Salha
Hivyo ndivyo chadema pia hugeuza uongo hadi kuwa ukweli...lakini kuna wanaowaamini...ndiyo wanasiasa wetu walivyo.
On Jun 26, 2015 1:16 PM, "'godfred mbanyi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
-- --
Tatizo la watu wa-CCM hudhani wanajua kila kitu!
Sent from Yahoo Mail on Android
From:"'Salha Bakari' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Fri, Jun 26, 2015 at 12:51
Subject:Re: [wanabidii] POLE NYINGI KWA SUGU - MH MBILINYINi kweli kabisa ndugu Mashaka - noma na iwe noma.
Ni vema kutafiti issue kabla hujaisema.
Sugu kanisaidia kujua maisha ya mlokole huyo -Martha Mlata.Kumbe naye siyo kioo cha jamii.
Mie ni mtetezi wa haki za watoto na wanawake.Ila kwenye hili, uzalendo kwa wanawake hawa wawili, yaani, mwenendo wa mama sashah, na taarifa za uongo alizotoa Mlata Bungeni jana.
Imagine hadi aliteka mioyo ya wote. Spika, japo mwanamke, akamkataza waziri wa fedha, asiongeze uchungu aliou feel katika kufunga hoja yake.Bad luck sikujua nini ambacho spika anamkatazia Saada Mkuya asiseme, kwa kuwa sikuwepo wakati wa mawasilisho ya Mlata.
Nilitaka kutangaza nia, nguvu zimeniisha.Watu wanageuza uongo, unakuwa ukweli kwa zaidi ya 100%.Inatisha sana!!
SB
--------------------------------------------
On Fri, 6/26/15, 'Mashaka Mgeta' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] POLE NYINGI KWA SUGU - MH MBILINYI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, June 26, 2015, 12:34 PM
Sugu
amemshauri Mlata asiingilie mambo yake binafsi kama yeye
asivyoweza kumuingilia mambo yake ikiwamo alivyoachika kwa
mumewe na mabwana alionao kwa sasa!
Hiyo ni
kama 'umemwaga ugali, ninamwaga mboga'!
On Friday, June 26,
2015 2:27 AM, 'Salha Bakari' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Muda mfupi uliopita,
kabla naibu spika hajaairisha Bunge , nikiwa nafatilia Bunge
kwenye TV,
Nimemuona Mh Mbilinyi
akiwasilisha hi=oja binafsi kuhusiana na tuhuma kuwa amepora
mtoto wake kwa mzazi mwenzie.Hayo yalielezwajana na Mh
Mlata.Kiukweli, ukipata alichoongeaq Mbilinyi, utalia kama
nilivyolia, na kama Mbilinyi alipomaliza akalia.
Ukweli hata mimi nimewahi kumshuhudia mzazi
mwenzie na picha za nguo nusu uchi.Na bado alitamka, yeye
haimpi shida kuvaa hivyo.Sasa, mtoto wake, tena ni wa kike,
Sashah, atakuwa na maadili mema kwa kulelewa na mama wa
maadili kama haya?
SB
--------------------------------------------
On Fri, 6/26/15, 'Hildegarda Kiwasila'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] Fw: Muslims flock to Jesus in response to
Islamic State
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, June 26, 2015, 12:19 PM
Cha
kushangaza kingine ni wanaokimbia mauaji ya ISIS na
Algaeda na ISIS wenyewe wanapochoka kupigana
kutoroka
wanakimbilia Rome-Italy kwa Papa
na Greece-kwenye
ukatoliki/ukristu-kwa
YESU.
Wanakimbilia nchi
za Europe-England, Germany, Poland etc na
USA ambapo bendera za nchi zina misalaba na katiba ni ya
kikristu (Anglican, Lutheran etc). Kwa nini
usitoke Syria
ukakimbilia Misri au
Oman/Saudi Arabia bali Italy, UK???
Inaonyesha suala ni kutaka uhai, usalama na
amani, maisha
mazuri SIO DINI. Kwani mtu
mzima aliyepitia quran au mafunzo
ya dini
anajua kabisa kuwa akifika Rome, UK au Australia etc
anaweza akapewa na wakristu wa huko watoa
huduma kwa
wakimbizi ya chakula ambacho
huenda kikawa na sausage ya
mnyama ambae
hakuchinjwa kwa sala kuelekezwa kibra bali kwa
mashine ya umeme; sausage huenda ikawa ya
nguruwe; unga wa
mahindi huenda ukawa ule
wa kulisha mifugo kutaka kuwaokoa
msife.
Itufundishe watanzania
kuwa-VITA SI NZURI-iwe ya kidini au
ya
kikabila, kisiasa!! AMANI ni kitu muhimu. Kama kuua ni
kueneza dini na kwenda peponi-kumuua mtoto
mdogo na kumtupa
katika jumba linalowaka
moto ni suala la dini? Mtoto mdogo
anajua
nini cha dini? Kuteka wasichana wadogo au wa shule
kisha wanarudi wamezaa au wanamimba za askari
wa ISIS baadhi
wameolewa kwa nguvu hii ni
dini Mungu asemavyo katika
mafunzo yake
kuwa-teka nyara, silimisha, baka? Ni wazi kuwa
kuna agenda binafsi, ubinafsi wa binadamu wa
kawaida
ushetani unaomfanya mtu amtupe
mtoto mchanga katika tanuru
la moto au
kukata vichwa watoto, wazee na wengine wasio
hatia. Itokee nchi jirani mapambano ya
kikabila au kwa ISIS
hapo Mungu hayupo bali
ushetani.Anapotoroka muuaji wa ISIS
anajibadili sura asijulikane. Na huyo Kony wa Uganda
aliyekuwa akiua kwa jina la YESU-mbona
kajificha? hajitokezi
auawe msalabani kama
alivyouawa Yesu ili kumbomboa watu
wake? Ni
ubinafsi usioisha kwa binadamu
bara la
africa na Uarabuni. Mungu atusaidie.
--------------------------------------------
On Fri, 26/6/15, 'frank patrick
materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] Fw: Muslims flock to Jesus in
response
to Islamic State
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, 26 June, 2015, 9:36
-----
Forwarded Message -----
From: Assist News
<assistnews.aol.com@mail.mailchimpapp.com>
To:
materufrank@yahoo.com
Sent: Friday, June 26,
2015 4:46 AM
Subject:
Muslims flock
to Jesus in response to
Islamic State
Muslims flock to Jesus in response to
Islamic
State
#yiv7540550095
.yiv7540550095headerTop
{background-color:#ffffff;border-top:0px solid
#000000;text-align:center;}
#yiv7540550095 .yiv7540550095adminText
{font-size:14px;color:#efefef;line-height:200%;font-family:verdana;text-decoration:none;}
#yiv7540550095 .yiv7540550095headerBar
{background-color:#FFFFFF;border-top:0px
solid #333333;}
#yiv7540550095
.yiv7540550095title
{font-size:20px;font-weight:bold;color:#640000;font-family:arial;line-height:110%;}
#yiv7540550095 .yiv7540550095subTitle
{font-size:14px;font-weight:normal;color:#777777;font-style:italic;font-family:arial;}
#yiv7540550095
.yiv7540550095defaultText
{font-size:18px;color:#000000;line-height:150%;font-family:trebuchet
ms;}
#yiv7540550095
.yiv7540550095footerRow
{background-color:#e8e8e8;font-size:10px;color:#000000;line-height:100%;font-family:verdana;}
#yiv7540550095 a {color:#FF6600;}
not displaying correctly? View
it in your
browser.
Muslims flock to Jesus in response
to
Islamic State
By Mark Ellis,
Special to ASSIST News Service
SOUTHERN
CALIFORNIA (ANS - June 25,
2015) -- Some
experts predict Islam will be
the largest
religion in the world. But Islam is facing a
dilemma because of the atrocities committed
by Islamic
State
in the
name of Allah, which has left some Muslims
questioning their faith.
Mission scholars say more Muslims have converted to
Christianity since 9/11 than during the
entire 14
centuries
of
Islamic history, according to a report by CBN News.
Many keep their faith in Jesus a closely
guarded
secret, fearing retribution from
other hardline Muslims.
In
London, CBN News talked to Imram (no last
name given to
protect his identity), a
British college student from a
Pakistani
immigrant family.
Imram left Islam after
his study of the Koran left
serious
doubts about its veracity. "If someone leaves
Islam and becomes an apostate, he is thrown
out of his
family; his family will be the
first ones to abandon
him,"
Imran told CBN.
"His
friends will reject him and he will be killed or
he will be persecuted. A lot of my friends
said, 'This
is
the
last time I'm talking to you because you
disrespected
the prophet Mohammed, you
disrespected Islam.'"
Imran is
studying the Bible and has concluded that
Christianity is more credible than Islam, even though he
hasn't yet decided to follow Jesus.
Some disenchanted former Muslims are
becoming atheists.
But others find the
grace, truth and power of God's love
is
irresistible.
In Sweden, Pastor Fouad
Rasho of Angered Alliance
Church, himself
an immigrant from Syria, has baptized more
than 100 ex-Muslims. He said because of
Islamic State,
many
Muslims are coming to Christ.
"Every
week I meet one or more persons who come to me
and want to know more about Christianity and
the Bible
because they are very angry
about being a Muslim. They
don't want
to continue to be Muslim," Imran told
CBN.
MORE
About the
writer: Mark Ellis is a senior
correspondent for the ASSIST News Service and also the
founder of www.Godreports.com,
a website that shares stories, testimonies
and
videos from the church around the
world to build interest
and involvement
in world missions.
** You may republish
this and any of our ANS stories
wtih
attribution to the ASSIST News Service
(www.assistnews.net) Read more
You are receiving this email
because you opted in at our website.
Unsubscribe materufrank@yahoo.com
from this list.
Our mailing
address is:
ASSIST News Service
PO Box 609
Lake Forest, Ca 92609
USA
Our telephone:
Copyright (C) 2015 ASSIST
News Service All rights reserved.
Forward this email to a friend
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment