiongozi wa
> Chama
> chake kuwa, huenda akatumia baadhi ya maneno kupata
> sababu ya kumwadhibu
> tena. Hii inajenga hisia ya msuguano ndani ya
> Chama.
>
>
>
> 4.
> Baba
> Askofu kutumia kutumia maneno machungu kuwa, wasiompenda
> Mtangaza nia
> wakale malimao. Mtumishi wa Mungu anapaswa kutumia maneno ya
> upako na
> ushawishi.
>
>
>
> 5.
> Mzee
> Kingunge kutumia mkutano wa kutangaza nia kuelezea ajenda ya
> katiba mpya, ambayo bado ina maswali mengi kwa watanzania,
> na hivyo kutumia muda
> mrefu kuhutubia kuliko hata mtangaza nia.
>
>
>
> Nakubaliana na Mtangaza nia kwa
> mambo haya:
>
> 1.
> Nchi
> yetu inahitaji kiongozi mwenye uthubutu anayeweza kufanya
> maamuzi
> magumu kwa maslahi ya watanzania.
>
>
>
> 2.
> Nchi
> yetu inahitaji kiongozi atakayesimamia raslimali zetu kama
> vile
> madini, mafuta na gesi zisichukuliwe ovyo ovyo na wawekezaji
> uchwara.
>
>
>
> NB: Huu ni mtizamo wangu binafsi,
> maana mimi si
> mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania, ila ni
> mpiga kura mzoefu,
> ambaye nimejiandaa kujiandikisha kwa mfumo wa
> BVR.
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma

> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment